Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

Pundamilia07,
Nimekuelewa sana isipokuwa sioni sababu kabisa ya kumzungumzia Mama Huyu kwa sababu tu ametoa hoja Bungeni iliyowakera..Halafu kule mnakoelekea ni sehemu ambazo hata huyo Lowassa hakuguswa kiasi kwamba naanza kuamini kuwa hapa ni ushabiki mtupu na hauna faida kwetu wasomaji kwani hakuna anayetaka kumfahamu Maa huyu kabla hajaolewa ama kisha olewa nje ya Siasa na comment alizotoa bungeni.

Unajua kwa mwendo huu mnanikumbusha mdogo wangu alokuwa hapendi kwenda shule kila siku anaulaza akiulizwa na mama swala lake la kwanza huwa mbona wewe pia hukusoma?..
Kwa mshangao mama hakujua la kumjibu lakini jambo moja ambalo mdogo wangu hakufahamu ni kwamba Mama hakuweza kusoma zaidi kwa sababu miaka ile darasa la nane uki fail ndio imetoka hiyo.. tafuta ndoa.
Now, ni kipi hasa kinachofanya sisi hapa tumkomalie Mama huyu ktk hoja zisizohusiana na hoja yake?. Je, maneno ya kweli aliyozungumza?.. na ni sababu zipi zinazokupeni picha ya kuwa ni mwongo ama anaongopa.
Tumhoji shahidi hali yake kiakili, kiafya kulingana na hoja iliyopo mbona sioni mtu akitueleza kuhusu JK, Pinda na wengineo maisha yao kabla hawajaoa?.

Again, hawa ni viongozi wetu tuwahukume kwa yale mabaya wanayoyafanya na kuwapa sifa pale wanapotimiza ahadi zao, na mashujaa ni wale wanaosimama mahala ambapo wengi wetu wangeingia mitini, haijalishi makuzi yao.
 
Mkandara,
I respect you kwa sababu tu inaonekana uko tayari kunisikiliza.
Kwanza naomba nikusahihishe kuwa hakuna mahali nilipoandika kuwa huyu mama Kilango ni mwongo.

Pili, FMES aliandika mistari mingi sana ya kunishutumu ndani yake aliweka na maneno ya uongo ambayo nilimtaka ayathibitishe na mpaka sasa haja fanya hivyo na aliendelea kuandika uongo

Tatu, kama umefuatilia niliyoyandika mimi ni wapi nilimtukana Mama Kilango matusi ya 'nguoni'

Nne, Je, kati ya mimi na FMES nani ametukana katika postings zake?

Mimi binafsi sina tatizo na Mama Kilango kwani ananifahamu vizuri kama ninavyomfahamu yeye. Tunafahamiana na hatuna uhusiano wowote.

Kwahiyo kitendo cha FMES kunishutumu ni lazima nipambane nacho na FMES aniombe radhi. Kama ambavyo nimeelezea hapo awali asipofanya hivyo nitaweka mistari mingine zaidi bila ya kumpa taarifa yeyote na ninadhani hapo ndiyo itakuwa nimefunga pazi katika thread hii. Narudia tena kuwa sitapenda kuwa responsible kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
 
Pole mama Kilango kwa malaria, sikujua kuwa malaria huwakumba hata viongozi, kwani ao huwa mstari wa mbele kutushauri jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo... na namna gani ya kutumia vyandarua...MMhm

