Msaada: Basi gani ni zuri kwa safari ya kutoka Dar-es-Salaam kwenda Mbeya?

Tetramelyz

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
4,351
12,396
Za jioni members?

Nataka kusafiri alhamisi ya kesho kutwa kutoka dsm kwenda mbeya, basi gani (high class) wanatoa huduma nzuri kwa mteja wakati wa safari, ambalo mfano wake naweza sema ni kama mabasi ya tahmeed ya dsm to kilimanjaro?

Wanaoutendea haki ule msemo wa mteja ni mfalme ndio nawahitaji
 
1.Rungwe express
2.JM Safari
3. New Force
No. 1 is the best currently!!

Au kama vipi check na fastjet mbona cheap tuu
 
Jm luxury coach
 
1.Rungwe express
2.JM Safari
3. New Force
No. 1 is the best currently!!

Au kama vipi check na fastjet mbona cheap tuu
Fastjet sh ngapi ? Af hiyo list ndio na ubora wa huduma ni hivyo hivyo sio?
 
Back
Top Bottom