Baton Rouge: 'Three US police officers shot'

I'm following closely.

Things are not as bad as some folks suggest.

It's very peaceful where I'm at.

Peace and quiet is our way of life and we love our men and women in blue.

They keep us safe.
Ok, Kumbe watu wanaongeza tu chumvi ili kulichafua taifa la marekani

Lakini kuna ukweli wowote kwamba polisi wameuawa?
 
Ndiyo, hiyo ni kweli.

Lakini Marekani ina watu zaidi ya milioni 300 na majimbo 50.

Now put that into perspective.

Are things really that bad?
 
Nguvu kubwa sana imetumika kwani hakuna ushahidi kwamba Alton alikuwa ni tishio kwa hao maofisa wawili wa polisi.

Mpaka Alton anabinywa hapo chini pistol yake ilikuwa mfukoni na ukiifuatilia video iliyowekwa mitandaoni, inaonyesha mmoja wa askari hao wawili akiingiza mkono mfukoni mwa Alton baada ya kumpiaa risasi na kuichukua pistol hiyo.

Hii ni incident moja, let's talk in general matukio yanayopelekea kufikia huku.
Weusi wenyewe wana matatizo kibao!, why is that overlooked?
 
Ndiyo, hiyo ni kweli.

Lakini Marekani ina watu zaidi ya milioni 300 na majimbo 50.

Now put that into perspective.

Are things really that bad?
Hapana.
Lakini ninyi kama wamarekani na serikali kwa ujumla mmejipanga vipi kurudisha imani kwa waamerica weusi wanaolalamika na kuandama wakidai kwamba wanabaguliwa na jeshi la polisi?
Maana tangu huu mwezi umeanza tumesikia kwamba waamerica weusi nao wameanza kuchukua hatua kwa kuwapiga risasi askari weupe kwa madai ya kulipa kisasi ambalo ni jambo la hatari na la kufedhehesha kwa taifa kubwa linalodai kutetea demokrasia duniani?
Ikumbukwe pia rais Barack Obama nae alisikitishwa sana na matukio hayo na kuahidi kufanya mageuzi kwenye jeshi.

Hili swala unaliona vipi maana unaonekana kuyachukulia ni ya kawaida haya matukio?
 
Hii ni incident moja, let's talk in general matukio yanayopelekea kufikia huku.
Weusi wenyewe wana matatizo kibao!, why is that overlooked?

The issue here is about white police using "shoot to kill policy" without any investigation before and after the incident.

If you do that time after time, there is a possibility of a backlash and that's what we see today.
 
Hapana.
Lakini ninyi kama wamarekani na serikali kwa ujumla mmejipanga vipi kurudisha imani kwa waamerica weusi wanaolalamika na kuandama wakidai kwamba wanabaguliwa na jeshi la polisi?

Marekani hakuna jeshi la polisi moja. Hakuna IGP Marekani.

Halafu mimi si Mmarekani. Naipenda tu Marekani.

Na serikali ya Marekani haina usemi mkubwa juu ya idara za polisi za miji kwani hilo huwa ni suala ya serikali ndogo za hiyo miji.

Maana tangu huu mwezi umeanza tumesikia kwamba waamerica weusi nao wameanza kuchukua hatua kwa kuwapiga risasi askari weupe kwa madai ya kulipa kisasi ambalo ni jambo la hatari na la kufedhehesha kwa taifa kubwa linalodai kutetea demokrasia duniani?

Sawa, lakini ukweli ni kwamba idadi ya polisi waliouwawa ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya weusi kwa weusi waliouana mwezi huu.

Hali mbaya ipo kwenye jamii ya weusi wanaouana wao kwa wao kwa kiwango cha kutisha.

Ikumbukwe pia rais Barack Obama nae alisikitishwa sana na matukio hayo na kuahidi kufanya mageuzi kwenye jeshi.

Rais wa Marekani hawezi kufanya chochote kikubwa juu ya mageuzi ya idara za polisi. Hana hayo mamlaka kikatiba. Anachoweza labda ni kutumia nafasi yake ya ushawishi. Zaidi ya hapo hakuna analoweza kufanya.

Hili swala unaliona vipi maana unaonekana kuyachukulia ni ya kawaida haya matukio?

Nayachukulia kawaida kulingana na taswira potofu inayojengwa kwamba Marekani sasa hivi ni kama Aleppo.

