Basi la shabaha lapata ajali

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Taarifa nilizozipata hivi punde kuna ajali ya basi la kampuni ya shabaha limepata ajali wilayani same mkoani kilimanjaro na inasadikiwa watu 29 wamejeruhiwa
 
Ajali!!? is no longer news!, it has been an order of a day now!!
 
..Basi ni la FASAHA linalosafiri kati ya Arusha na Tanga. Yalikuwa yanakimbizana na lingine na yalipofika Same hilo FASAHA likapinduka. Watu 29 wamekimbizwa hospitalini na hakuna taarifa za kifo. Source: Radio One Breaking News @ 15 Hrs.
 
Back
Top Bottom