Bei ya petrol tanzania inatisha sana

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?
 
dawa yao imeiva....2naanza na baba yao CCM kwanza
 
nimeshangaa sana museven wa uganda anamwambia besigye kama anaweza aenda soko la kimataifa kupunguza bei ya mafuta na pia alete mvua ili mazao yapatikane kuondoa njaa uganda!hayo ndiyo majibu ya viongozi wa kiafrika,they dont think at all.wanategemea kudura za allah kwa mambo yakutumia maarifa!
 
Nadhani bei ya petroli haina deviation kubwa na nchi nyingine zisizozalisha mafuta.
 
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?

Hio inawezekana ni namna ya kupata pesa ya kusaidia kampeni ya 2015, ambapo inabidi sehemu fulanifulani kwenye pilikapilika za kiuchumi kama matumizi ya mafuta ziathiriwe.

Lakini hio sio muafaka kabisa kwani mwenye kuumia ni mpiga kura.
 
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?

Dunia nzima kuna tatizo hili so tuache kulalama, hiyo tofauti ni kama 200 tu so haijustify maoni yako.
Tz ni mbali zaidi ya Kenya so difference ya 200 is justifiable.
Leo nimesoma article moja ya wb/imf kwamba African countries soon zitashindwa kununua mafuta na vyakula bse bei za bidhaa hizo duniani ni unbearable, so tusilaumu serikali kila kitu
 
Serekali iko buzy na kujivua magamba

Ukiwauliza nani aliwavalisha gamba hili na lini walivalishwa na pia walivalishwa katika awamu ipi (Ya Mwinyi, Mkapa au Kikwete) wanang'aa macho. USANII MTUPU! Bei ya petroli imepanda duniani kote lakini kwetu imepanda zaidi ukilinganisha na nchi nyingi duniani kutokana na kodi za kipuuzi ambazo Watanzania hatuoni manufaa yake.
 
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?

KUWA FAIR.....pump price kenya wameonyesha 111, na sasa exchange rate ni tsh 18....hapo tnapata bei ya mafuta kwa lita kenya ni sawa na Tsh 1998.....KASORO SHILINGI MBILI ZA KITANZANIA IFIKE 2000
 
tutumie gas yetu badala ya ku-export gas, e.g malysia na nchi jirani yao wanatumia gas, lpg,CNS kuendesha magari na mitambo ,maybe its time CDM and others washinikize serikali kuzuia export ya hiyo gas ili itumike nchini,kwani kwa sasa mtwara wako bize kuisafirisha gas yet nje
 
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?
kenya ishafika KSH 117!tokea juma lililopita! kwahiyo ngoma draw!
 
Cha muhimu si nani anauzaje ama wananunuaje, cha muhimu ni serikali zetu ziangalie njia muafaka za kupunguza kupanda kwa bei ya mafuta. serikali zinaweza punguza kodi kwa kiwango flani ini bei upungue ambako kutasababisha gharama zingine zishuke na maisha kwa ujumla wake
 
serikali yetu ndio inafanya bei inakuwa juu sababu ya kodi kama ingefikiria kupata vyanzo vingine vya mapato nina imani bei ingepungua sana.Embu fikiria bandari wajanja wanavyokwapua kaka ukisikia watu wanavyolamba huwezi kuamini
 
Hivi EWURA ipo?niliwahi kuisikia kitambo sijui ni lini,kwani kazi ya EWURA ni nini,au labda haina habari kuhusu hizi bei za kiwese.
 
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?

We uko dunia gani? Afadhali Tanzania mfumuko wa bei ya gas ni nafuu kuliko nchi nyingine. Mfano nchi fulani walikuwa wanapata gallon kwa wastani wa $ 2 lakini leo ni wastani wa $ 4 kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, maana yako double.
Watanzania tulalalamikia hata mambo yasiyo ya msingi bila kuangalia uchumi wa dunia unavyoenda. Hata kama tungekuwa na visima vya kuchimba wenyewe mfumo wa uchumi wa duniani haukwepeki tungejitwisha kiwango hicho hicho. Nenda uarabuni wanalia na bei za mafuta kama wabongo.
 
Back
Top Bottom