Basi la Simiyu express lapata ajali, lagonga mkokoteni na kusababisha vifo

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,024
2,299
Basi la Simiyu express toka Mwanza kwenda Dar..
basi limegonga mkokoteni wa ng'ombe na kuua watembea kwa miguu
 

Attachments

  • Screenshot_2015-03-13-14-06-11.png
    Screenshot_2015-03-13-14-06-11.png
    133.8 KB · Views: 1,406
Mbona ajali zinazidi!?
Au wanaotaka kuongezewaz muda na makashfa ya escrow baada ya kubanwa kwenye Albino sasa wamehamia huku!
 
Kufika mwishoni mwa mwaka tutakuwa tumekwisha wote kama hali ndiyo hii, 46 wa mafuriko kahama+55 wa ajali ya basi juzi watu 101 wamepotea ndani ya wiki 2?Mungu tunusuru
 
Halafu mnasema barabara ni nzuri...angalia hiyo picha..kingo za barabara zipo vipi.

kiongozi hawa madereva wapo rafu sana apo imepata ajali ndo ilikuwa inaanza safari, ni meter 50 toka stand na hiyo barabara ni ya vimiji vyetu vidogo haina km tatu kuanzia mwanzo wa mji hadi mwisho. hapo ni uzembe wa dereva.
 
Jamani hawa madereva wa mabasi hivi hawatambui kua barabara ni kwa matumizi ya wote? Mbona wanafanya kama barabara ni za kwao tu hata wasitembee kwa tahadhari
 
Back
Top Bottom