Ben Saanane mwisho wake umefika rasmi

TUTASHINDA TENA

Senior Member
Aug 12, 2014
141
77
Uchaguzi wa Bavicha ndio joto linaanza kupanda.Ni jambo la hatari sana kuwa na mtu kama Ben Saanane kwenye nafasi ya juu ya BAVICHA.Tumeamua kuitendea haki BAVICHA na sasa kanuni za uchaguzi ndizo zitakazozingatiwa tu.Kiongozi ambaye kazi yake ni kufikiria namna ya kulipiza visasi hafai hata kidogo kuwa kiongozi wa juu.

Maandiko yake na misimamo yake siku zote hataki hata kutambua mchango wa uongozi uliopo na hii ni kutokana na roho na misimamo ya visasi aliyonayo.Sasa kama atachukua fomu moja kwa moja itaenda kwenye pipa la takataka.Mtu huyu mwenye rekodi ya usaliti na mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983 kwa hiyo moja kwa moja hana vigezo vya uongozi.kanuni tumeweka awe amezaliwa 1984 na kuendelea sasa kelele ni za nini.

Ninashangaa sana vibaraka wake huku wanamsujudia na kumshabikia tutaona sasa muda wa kuchukua na kurudisha fomu. Kazi yake aendelee kulipwa kwa ajili ya kukesha kwenye mitandao tu. Post ya Dady Igogo FB jana ililenga kwenye mfupa na tunampongeza na wengine kama hao.
 
Mara nyingi inakua ni vizuri sana Ukiwa Unatumia kichwa kifikiri na si kikalio kufikiria kuna watu wanatumia Makalio kufikiria ni jambo baya sana
 
Maranyingi inakua ni vizuri sana Ukiwa Unatumia kichwa kifikiri na si kikalio kufikiria kuna watu wanatumia Makalio kufikiria ni jambo baya sana

Ninyi ndio mashabiki wake sasa huyo bwana wenu ndio mwisho na safari yake haiendi mahari tena
 
Nyie watoto wa siku hizi mna shida sana. Hivi huwezi kuweka bandiko kistaarabu bila uchafu wenu? Acheni kutumika, acheni makundi. Kwa chadema ninayoijua mimi, kama kuna kanuni yoyote itakayovunjwa, peleka malalamiko yako kunakohusika na itashughulikiwa.

Vijana wa siku hizi mmejaa ujinga mwingi sana. Hamna subira hata kidogo. Kila kitu ni fasta fasta.
 
Ninyi ndio mashabiki wake sasa huyo bwana wenu ndio mwisho na safari yake haiendi mahari tena

Wewe kinakuwashia nini? Mimi niko chadema wala siko kwa ajili ya Mtu mimi ni wale nitakae ulizwa nimefanyia nini chadema na si chadema kimenifanyia mimi nini kwahiyo mimi siyo mpika Majungu kama wewe na wala siko kimaslai kama chama chenu cha ACT na CCM.
 
Homa ya nn mkuu, unafiki na vifitina za nn? mipasho na ngonjera vimetoka wapi? Wivu wako hauta kupeleka kokote.
 
Ben Saanane yeye abebe sumu tu mfukoni lakini uongozi hauwezi kabisa akili zake fupi mno.
 
Wewe Una Sababu Zako, Huna Hoja, Sisi Tunataka Viongozi Kama BEN SAANANE Na Sio Viongozi Wanaoshawishiwa Kupewa Vipesa Tshs.kumi Chali Ccm Kisha Oooo Tunaomba Mtusamehe Tulipotoka, Mimi Naamini Mtu Huyu Ni Muhimu Hasa Muda Huu Wa Wasaliti.ozingatiwa tu.Kiongozi ambaye kazi yake ni kufikiria namna ya kulipiza visasi hafai hata kidogo kuwa kiongozi wa juu.Maandiko yake na misimamo yake siku zote hataki hata kutambua mchango wa uongozi uliopo na hii ni kutokana na roho na misimamo ya visasi aliyonayo.

Sasa kama atachukua fomu moja kwa moja itaenda kwenye pipa la takataka.Mtu huyu mwenye rekodi ya usaliti na mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983 kwa hiyo moja kwa moja hana vigezo vya uongozi.kanuni tumeweka awe amezaliwa 1984 na kuendelea sasa kelele ni za nini.Ninashangaa sana vibaraka wake huku wanamsujudia na kumshabikia tutaona sasa muda wa kuchukua na kurudisha fomu.kazi yake aendelee kulipwa kwa ajili ya kukesha kwenye mitandao tu.Post ya Dady Igogo fb jana ililenga kwenye mfupa na tunampo
 
Back
Top Bottom