Hali siyo mbaya kama baadhi ya watu wanavyotaka kuaminisha watu.
 
Mimi nimemwelewa na nimejaribu kumfafanulia ila nadhani akisema kwenda Deep pengine anamaanisha kwamba, hii "incident" pengine ilikuwa imesababishwa na marehemu mwenyewe.
Yawzekana hii ilisababishwa na mwenyewe kwa kuwa kwenye taarifa wanasema muuaji alikuwa na tatizo la akili.
 
Ukiwa na matatizo ya akili Marekani huruhusiwi kumiliki silaha, unafeli kwenye "background checks"

Silaha aliyokuwa nayo marehemu aliimiliki kihalali.
 
Mimi nimemwelewa na nimejaribu kumfafanulia ila nadhani akisema kwenda Deep pengine anamaanisha kwamba, hii "incident" pengine ilikuwa imesababishwa na marehemu mwenyewe.

First of, we shouldn't be making assumptions in this particular today's incident when it comes to race, it's not confirmed if suspects are blacks, whites or both.
 
Ni vita down town Baton Rouge.

ad_213185912.jpg

Update:
Watu wawili wenye silaha ndio waliohusika kuwafyatulia risasi askari polisi na inasemwa mmoja wao ni mwenye matatizo ya akili. Bado kujulikana kama ni kitendo cha kigaidi au namna ya kuwasilisha ujumbe fulani.

Update: Baton Rouge ndipo alipouwawa mmarekani mweusi Alton Sterling.

Update:
Msemaji wa polisi Casey Rayborn Hicks kutoka kituo cha polisi cha East Baton Rouge Sheriff’s Office anasema eneo la Airline Highway limefungwa na watu watafute utaratibu mwingine wa usafiri.

Update:
Polisi wametanda eneo kubwa la Baton Rouge ambapo watu wenye silaha wanadaikiwa kuwa wamejificha.

Update
: Idadi ya askari waliokufa sasa ni watatu, na waliopigwa risasi ni saba.

3500.jpg

Askari polisi wawili wameuwawa baada ya kubadilishana risasi na kikundi cha watu katika mji wa baron Rouge.

Habari zaidi kuendelea kuja, lakini polisi wengine watatu wamejeruhiwa vibaya na hali zao si nzuri.

Kusema Jijini Louisiana ni sawa na kusema Jijini Kilimanjaro. Louisiana ni State, lakini ndani ya State hakuna specific location panaitwa Louisiana. Haya Mauaji ya Polisi yametokea katika mji mkuu (Capital City) wa State ya Louisiana- Baton Rouge kama kilometa 100 kutoka Jijini New Orleans.
Katika mjii huu wa Baton Rouge ndo pia ipo Chuo Kikuu cha Louisiana State (LSU)
Mungu awabariki familia za Mapolisi waliouawa, mimi na familia yangu tunawaombea na tuko pamoja katika hili Baton Rouge.
 
Marekani hakuna jeshi la polisi moja. Hakuna IGP Marekani.

Ok, sorry

Halafu mimi si Mmarekani. Naipenda tu Marekani.

Nimekuita mmarekani nikimaanisha unaishi marekani.
Sababu hata siku ikatokea wakakuua kwa bahati mbaya, tutakachosikia ni "askari wa marekani wamuua mweusi mwengine"

Na serikali ya Marekani haina usemi mkubwa juu ya idara za polisi za miji kwani hilo huwa ni suala ya serikali ndogo za hiyo miji.

Sawa.
Vipi kwa haya mauaji ya leo serikali inayohusika mjini hapo imesemaje labda katika kukomesha mauaji haya polisi?

Sawa, lakini ukweli ni kwamba idadi ya polisi waliouwawa ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya weusi kwa weusi waliouana mwezi huu.

Mr Nyani ngabu hapa tunaongelea swala la ubaguzi kati ya polisi waamerica na waamerica weusi kama raia.
Unapochukulia kwamba kwasababu wanauana wenyewe kwa wenyewe basi hata wakiuawa na askari waamerica basi tusihoji hii sio sawa.
Ni sawa na wewe una gari lako unaliendesha kwa fujo, basi uchukulie hata ukimpa jirani nae aliendeshe kwa fujo kisa wewe unaliendesha kwa fujo pia.

Hali mbaya ipo kwenye jamii ya weusi wanaouana wao kwa wao kwa kiwango cha kutisha.

Serikali kama serikali imechukua jukumu gani kukomesha hayo mauaji ya wenyewe kwa wenyewe?
Maana hata hapa Tanzania ikitokea kabila fulani wakianza kuuana, hilo ni jukumu la serikali ya Tanzania kurudisha utulivu kwenye jamii

Rais wa Marekani hawezi kufanya chochote kikubwa juu ya mageuzi ya idara za polisi. Hana hayo mamlaka kikatiba. Anachoweza labda ni kutumia nafasi yake ya ushawishi. Zaidi ya hapo hakuna analoweza kufanya.

Hata kwa ushawishi pia itasaidia.

Nayachukulia kawaida kulingana na taswira potofu inayojengwa kwamba Marekani sasa hivi ni kama Aleppo.

Hapana! Hata mimi nakataa.
Kinachonifanya nihoji sana ni kwamba taifa hili la marekani ndilo mmbeba bendera mkuu wa democracy duniani

Hali siyo mbaya kama baadhi ya watu wanavyotaka kuaminisha watu.

Nakuelewa sana Mr Nyani Ngabu
 
First of, we shouldn't be making assumptions in this particular incident when it comes to race, it's not confirmed if suspects are blacks, whites or both.

Ok, lets wait for further confirmation.

But I'm not making any assumptions whatsoever, but facts are there on my heading.

These fatcs have been confirmed by State Governor John Bell Edwards.

I don't know why you are choosing that route of race.

Stay in line and don't provoke people.
 
Kusema Jijini Louisiana ni sawa na kusema Jijini Kilimanjaro. Louisiana ni State, lakini ndani ya State hakuna specific location panaitwa Louisiana. Haya Mauaji ya Polisi yametokea katika mji mkuu (Capital City) wa State ya Louisiana- Baton Rouge kama kilometa 100 kutoka Jijini New Orleans.
Katika mjii huu wa Baton Rouge ndo pia ipo Chuo Kikuu cha Louisiana State (LSU)
Mungu awabariki familia za Mapolisi waliouawa, mimi na familia yangu tunawaombea na tuko pamoja katika hili Baton Rouge.

Naona umejitahidi kwelikweli kueleza, haya ahsante kwa ufafanuzi nami nawaombea kwa Mungu muwe katika Amani huko mlipo.
 
Ok, lets wait for further confirmation.

But I'm not making any assumptions whatsoever, but facts are there on my heading.

These fatcs have been confirmed by State Governor John Bell Edwards.

I don't know why you are choosing that route of race.
Stay in line and don't provoke people.

What do you mean, what route of race and how did I do the provocation?
By suggesting that blacks have issues of their own?!
 
Marekani hakuna jeshi la polisi moja. Hakuna IGP Marekani.

Halafu mimi si Mmarekani. Naipenda tu Marekani.

Na serikali ya Marekani haina usemi mkubwa juu ya idara za polisi za miji kwani hilo huwa ni suala ya serikali ndogo za hiyo miji.

Sawa, lakini ukweli ni kwamba idadi ya polisi waliouwawa ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya weusi kwa weusi waliouana mwezi huu.

Hali mbaya ipo kwenye jamii ya weusi wanaouana wao kwa wao kwa kiwango cha kutisha.

Rais wa Marekani hawezi kufanya chochote kikubwa juu ya mageuzi ya idara za polisi. Hana hayo mamlaka kikatiba. Anachoweza labda ni kutumia nafasi yake ya ushawishi. Zaidi ya hapo hakuna analoweza kufanya.

Nayachukulia kawaida kulingana na taswira potofu inayojengwa kwamba Marekani sasa hivi ni kama Aleppo.

Hali siyo mbaya kama baadhi ya watu wanavyotaka kuaminisha watu.

Mkuu NN

Kiuhalisia kabisa kama mimi nataka kuishi Marekani bila matatizo kabisa, ni State ipi hasa iko poa kuanzia unafuu wa maisha, haina vibaka, ukitembea njiani hata usiku huna wasiwasi, ajira a boksi za kumwaga na mambo mengine kama hayo?
 
Majimbo yote yako salama kabisa.
 
Back
Top Bottom