Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Park zilikuwepo nyingi tuu mjini, sema kilipita kipindi, viongozi wetu wakawa hawajali. Mfano, hapo Gymkhana, zamani kulikuwa na viwanja vya kuchezea kikapu (Pazi), wakajenga hoteli.

Fukwe ya posta ya zamani wakaziwekea senyenge, mnazi mmoja wakaifunga, pale palipokuwa mabembeani (mtaa wa Samora) napo wakala kichwa. Imebaki botanical garden, dengu beach na coco beach tuu sasa.

Panatakiwa uamuzi tuu wa kiongozi mwenye uelewa kurudisha kama ilivyokuwa zamani.

Ndicho nilichomaanisha kwanza nakumbuka hata Magomeni zamani kulikuwa na bustani ya miti kubwa na nzuri sijui siku hizi sijaenda huko siku nyingi tofauti na Nairobi, Parks zote zipo na zinatumika na wananchi wa kawaida!
 
Angalien hapo chin kwenye kituo cha BRT, zile pavement blocks za SGR station wamezifumua to pave a way for BRT lane
image_cbc47ac1-152b-4fca-a06b-9b592d5c8c1620220526_081308.jpg
 
Mother fala sana huyo .... kifo cha magufuli ana husika .. na mm natabiri kuwa huenda akawa rais wa kwanza tz kwenda jela .
Dah, mi sijui kilichotokea manaake Magu mwenyewe alikuwa kama anatuaga na kutoa wosia kila akitoa hotuba.

Ila Uturn waliyoipiga kwenye korona, ilikuwa siyo yakawaida. Halafu wale wote waliokuwa wanampinga Magu mitandaoni, kuanzia yule mama wa BBC, Nape, Januari n.k... ndo wako nae bega kwa bega. Dah, ngumu kumeza aisee.
 
Ndicho nilichomaanisha kwanza nakumbuka hata Magomeni zamani kulikuwa na bustani ya miti kubwa na nzuri sijui siku hizi sijaenda huko siku nyingi, tofauti na Nairobi Parks zote zipo na zinatumika na wananchi wa kawaida!
Sijui kulitokea nini Kipindi cha Mzee Mkapa labda yalikuwa ni masharti ya WB, maana hawa jamaa kupata pesa zao huwa na masharti ya nusu shari nusu ushirikina.
 
Sio wewe unacheka Nairobi kila mara ukisema Nairobi ni pori
Ka Nairobi kana pori na vimajengo vichache Dar lina majengo na miti mingi. So ka Nairobi hakaiwezi Dar kwa vyote, si area, buildings wala trees, just accept it and move on.
 
Sijui kulitokea nini Kipindi cha Mzee Mkapa labda yalikuwa ni masharti ya WB, maana hawa jamaa kupata pesa zao huwa na masharti nusu shari nusu ushirikina.

Ninachojua kwa mfano Nairobi walifight sana kuokoa hizo parks tayari wanasiasa walishazichukuwa kutaka kujenga skyscrapers, kuna yule mama mpaka alipata nobel prize hivyo siyo rahisi ni mwamko hata sisi tunahitaji mwamko mfano sasa hivi hata Coco beach tunaenda kuipoteza kwa maana tayari Manji alishaanza kupiga uzio Lukuvi akampiga biti, hivyo ni swala la muda tu Coco beach itaenda pia!
 
Ninachojua kwa mfano Nairobi walifight sana kuokoa hizo parks tayari wanasiasa walishazichukuwa kutaka kujenga skyscrapers, kuna yule mama mpaka alipata nobel prize hivyo siyo rahisi ni mwamko hata sisi tunahitaji mwamko mfano sasa hivi hata Coco beach tunaenda kuipoteza kwa maana tayari Manji alishaanza kupiga uzio Lukuvi akampiga biti, hivyo ni swala la muda tu Coco beach itaenda pia!
Hii ya Coco beach ni Magu ndiye aliyemwekea Manji kauzibe. Sasa Lukuvi wamemtoa halafu prince ndo kawekwa kusaidia kushikilia mpini. Na mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, sasa watoto wetu Eid al fitr na Chrismas wataenda wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom