Bei ya korosho msimu 2023-2024

Wakukaya2

Member
Apr 26, 2023
75
87
Tupo kwenye maandalizi ya msimu mkubwa wa zao la korosho hasa kwa wananchi wa mikoa ya kusini, ni ukweli usiopingika kuwa korosho ni zao kubwa kwa wananchi wa kusini na Tanzania kiujumla, athari zake ni kubwa kwenye kuongeza pesa za kigeni na kuchagiza mzinguko wa pesa kwenye nchi.

Msimu wa korosho ukiwa mzuri Hadi makao makuu ya nchi watu wanafurahi. Sio ajabu muda kama huu maeneo ya Newala na Tandahimba kuwaona wachaga, wakinga, Waha, wasukuma na makabila mengine wakiranda Newala na Tandahimba wakichuuza bidhaa mbalimbali, kiumjula msimu wa korosho ukiwa mzuri basi wananchi wengi wananufaika.

Na kwa upande mwingine msimu ukiwa mbaya vilio vinakuwa vingi, na serikali huwa inaulaumiwa waziwazi. Serikali kama mzazi na msimamizi mkuu wa tasnia ya korosho, kupitia vyombo vyake mbalimbali, kama wizara ya kilimo, wizara ya viwanda na biashara, pamoja na bodi ya korosho kufanya utafiti wa kina juu ya muenendo wa bei ya korosho duniani na kutoa taarifa kabla ya minada kuanza, pili.

Serikali, bodi ya korosho na wadau kuweka Makato ambayo yatazingatia bei ya korosho. Mfano msimu uliopita tumeshuhudia kuongezeka kwa Makato ya Serikali na wadau wa tasnia Hali ya kuwa bei ya soko ikiwa imeshuka, matarajio yangu yalikuwa ni kupunguza kwa Makato hayo kwakuwa bei ilikuwa imeshuka, kwa maana kama kulia tulie wote na kama kufurahi tufurahi wote.

Lakini kuongeza Makato wakati bei inapungua ni dhulma. Tatu Serikali irudishe bei dira ( minimum price) ili kumlinda mkulima. Minimum price izingatie gharama za kilimo na faida iwepo ili kumpa moyo mkulima kuendelea kuzalisha.

Mwisho niishikuru serikali kwa kusambaza pembejeo ya ruzuku kwa wakulima, changamoto kubwa ya kuifanyia kazi ni pembejeo kudika kwa wakati maana Kuna maeneo hasa ya kando ya mto ruvuma huwa wanaanza kunyunyuzia viatilifu kuanzia mwishoni mwa mwezi may.

Hivyo pembejeo zisambazwe kuanzia April. Taratibu za kuagiza zianze January. Nawasilisha!
 
Selikari mwaka huu imejitahidi hasa mfumo waliotumia mwaka huu ni mzuri sana wa kugawa pembejeo, binafsi pembejeo nimepata NAMSHUKURU MUNGU

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wa korosho kujua bei yake mapema ni ngumu sana, kwa sababu ni mfumo wa watu ambao teyari wamejitengenezea Ulaji...

Teyari kuna baadhi ya meeneo kama Nachunyu mkoa wa Lindi, choma choma wameanza kununua kwa bei 1600-1800.

Mwaka Jana baada kushuka kwa bei kuna watu waliogomea kutouza korosho zao maeneo ya Tandahimba ila badae serikali ikaanza msako wa nyumba hadi nyumba,

Kwa kifupi mkulima bado kilio chake hakisikiki kwa upande wa zao mama la korosho, hadi kupelekea mwaka huu mashamba mengi kuyaacha yakiwa machafu,

Wakulima wengi miaka miwili hii wamewekeza katika mazao ya ufuta na mbaazi ambayo sasahivi yanaonekana yana tija.

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa zilizopp ni kwamba msimu huu 2023/2024 kutakuwa na korosho nyingi mno, Sasa sijajua mwnendo was bei utakuwaje kwasabb kama bidhaa ikiwa nyingi sokoni bei huwa chini na uadimikaji wa bidhaa hupaisha Bei...
 
Tupo kwenye maandalizi ya msimu mkubwa wa zao la korosho hasa kwa wananchi wa mikoa ya kusini, ni ukweli usiopingika kuwa korosho ni zao kubwa kwa wananchi wa kusini na Tanzania kiujumla, athari zake ni kubwa kwenye kuongeza pesa za kigeni na kuchagiza mzinguko wa pesa kwenye nchi.

Msimu wa korosho ukiwa mzuri Hadi makao makuu ya nchi watu wanafurahi. Sio ajabu muda kama huu maeneo ya Newala na Tandahimba kuwaona wachaga, wakinga, Waha, wasukuma na makabila mengine wakiranda Newala na Tandahimba wakichuuza bidhaa mbalimbali, kiumjula msimu wa korosho ukiwa mzuri basi wananchi wengi wananufaika.

Na kwa upande mwingine msimu ukiwa mbaya vilio vinakuwa vingi, na serikali huwa inaulaumiwa waziwazi. Serikali kama mzazi na msimamizi mkuu wa tasnia ya korosho, kupitia vyombo vyake mbalimbali, kama wizara ya kilimo, wizara ya viwanda na biashara, pamoja na bodi ya korosho kufanya utafiti wa kina juu ya muenendo wa bei ya korosho duniani na kutoa taarifa kabla ya minada kuanza, pili.

Serikali, bodi ya korosho na wadau kuweka Makato ambayo yatazingatia bei ya korosho. Mfano msimu uliopita tumeshuhudia kuongezeka kwa Makato ya Serikali na wadau wa tasnia Hali ya kuwa bei ya soko ikiwa imeshuka, matarajio yangu yalikuwa ni kupunguza kwa Makato hayo kwakuwa bei ilikuwa imeshuka, kwa maana kama kulia tulie wote na kama kufurahi tufurahi wote.

Lakini kuongeza Makato wakati bei inapungua ni dhulma. Tatu Serikali irudishe bei dira ( minimum price) ili kumlinda mkulima. Minimum price izingatie gharama za kilimo na faida iwepo ili kumpa moyo mkulima kuendelea kuzalisha.

Mwisho niishikuru serikali kwa kusambaza pembejeo ya ruzuku kwa wakulima, changamoto kubwa ya kuifanyia kazi ni pembejeo kudika kwa wakati maana Kuna maeneo hasa ya kando ya mto ruvuma huwa wanaanza kunyunyuzia viatilifu kuanzia mwishoni mwa mwezi may.

Hivyo pembejeo zisambazwe kuanzia April. Taratibu za kuagiza zianze January. Nawasilisha!
Kwani jiwe anasemaje huko motoni.
 
Back
Top Bottom