Wakulu;
Toka Sekeseke na Shem Liyumba lianze Kisitu, nimekuwa nikimwona na chupa kubwa ya maji ya Kilimanjaro.
Kumekuwa na discussion kuwa anako kale kaugonjwa ketu kale.
Somebody tell me hii habri ya yeye kuwa na maji wakati wote ikoje?
Huna aibu kumnyanyapaa mwenzio, wangapi hawana 'hako ka ugonjwa' na wamekufa Liyumba akiwa bado anapumua? Hujafa hujaumbika.
Kunywa maji nayo imekuwa issue, umekosa cha kuchangia au ubunifu katika hoja za kuanzisha thread basi nyamaza. This is too low.
Kama ni maji hata wewe unatakiwa kunywa, tena sana tu, lita tano kwa siku.
Mkuu;
Katika hiyo post ni sehemu gani inayoonyesha nimemnyanyapaa? Au hujaona thread ya Liyumba Mkuu?
Natka kujua juu ya chupa ya maji kama unaweza kujibu maana kuna wengi wanaenda mahakamani na siwaoni na chupa hizo. It is simple and clear!
Sasa mtu mzima kelele za nini? Ukisikia kunyanyapaa sasa ndo huko unakoelekea sasa. Jaribu kufocus katika issue badala ya kuleta tafsiri zako.
Mimi ni mwanaharakati wa Mapambano ya Ukimwi na kuna somo nataka tupeana hapa kwa kuelimishana. Angalia thread zangu za ukimwi. Umeona thread hii iko jukwaa gani?
Kiasi cha kuanzisha thread kwa mantiki ya Liyumba na chupa ya maji ya Kilimanjaro ni unyanyapaaa, kwa vile hauna basis ya thread bali ni kutaka kumweka Liyumba machoni mwa wanaJF na wageni.
Kama unajua kuna thread mahsusi ya Liyumba, kwa nini usingeuliza huko hadi uanzishe thread nyingine, eti ' ana kale kaugonjwa'. Hujafa hujaumbika.
Du! Kamanda nadhani wewe tutakesha hapa. bado hoja huioni? Sasa ile thread ya ina uhusiano gani na maji au JF Doctor?
JF bwana kweli ni jamvi!
QED.
Kwa nini mada ya maji uiwekee uihusishe na Liyumba? Hakuna hoja kwenye thread hii. JF Doctor na kichwa cha thread ' Liyumba na Chupa ya Maji Ya Kilimajaro'
Liyumba kuwa na chupa ya maji kuna tatizo gani hadi umuulize JF Doctor. Superman umemnyanyapaa Liyumba kwa vile umesikia 'ana kale ka ugonjwa'.
mkuu umeshagundua JF siku hizi pumba nyingi.......sasa mtu anahoji iweje mwenzie anakunywa maji jamani aibu....
Kunywa maji nayo imekuwa issue, umekosa cha kuchangia au ubunifu katika hoja za kuanzisha thread basi nyamaza. This is too low
Tuache sindimba za kujaza post mkuu. Unajua kuwa maji ni dawa?
mkuu umeshagundua JF siku hizi pumba nyingi.......sasa mtu anahoji iweje mwenzie anakunywa maji jamani aibu....
Maji si dawa, bali ni compound muhimu kwa ajili inachukua sehemu kubwa ya mwili wako. Ubongo wako una 95% ya maji, damu yako ina 82% ya maji na mapafu yako yana 90%. Maji yanahitajika kutoka sumu na wastes mwilini mwako kwa njia ya mkojo na jasho.
Kunywa maji kwa afya yako, si hadi umone Liyumba anakunywa maji ndio uulize 'kwa nini Liyumba anakuwa na chupa ya maji......... kumhusisha na ' kale kaugonjwa'
Acha kulalamika tumeshamaliza huko . . .
Unapokunywa maji mengi sana zaidi ya kile kipimo standard au Water Therapy inawezekana kama ulikuwa na magonjwa mengine ukapona?
Nimewahi kusikia kuwa ukinywa maji mengi sana na mara kwa mara na huku unafanya mazoezi, ni dawa tosha ya kufukuza maradhi kama malaria n.k. Unafahamu chochote?
mkuu umeshagundua JF siku hizi pumba nyingi.......sasa mtu anahoji iweje mwenzie anakunywa maji jamani aibu....
mkuu umechemka period....Acha kulalamika tumeshamaliza huko . . .
Ndugu yangu weee acha tu, kichwa cha habari cha thread iliyoJF doctor ni 'Liyumba Na Chupa Ya Maji Ya Kilimajaro', kwenye post ya 9, muanzisha thread anauliza umuhimu wa 'water therapy', usijue kama maji yana umuhimu mwilini lakini ujue kitu kinaitwa water therapy. Superman acha kuspin.
Mkuu,
Hapa kama usingevuruga thread katika mkondo wake hata baada ya kukuelimisha kuwa you are taking a wrong concept, wala kulikuwa hakuna shida. Ni nina uhakika utaelimika tu. Ninao uelewa wa kutosha kwa nini thread hii nimeiweka JF Doctor.
Wewe uliwahi kutoa post ya malalamiko ya UVURUGAJI WA HOJA JF lakini unafanya yaleyale.
Kumbe umeshasikia haya, sasa Liyumba kaingiaje humu? Unataka kusema kwamba ulikosea wakati unaianzisha hii thread, ulimaanisha kitu kingine tofauti na yanayosomeka kwenye lead post?
'tumemaliza huko' wewe na nani?