Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kitu cha 2012 sio?
but hoja langu halikua aviation persè... bali jiji linalo angaziwa zaidi kwa areas kama zote.. acha ntakuletea from other areas outside aviation ndo ucheki venye nairobaa is the most highlighted city in this side of the sahara
 
Mimi sioni kuna nini la maana hapo kama kujenga interchange Dar kumewashinda. Utalingashaje huu upuuzi na interchanges kibao ambazo zimejaa Nairobi? Sasa kama unazungumzia battle ya street level kisha uulize mzungu achague mji upi bora kati ya Nairobi ambayo ina interchanges zaidi ya 15 na Dar ambapo juctions hazina interchange ni obvious atachagua Nairobi. Dar nzima ina interchanges chini ya 5.

Cc Sama boy 255
Interchanges zenu ni za jua kali
 
Dar imefocus kenye Mass transit, Baada ya Phase 3 ambayo tayari contractor kashapewa kazi ikiisha , uje ulinganishe vizuri majiji haya mawili. Dar baada ya phase 1 tu ya BRT ilishinda tuzo, haikua tuzo ya Interchange, ni Usafiri Bora wa Umma. Kuwa na interchange sio kigezo cha kuwa mji ni bora, Interchange zipo kutatua tatizo la foleni ambayo hamkupangilia vizuri zamani. (IMO).
Kuna maeneo kibao nchi zilizoendelea yanabomoa hayo ma interchange unayoyapenda na kurudisha demokarasia barabarani ( Pedestrian, cyclist, na motorist wote wana haki ya kutembea kwenye barabara bora.

Pia kama una muda tutaongea vizuri kwa mifano Kati ya Dar na Nairobi ipi ni at least Walkable City.

View attachment 2259527
Sasa kuna haja gani ya kuuliza which one is walkable city wakati picha yenyewe inajieleza?
 
Which kitisuru is that? Please attach a link..there is no place in Tz that can match kitisuri, proof me wrong
Screenshot_20220613-193527.png
Screenshot_20220613-193633.png
Screenshot_20220613-193816.png
 
Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.

Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo.

Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebishana.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuna mambo yanaendelea huku. Sikuwa free muda mrefu kidogo ngoja nitafute chanzo cha hii habari kwanza.
 
Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.

This is a very nice move by Kenyan Maasai brethrens to stand in defence of their counterpart in Tanzania, very inspiring indeed
 
Tutafunga mpaka halafu tuone jeuri yenu
Ndugu tumia akili kidogo basi kinachofanyika Ngorongoro sio sawa, kama kweli kuna wakenya walikuwa wanaingia wangechukua hatua kuwazuia ili shughuli ziende vizuri.
Suala la kuwahamisha sio sawa ni muhimu kuhakikisha wanaendelea kuishi kwa amani na wanyama
 
Hili jambo la kuhamisha Wamaasai lilikuja kwa Al Jazeera 3 months ago. Mlikuwa mumeshapanga kuwatoa miezi mitatu iliyopita.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom