Beach plots for sale at cheap price(KIGAMBONI)

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,285
Plot ya kwanza::
Ipo Puna 45km kutoka ferry.
Size":Heka 3.75 zipo baharini kabisa
Kina ghorofa moja lishajengwa anaishi mzungu.
Price:800,000USD Negotiatable
Kina Title Deed
HOUSE I.JPG
SPECS I.JPG

Kiwanja cha pili:Kipo Kimbiji
Size Heka 10.5
Price:1.25mils USD,Negotiatable
Umbali ni 34km kutoka ferry
Kina Title Deed
PLOT II KIMBIJI.JPG

Fanya Haraka bei ni ya kutupa:
Email: estatetz@diplomats.com

BR,
Amalinze The Cat
Chief Executive Officer-RET
Email:estatetz@diplomats.com
 
Dah. Watanzania wote ni mafisadi kama mwendo ndio huu. yaani dola mil. 1.25 unasema ni cheap price. this is totally insane.

mpunga unacheza bilioni mbili za kitanzania.

na siku hizi wabongo kusema nyumba inauzwa milioni 700 mbagala ni kitu cha kawaida humu ndani. tena wanasema cheap.
 
Mkuu humu JF hakuna mafisadi, hivyo kwa njia hii ya kutangaza humu hutapata mteja ng'o.
 
@ all price negotiatable,hizo ni za kuanzia tu kama upo interested namba ya simu hyo piga tuelewane!!!
 
Another one at Mwongozo Beach Plot 1 heka and a half50mils
 
Mmm mambo ya mil hayo mie sijawahi hata kuzionaa za bongo wachilia mbali za ki marekani.. Inshallah mungu anipe na mie....
 
Back
Top Bottom