Anyway Mungu akupe nafuu ya haraka
 
Pundamilia07,
Samahani, nilitakiwa kusema FieldMarshall Es kuwa Muongo!..
Maanake katueleza nafasi za Mama huyu akiwa madarakani na ndiyo mapungufu ambayo wengi wetu tungeyategemea zaidi kuyasikia, hayo mapungufu yanayohusiana na utendaji wake wa kazi lakini badala yake tunaona zaidi mapungufu yake kama binadamu na pengine hata kutupa picha ya kuwa alikuwa Opportunist ktk kutafuta wanaume wenye nacho... Hii ndio picha uloiacha ambayo sidhani kama unamtendea haki kulingana na hoja ya Mama huyu Bungeni. Binafsi nafikiri kama kweli ni Opportunist basi EL na RA na list nzima ndio walikuwa watu alopaswa kuwapapatikia haswa maanake ndio vigogo wenye uwezo mkubwa.
Umeturudisha hadi ktk ujana wake na kadhalika inahusu nini mkuu?..Nani kati ya wabunge wetu mwenye clean record...Kisha sisi wengine hapa ni mapaka, tukisikia sifa mbaya kama hizo ndio kwanza tunampenda zaidi maanake hatutaki mwanamke malaika ktk maisha yake kama binadamu. Mwanamke sifa yake kama mwanamke siku zote ni uchaguzi mzuri wa bwana mwenye future.

Hata hivyo nashukuru mjadala huu umefikia kikomo na swala la Mafisadi libakie kama lilivyo, tusitake kuingiza watu wasiohusika kwa sababu tu wametoa hoja kali dhidi ya Mafisadi na kibaya zaidi inaonyesha wazi kuwa kati yenu wapo wanaozungumza kwa niaba ya EL na RA jambo ambalo kidogo linanipa utata. Issue at hand ni hao kina EL na RA, sasa kama kuna mapungufu yanayohusiana na uwezo wa huyu mama ktk kutoa hoja ile nadhani hapo ndipo palitakiwa kumkomalia.

Ahsanteni..
 
Field Marshall ES

Wana-JF: Ujumbe Mzito Toka Serikali!

--------------------------------------------------------------------------------

Ninawaomba ndugu zangu wote JF, mnipe nafasi nisilifanye hili kuwa siri bali ujumbe kwa ndugu zangu wote hapa JF. Katika siku mbili tatu zilizopita nimekuwa nikifanya utafiti wa kina ya yaliyojiri mpaka kuelekea kwenye yaliyotukuta karibuni, nimegundua mengi sana yanayotuhusu na yasiyotuhusu hapa JF, ninaomba niseme machache kati ya yanayotuhusu,

Pamoja na ujumbe mwingi niliopewa na wakulu, leo nimepewa ujumbe mzito usiokuwa na mjadala, na nitaufikisha kwenu ndugu zangu kama nilivyopewa, kwamba tuache matusi ya nguoni, tujadili hoja na zijibiwe kwa hoja, matusi tuache, nimeambiwa ndoa za viongozi na hata wananchi wengine ziachwe maana tunagombanisha wakulu na wake zao na familia zao kwa ujumla, maneno ya magonjwa ya viongozi ambayo sio public right tuyaache, unless kama yamesemwa wazi na officially, au unless mtu ana clear evidence azimbatanishe na hoja yake, nimeambiwa kuwa tunakubalika sana na serikali tunapokuwa na hoja na wapo nasi hapa kila siku, lakini tunaharibu na matusi na hasa siku za karibuni, wanasema zamani tulikuwa makini, lakini recently tumetoka nje ya mstari sana na wamenipa evidence mbali mbali kutoka topic nyingi hapa, humbly as a man nimezikubali na kuomba radhi kwa niaba ya wote hapa JF.

Sio nia yangu kujifanya wa maana sana kuliko wengine hapa, isipokuwa nimejitahidi kwa uwezo wangu kuombea kikombe cha damu kipite pembeni, na nimeahidi kwa niaba ya wote hapa JF, kuwa tutajitahidi kurudi tulikokuwa zamani, yaani kwenye hoja kwa hoja. Mkuu Invisible, please ndugu yangu na mods ninawaomba mnisikie ndugu zangu kuweni more serious na kufuta anything unlogical. Nimeamua kuyasema haya hadharani hapa hapa, ili kuondoa lawama mbele ya safari, na kuondoa usiri usiokuwa na maana kwenye hili. Na huu ujumbe unanihusu hata mimi pia, sio nyinyi ndugu zangu tu!

