Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
nawapongeza bbc swahili kwa kuboresha vipindi vyao hasa kwa wasikilizaji wa Afrika mashariki. lkn moja ya kero jinsi gani Idhaa hiyo isivyojali fedha za wasilizaji wnaoutuma ujumbe kupitia matangazo yao. kwani kila siku bbc huuomba wasilizaji wawatumie ujumbe mfupi kupitia number ya mkononi ili ujumbe wao usomwe. lkn husoma ujumbe kidogo na mchache na wengine hutupwa. jee Bbc hawajui kama sisi wasiklizaji tunatumia pesa kutuma ujumbe au kwanini bb hawapangi muda mkubwa wa kusoma msg? au waseme tu kwamba wanabagua ujumbe. au wanavyofanya ndivyo inavyotakiwa?