Battered-photo-of-Rihanna

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Battered-photo-of-Rihanna-leaked-TMZ.jpg

Los Angeles police have launched an internal investigation after a photograph showing Rihanna's "horrific" injuries, allegedly at the hands of ex-boyfriend Chris Brown, surfaced online.

The shocking snap - posted by TMZ - features a close-up of what appears to be the Umbrella singer with heavy bruising on her forehead, a swollen nose and a bloody lip.
Following the publication of the gruesome photo, the LAPD said in a statement: “The Los Angeles Police Department takes seriously its duty to maintain the confidentiality of victims of domestic violence.

"A violation of this type is considered serious misconduct, with penalties up to and including termination."

Source: TMZ
 
CB anahitajika achapwe viboko...hawezi kuharibu sura ya kigoli namna hii.....jamani mtoto kama huyu hachapwi namna hii....kuna kipigo chake....R ampige chini kuna masingle kibao tupo
 
CB anahitajika achapwe viboko...hawezi kuharibu sura ya kigoli namna hii.....jamani mtoto kama huyu hachapwi namna hii....kuna kipigo chake....R ampige chini kuna masingle kibao tupo

...mdomo jumba la maneno, lakini yawe na mpaka ati...!... hako kamdomo ndiko kalikomchongea, ...kademu kanahitaji kukazuia hako kamdomo!

ona sasa, kamdomo limegeuka domo, ...nxt tym atakujang'olewa meno!
 
NO, hata mwanamke aseme chochote REAL MEN don't beat women, hiyo mkuu nakataa! Kumpiga mwanamke ambaye ni mnyonge kwako inaonyesha una matatizo kisaikolojia... ukaombe msaada! Chris Brown akaombe tu therapy!
 
CB anahitaji achapwe viboko....mkuu naumia sana aisee kaharibu uaridi hili.....mkuu hiki chombo mie hata miziki yake nilikuwa sisikilizi sana nakiangalia chenyewe tu...
 
Yo Yo;380503]aaaaah mkuu goal i see itakwama zijazichanga si unajua nabeba kifaa haswa chahitaji high maintanance

Shem kuwa mkweli mchumba wako amemegwa kichizi na Liyumba!! hahahah
 
Shem kuwa mkweli mchumba wako amemegwa kichizi na Liyumba!! hahahah
kwikwikwikwi aaah wapi shem ukabaji wangu salum kabunda "ninja"......unajua ile nakaba mpaka nakera ndio zangu......mijitu ya namna ya akina liumba mie siilazii damu....siku hizi akina Bob Denard wengi bongo....
 
Mademu kama hao kuwahandle kazi ngumu but CB alichemsha sana kumpiga huyo demu
 
Just 2 say Hi, leo ndo naingia kwa mara ya kwanza, nimevutika sana na michango mbalimbali, ila kuhusu huyo Demu pesa zinawazingua mastaa wa huko majuu.
 
NO, hata mwanamke aseme chochote REAL MEN don't beat women, hiyo mkuu nakataa! Kumpiga mwanamke ambaye ni mnyonge kwako inaonyesha una matatizo kisaikolojia... ukaombe msaada! Chris Brown akaombe tu therapy!

Susuviri; once again you need help!!! how shallow.... duh!

as far as i know; u miss hell lots of facts and help

some women are stronger than ma mom and ma granny
 
NO, hata mwanamke aseme chochote REAL MEN don't beat women, hiyo mkuu nakataa! Kumpiga mwanamke ambaye ni mnyonge kwako inaonyesha una matatizo kisaikolojia... ukaombe msaada! Chris Brown akaombe tu therapy!

...who are real men anyway? kupigwa ni kupigwa tu, iwe anayepigwa ni mwanamke au mwanaume, wanaume wanaokula mkong'oto toka kwa wake zao tuwaite 'unreal' men au?

"...kofi la mpenzi haliumi!"
 
Jamaa atakuwa na asili ya jamaa zangu wa majita/kurya, alafu na sisi wabongo hili nalo linatufanya tushangae, mbona hapa bongo kila siku yanatokea wala hatuoni thread humu ndani au kwakuwa leo imetokea marekani? inasikitisha nguvu zinazotumika kukomalia issue ya CB si sawa na ile inayotumika kukemea ukatili dhidi ya wanawake hapa nchini. Sijui ni utumwa au ulimbukeni?
 
Mijitu mingine bana...thread ya Rihanna na Chris Breezy....lenyewe linaleta risala zake na mambo ya siasa za bongo....linaandika aya nyiiingi......sucker beeeoytch
 
Back
Top Bottom