Ndugu zangu sina maswali wala majibu kwenye hili, anayetaka anisikie, asiyetaka ndio demokrasia yenyewe, lakini I hope kuna watakao nisikia. Ndugu zangu tumuamini Mungu, lakini tufunge milango ya magari yetu na funguo.

Field Marshall Es,

JF Kumkoma Nyani Giladi, Mchana Kweupeeee, na Where We Dare To Talk it out Openly!

Pundamilia07,
Samahani, nilitakiwa kusema FieldMarshall Es kuwa Muongo!..
Maanake katueleza nafasi za Mama huyu akiwa madarakani na ndiyo mapungufu ambayo wengi wetu tungeyategemea zaidi kuyasikia, hayo mapungufu yanayohusiana na utendaji wake wa kazi lakini badala yake tunaona zaidi mapungufu yake kama binadamu na pengine hata kutupa picha ya kuwa alikuwa Opportunist ktk kutafuta wanaume wenye nacho... Hii ndio picha uloiacha ambayo sidhani kama unamtendea haki kulingana na hoja ya Mama huyu Bungeni. Binafsi nafikiri kama kweli ni Opportunist basi EL na RA na list nzima ndio walikuwa watu alopaswa kuwapapatikia haswa maanake ndio vigogo wenye uwezo mkubwa.
Umeturudisha hadi ktk ujana wake na kadhalika inahusu nini mkuu?..Nani kati ya wabunge wetu mwenye clean record...Kisha sisi wengine hapa ni mapaka, tukisikia sifa mbaya kama hizo ndio kwanza tunampenda zaidi maanake hatutaki mwanamke malaika ktk maisha yake kama binadamu. Mwanamke sifa yake kama mwanamke siku zote ni uchaguzi mzuri wa bwana mwenye future.

Hata hivyo nashukuru mjadala huu umefikia kikomo na swala la Mafisadi libakie kama lilivyo, tusitake kuingiza watu wasiohusika kwa sababu tu wametoa hoja kali dhidi ya Mafisadi na kibaya zaidi inaonyesha wazi kuwa kati yenu wapo wanaozungumza kwa niaba ya EL na RA jambo ambalo kidogo linanipa utata. Issue at hand ni hao kina EL na RA, sasa kama kuna mapungufu yanayohusiana na uwezo wa huyu mama ktk kutoa hoja ile nadhani hapo ndipo palitakiwa kumkomalia.

Ahsanteni..

Mkuu Mkandara,
Ahsante sana kwa maelezo yako, kimsingi kama ungekuwa umesoma kwa makini nini nimekiandika nadhani ungegundua what I meant from the begining, lakini labda kwa sababu ambazo unazifahamu wewe mwenyewe umeamua kureact in the sense that umejiingiza katika malumbano hasa katika posting yako hapo juu.

Nevertheless, pamoja na kuwa nilitofautiana na FMES katika thread hii, leo hii nimesoma thread yake ambayo nimeinukuu hapo juu ambayo mimi ninakubaliana na hoja zake na ninamwona kuwa wakati huu wa tofauti zetu ameonyesha kujutia lugha za matusi hasa ukizingatia kuwa alinitukana katika posting yake ya kwanza kwenye thread hii baada ya posting yangu. Kwa kitendo chake hicho ninampongeza FMES kwa kuwa muungwana na anaetaka mabadiliko ambayo mimi ninakubaliana naye.

Trust me, sikuwa na haja ya kutaka kumharibia huyu mama in any way, lakini maneno ya FMES yalikuwa yananipeleka kummaliza, ninajiamini kuwa nina busara za kutosha kuweza kuhandle hali kama ile ilivyokuwa. Mambo ambayo ninayafahamu juu ya Mama Kilango ni mengi sana na mengine yataweza kuaathiri nafasi yake ya kisiasa na hata katika familia yake pia. Nisingependa kuona huyu mama anaanguka kutoka mikononi mwangu, to me she's just like a golden.
 
Back
Top Bottom