Bei ya turntables

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Wadau mwenye kujua bei za turntables zinarange vp anijuze

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hv hapa tulipo si karne ya 21 jamani?

Turntable ya nini wajameni?
Pole kijana wetu wa Jf!
 
Jamani hapo mnakosea, hata kama ni karne ya 21, ubora wa turntable bado hauna mpinzani! soud inayotoka kwenye cd huwezi kufanananisha na sound inayotoka kwenye LP. Ukitaka kujua hilo waulize wenye taaluma na mambo ya sound, kama madj wa ukweli, sound engineers, n.k. Jiulize kwanini kwenye club za mbele au shows mbalimbali turntables ndio zinahusika zaidi!
 
Good grief! Turntable enzi za laser cd player. In retrospect i wonder why hii kitu ina speed tatu 78,45 na 33 RPM.
 
Mkubwa inategemea unataka ya companya gani, sonny, sumsung au LG? na yenye ukubwa gani na speed ya kiasi gani? na je unaulizia bei ya dar au kwa wenzetu wakaribu wa Dubai?
 
Mkubwa inategemea unataka ya companya gani, sonny, sumsung au LG? na yenye ukubwa gani na speed ya kiasi gani? na je unaulizia bei ya dar au kwa wenzetu wakaribu wa Dubai?

Bei ya dar mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom