Ben Mkapa kanzu na barakhashia vimemkubali kiaina

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
8E9U9910.JPG
 
Nasubiri apigwe ban na wenye mavazi yao! Te te te te, Benny!

Hili ni vazi si la watu fulani tu, ni vazi la ye yote anayelipenda. Kihistoria hili ni vazi la utamaduni wa watu wa mashariki ya kati ambalo limekuja kuwa kama vazi rasimi la dini za Kiyahudi, kikristo na Kiislamu.

Ukiona wachungaji huko mashariki ya kati hata wasio na dini huvaa vali hili hata wawapo machungani kuangalia kondoo zao.
 
Hili ni vazi la heshima sana, hakuna ambae anaweza kuva na lisimpendezi.

Umenifurahisha sana Mwali.
Wakumbuka Speaker Makinda alivyofalia Hijabu alipoenda kumpa pole Rais wa Zanzibar hivi karibuni kufuatia ajali ya meli, alibadilika na kuonekana kama si Makinda tuliyemzoea bali kijana mbichi tu.
 
Hili ni vazi si la watu fulani tu, ni vazi la ye yote anayelipenda. Kihistoria hili ni vazi la utamaduni wa watu wa mashariki ya kazi ambalo limekuja kuwa kama vazi rasimi la dini za Kiyahudi, kikristo na Kiislamu.

Ukiona wachungaji huko mashariki ya kati hata wasio na dini huvaa vali hili hata wawapo machungani kuangalia kondoo zao.

May be you are right! Nilitaka kusikia Ally Kombo atasemaje! Mkuu vazi hili linapendeza sana; je naruhusiwa kutinga nalo kwa church?
 
May be you are right! Nilitaka kusikia Ally Kombo atasemaje! Mkuu vazi hili linapendeza sana; je naruhusiwa kutinga nalo kwa church?

shein3.jpg

Kama Mheshimiwa Speaker wa bunge la Muungano wa Tanzania alivyotinga Ikulu ya Zanzibar na hijabu, vazi lina mvuto wa aina yake na kumbadili kabisa mwonekano wake.
 
Umenifurahisha sana Mwali.
Wakumbuka Speaker Makinda alivyofalia Hijabu alipoenda kumpa pole Rais wa Zanzibar hivi karibuni kufuatia ajali ya meli, alibadilika na kuonekana kama si Makinda tuliyemzoea bali kijana mbichi tu.
Aah wap! Alikuwa kama mchawi wa Mombasa
 
shein3.jpg

Kama Mheshimiwa Speaker wa bunge la Muungano wa Tanzania alivyotinga Ikulu ya Zanzibar na hijabu, vazi lina mvuto wa aina yake na kumbadili kabisa mwonekano wake.

Ukikutana naye usiku si unaweza kutoka nduki ukadhani umekutana na JINI?
 
Ni kweli linawapendeza na inaonekana bila shaka kuwa ni wazee wa ubwabwa wa kweli.

kwa hiyo wewe ujuavyo, yeyote akivaa hivyo ni mzee wa ubwabwa?? ok, ila tu isije ikawa ni tusi au kijidharau fulani hivi. ni vazi zuri na linaenda na ustaarabu wa hali ya juu kabisa. ila kwa anayejua maana yake, kwa asiye jua sishangai kukejeli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom