Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi wachumi mnanichekesha sana kwa kweli, hivi vitu mbona vinanichanganya? Ni pato gani anazungumzia hapa, la mtu mmoja mmoja au la nchi?
Huyo sio mchumi ila ni mchumia tumbo, Wala usijisumbue kufuatilia post zake atakupoteza, yeye mwenyewe hajui anachokizungumza

USA utajiri wao GDP ni $22trl, idadi ya watu ni 300M, ukicuhukua hiyo pesa na kugawanya kwa idadi ya watu, kila raia atapata $65,000(GDP per Capita.

Qatar utajiri wao(GDP) ni $220B, idadi ya watu ni 1.5M, ukigawanya hiyo pesa kwa idadi ya watu, kila raia wa Qatar atapa $160,000(GDP per Capita).

Which country is richer among the two?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kamwana doing it he does best, construction.

In 10 months time the hospital is complete.

Another 600 bed Hospital ''The National Teaching and Referral Neuropsychiatric Centre'' to begin construction next month in Karen, Ngong. Uhuru has done the most.

na ukichunguza vizuri, utakuta hizi ghorofa za Morocco sio mirefu. ata kupata moja ya ghorofa kumi itakua ni bahati.
hivi nimewadaka najua itakua ni uchungu😖😖

cc: Teargas

View attachment 2238656
Ni hapa 👇
storytellerbrand.tz_1646758277579643.jpg
dronem.tz_1643974550738558.jpg
moizhusein_1650978468051114.jpg
moizhusein_1650978431506855.jpg
 
Kuna kisa nimekisoma jana eti askari wa GSU alikuwa anatoka matembezi usiku akiwa na wanawake wawili,ghafla wakatokea majambazi wawili wakiwa na pikipiki wakataka kuwapora akaanza kupambana nao, wanawake wakatimka mbio.

Akampiga teke jambazi mmoja akaanguka chini, mwenzie kuona hivyo akachomoa panga, ehee! Askari mbioo hadi kambini kuwaita wenzie, walivyofika hawakuwakuta ila walikuta meno 2 na wigi wanadhani ni la mmojawapo wa wanawake 2 waliotimua mbio.

Huyu GSU bwana ni mkufunzi komandoo wa hawa askari wa GSU tena ana uzoefu wa miaka 10 hapo chuoni, kilichonishangaza ni kukimbia jambazi mwenye panga, hayo mafunzo yao anawafundisha kitu gani kama silaha baridi namna hii hawezi kukabiliana naye inakuwaje akikutana na mwenye mafunzo na ana bunduki?

Mbona komandoo wetu hawa watu wa namna hii huwa wanacheza nao vizuri tu, tena hata huku kitaa wapo wababe wanawakalisha vizuri tu,tena wawili? Angekuwa raia sawa, askari tena elite soldier?

Wakenya nyinyi ni waoga sana kwenye mapigano, mnatuzidi kufukuza upepo tu kwenye michezo hilo nalikubali.
Hao KDF hatujasahau walipigwa na mwanamke mpaka wakaomba poo. Mnamkumbuka The Black Widow Samantha? Shughuli yake wanaijua vizuri tuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyo sio mchumi ila ni mchumia tumbo, Wala usijisumbue kufuatilia post zake atakupoteza, yeye mwenyewe hajui anachokizungumza

USA utajiri wao GDP ni $22trl, idadi ya watu ni 300M, ukicuhukua hiyo pesa na kugawanya kwa idadi ya watu, kila raia atapata $65,000(GDP per Capita.

Qatar utajiri wao(GDP) ni $220B, idadi ya watu ni 1.5M, ukigawanya hiyo pesa kwa idadi ya watu, kila raia wa Qatar atapa $160,000(GDP per Capita).

Which country is richer among the two?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nikifikiria uchumi wa nchi wenye GDP ya dollar tln 1 ulivyo mkubwa kama Brazili, Germany 3 tln, halafu misaada wanayotoa kwa nchi masikini, maisha wanayoishi yalivyo ya uhakika,miundombinu yao,afya,ulinzi halafu tuishindanishe na nchi yenye dollar 250 unapata picha tofauti kabisa.

Tlioni 20 aisee wenzetu wako mbali sana kaa kweli. Afrika bado tuna safari ndefu.
 
Hao KDF hatujasahau walipigwa na mwanamke mpaka wakaomba poo. Mnamkumbuka The Black Widow Samantha? Shughuli yake wanaijua vizuri tuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu,hii ilikuwaje mbona siikumbuki?Naomba unikumbushe tena.

Hawa wanacheka mazoezi ya askari wetu pasipo kujua ndio mazoezi ya utimamu wa mwili, wana mazoezi laini laini na mepesi wanazidiwa na JKT.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom