Bavicha..!!

ngwini

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
482
89
Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana watanzania wanatakiwa kufunguliwa!
 
acha dharau wewe yuko ujerumani alikokwenda kupewa mafunzo ya kiingereza na namna ya kupigana na wapinzani wao wa ccm na nccr, na kupewa mikakati ya kuwashinda waislaamu kwani anapewa mafunzo na chama cha kikristo huko germany bwana.
halafu huoni alizuiwa asifanye uteuzi wa viongozi wengine, unadhani hapo baraza lake litafanayaje kazi, bila mratibu wa uhamasishaji, bila katibu na manaibu wao.
slaa akasema wamezuia ili wachague wajumbe katika mikoa yote lakini undani unasema wamasiktisha baada ya kuona zitto yuko karibu nae hahahahaa homa ya jamaa!..... hawa watachukua nchi kwa namna hii? mm nasema wamlete yeyote tu tunamchapa tena kwa 80% zaidi 2015
na igunga mwambieni slaa aende.
 
Mpumbavu akikaa kimya huonekana mtu mwenye busara (wahenga walisema). Hivi mtu anahitaji kwenda UJERUMANI kujifunza KIINGEREZA? Ujerumani sehemu gani ya raia wa huko wanaongea Kiingereza?
acha dharau wewe yuko ujerumani alikokwenda kupewa mafunzo ya kiingereza na namna ya kupigana na wapinzani wao wa ccm na nccr, na kupewa mikakati ya kuwashinda waislaamu kwani anapewa mafunzo na chama cha kikristo huko germany bwana.halafu huoni alizuiwa asifanye uteuzi wa viongozi wengine, unadhani hapo baraza lake litafanayaje kazi, bila mratibu wa uhamasishaji, bila katibu na manaibu wao.slaa akasema wamezuia ili wachague wajumbe katika mikoa yote lakini undani unasema wamasiktisha baada ya kuona zitto yuko karibu nae hahahahaa homa ya jamaa!..... hawa watachukua nchi kwa namna hii? mm nasema wamlete yeyote tu tunamchapa tena kwa 80% zaidi 2015na igunga mwambieni slaa aende.
 
Usiwe mwongo wewe, Heche yupo sinza jirani na Maeda Bar anatunzwa na kaka yake na hata jana niimwona, labda ujerumani unayoisema wewe siku hizi imehamia Mori
 
kuna viongozi wa bavicha au majina ya viongozi wa bavicha. Ule uongozi ni kama viti maalumu.haina tofauti na pacha wao uvccm unawapa uongozi watu wasio na uwezo wala mvuto unategemea nini by daway mr mbowe na bwana slaa wanaua chama waliwafanyia fitina kina mchange,saane,nyakarungu.wakiogopa eti wakichukua uongozi itakuwa ngumu kwao kuendeleza ufisadi na kubwa kwakua wote haziendi nao walijua wanaweza tengeneza mtandao 2013 ukawatoa kwenye power wakashndwa endeleza biashara zao mle ndani ya chama yule slaa nae huwa kama mtambo kichwani wakati anawahoji wagombea ndani sababu za kuenguliwa alisema tofauti na alizosema kwa waandishi busara 2 ndo ilitumika ule uchaguzi ungevurugika
 
Usiwe mwongo wewe, Heche yupo sinza jirani na Maeda Bar anatunzwa na kaka yake na hata jana niimwona, labda ujerumani unayoisema wewe siku hizi imehamia Mori
Mkuu, kwani CDM bado hawajampa nyumba mpaka anatunzwa na kaka yake?
 
Hii thread ina bahati mbaya ya kupata wachangiaji wa mlengo wa kulia! Very sorry.
 
acha dharau wewe yuko ujerumani alikokwenda kupewa mafunzo ya kiingereza na namna ya kupigana na wapinzani wao wa ccm na nccr, na kupewa mikakati ya kuwashinda waislaamu kwani anapewa mafunzo na chama cha kikristo huko germany bwana.
halafu huoni alizuiwa asifanye uteuzi wa viongozi wengine, unadhani hapo baraza lake litafanayaje kazi, bila mratibu wa uhamasishaji, bila katibu na manaibu wao.
slaa akasema wamezuia ili wachague wajumbe katika mikoa yote lakini undani unasema wamasiktisha baada ya kuona zitto yuko karibu nae hahahahaa homa ya jamaa!..... hawa watachukua nchi kwa namna hii? mm nasema wamlete yeyote tu tunamchapa tena kwa 80% zaidi 2015
na igunga mwambieni slaa aende.
Hakuna neno jema linaloweza kutoka kwa magamba hata mara moja.
 
Either ni uwezo wako mdogo wa kujenga hoja au ni mtu wa kukurupuka,Jaziba,kujipendekeza kwa ccm na mbaya zaidi upo kwenye shimo la ubaguzi wa dini ETI KISA HAUIPENDI CHADEMA ni upuuzi' au unadhan ccm ni waislam wote?! Ajabu kabisa.
 
Swala hapa ni kujua BAVICHA wamepanga kufanya nin mwaka huu.Ukishayajua hayo basi unaweza kujadiri utendaji kazi wa Heche.
 
sehemu ya kuishi kiongozi na anaishi na nani ni suala binafsi.hoja hapa ni kwa nini hasikiki kwenye duru za kisiasa,hoja ya makzi ni finyu na haina mashiko.... inaweza kuwa na mashiko kama kama anastahili nyumba na chadema hawajampa. vinginevyo utkuwa unaongea upupu.
 
Wamepanga Maandamano nchi nzima mjitokeze kwa wingi tu
 
sehemu ya kuishi kiongozi na anaishi na nani ni suala binafsi.hoja hapa ni kwa nini hasikiki kwenye duru za kisiasa,hoja ya makzi ni finyu na haina mashiko.... inaweza kuwa na mashiko kama kama anastahili nyumba na chadema hawajampa. vinginevyo utkuwa unaongea upupu.
Sasa imekuwa kawaida humu ndani watu wametekwa na jinamizi la kujadili majungu na mambo yasiyokuwa na tija katika Taifa hili ambalo liko katika wakati mgumu sana! Inashangaza licha ya kuwa na mambo muhimu kabisa leo tunajadili eti HECHE anakaa kwa kaka yake, hii hata uwe upande wowote katika milengo ya kifikra haiingii akilini, Leo Tanzania tunapitia wakati mgumu sana ni wenye akili finyu tu ndo hawawezi kulitambua hili, kuna migogoro ya kijamii kila mahali kila sekta inashida, tazama kuna watu hawana maji, migogoro ya ardhi chungu nzima, Umeme ndo usiseme,mlundikano wa kesi mahakamani, Rushwa, Hospitali dawa hakuna wanaojifungua wanalala mzungu wa nne,Sakata la Rada, wabunge wageuka watoto wa chei chei shangazi mle bungeni kuna mambo chungu nzima hata nikiamua kuyataja yote siwezi kuyamaliza kwa leo, sasa mtu unapata wapi muda wa kujadili upuuzi, kujadili mambo binafsi!
 
Swala hapa ni kujua BAVICHA wamepanga kufanya nin mwaka huu.Ukishayajua hayo basi unaweza kujadiri utendaji kazi wa Heche.

wamepanga kusimamia swala zima la kuwachanganya Majoka waanze kushambuliana yenyewe kwa kuvuana magamba na kula rushwa ile wapate majimbo mengi yakuchukua..
1. la Rostam
2. Ngeleja
3. Chenge
4. Lowasa
5. ......
bado watakao uana wenyewe kwa wenyewe kwa kuvujishiana nyeti
1. mama shelukindo
2. january
........

watakuwa Bize kishenzi....

na Mzee mkubwa nae anajiudhuru ..... twasubiri Lowasa ampige kwa ile issue ile walio discuss tarehe 24....
 
Back
Top Bottom