Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
hajui kama upo humu nn???:spy:
Sasa si ndo hapo?
hajui kama upo humu nn???:spy:
mtoa mada na mwenye picha hapo juu hwachekani.
gervinho.
Handsome onyinyee
jicho la kushoto limenenepa sijui hulilisha mayai.
hehehehehe....! mbona nitakoma..! lakini mkuu si unaona na mm nilivyo handsome..?? tuoane bathi..! tehe
hehehehehe....! mbona nitakoma..! lakini mkuu si unaona na mm nilivyo handsome..?? tuoane bathi..! tehe
SILENT WHISPER unajua nipo ofisini aisee...daah afu wakubwa wako hapa wanapiga kikao we unanchekesha ivi na hii picha!!! (esp the title)
Ngoja nimtaarifu Epycalypse huko aliko kwenye mashamba ya viazi mbalizi kwamba umetumia avatar yake.
kuna kitu anakutafuta huyu jamaa!!mi mwenyewe nimeona!!piga mtu kaka pamoja na kuwa hii picha huwa inanitisha!!!Vipi mbona tunatafutana?