Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
Taarifa hizi zimezagaa sana sehemu mbali mbali mwezi huu hasa baada ya watu wengi kukuta upungufu katika miamala yao.
Taarifa zilizopo ni kwamba karibu Benki zote zimekamilisha kuset mashine zao kwa ajili ya kutoza kodi hiyo kutoka kwa wateja wao na wanakusanya kuanzia tar 01.07.2016.
Ni muda muafaka sasa TRA, BOT na Waziri husika waje watueleze tena kama maelezo yao ya mwanzo yalikuwa kutulaghai au kinachofanyika sasa ni kitu gani.
NB. KWA USHAHIDI ZAIDI TEMBELEA TAWI LILOKARIBU YAKO AU CHUKUA BANKI STATEMENT