Bashe na mtazamo wake juu ya maandamano ya CHADEMA (UKUTA)

Kwa kuwa haya yameletwa na Bashe, kapongezwa kweli ila niseme tu kuwa, mnampongeza kwa kuwa mnamfahamu kupitia siasa, kuna watu wanatema masuala ya maana ila kwa kuwa hawafahamiki, wananangwa tu! Endeleeni kushikiwa akili maana nimeona watu wanaona kitabu alichotumia Bashe ni kama kitabu kitakatifu! Watanzania sijui tukoje tu!
Lete na wewe kitabu chako ulichosoma tutakusifia tu maana naona wewe moyo wako umejazwa tu na Chiki
 
Huyu ni mwana CCM mwenzangu, of my type... sio wa NDIOOOOO...OOOOO...!!

He is very objective... not subjective..!! Proactive as well not Reactive..!!

Bashe, ni kiongozi na sio manager..!!

CCM still vijana with big brain tuko hapa.. and we are here CCM to stay and correcting ourselves.... tuko, na tutaendelea kuwepo CCM..!!
 
Bashe huyu ni aina ya watu wanao zaliwa viongozi,na mtarajia kufika mbali sana kwenye nchi inayo jali democracy ya kweli.
 
Kwa kuwa haya yameletwa na Bashe, kapongezwa kweli ila niseme tu kuwa, mnampongeza kwa kuwa mnamfahamu kupitia siasa, kuna watu wanatema masuala ya maana ila kwa kuwa hawafahamiki, wananangwa tu! Endeleeni kushikiwa akili maana nimeona watu wanaona kitabu alichotumia Bashe ni kama kitabu kitakatifu! Watanzania sijui tukoje tu!
Mkuu hii hali inayoendelea umetumia vitabu gani kuieleze tofauti na alichotumia Bashe!?!?
 
Tatizo kubwa lipo ktk katiba maana katiba inamtambua rais kuwa ni amiri jeshi mkuu, maana yake rais ni msemaji wa kauli ya mwisho (final say) na wengine ni kutii tu! Nani uliwahi kusikia anadai democrasia jeshini? Kwa mujibu wa katiba tunayotumia, rais ana nguvu kuliko mtu yeyote nchini! Tatizo wengi wetu tumesahau hata kwa nini kuliundwa ukawa, ukawa ilitaka kuja na katiba inayoonyesha demokrasia, kwa sasa wengi wa wanaolilia democrasia ni tatizo la elimu kuielewa katiba, mimi nalilia katiba itakayojenga demokrasia!
 
Tatizo kubwa lipo ktk katiba maana katiba inamtambua rais kuwa ni amiri jeshi mkuu, maana yake rais ni msemaji wa kauli ya mwisho (final say) na wengine ni kutii tu! Nani uliwahi kusikia anadai democrasia jeshini? Kwa mujibu wa katiba tunayotumia, rais ana nguvu kuliko mtu yeyote nchini! Tatizo wengi wetu tumesahau hata kwa nini kuliundwa ukawa, ukawa ilitaka kuja na katiba inayoonyesha demokrasia, kwa sasa wengi wa wanaolilia democrasia ni tatizo la elimu kuielewa katiba, mimi nalilia katiba itakayojenga demokrasia!
Aina haja ya katiba basi kama ndio hivyo pima ulicho kiandika atahao wanajeshi wanasheria zao lazma zifatwe ingekuwa ivyo pakaleo jk angekuwa rais wa nchi ni muhimu kufata sheria tulizo APA tutazilinda na sio matamanio ya mtu binafsi
 
Incredible a war lord inspiring peace corps. Let the government teach lessons to disobedient citizens.
 
Tatizo la Mtukufu hana tabia ya kujisomea, iwe ni vitabu au Magazeti...hivi ni vitabu vya kawaida tu kusomwa na Wanasiasa,lakini ask Magufuli kama amewahi kuviona...atakwambia The Art of War ndo Mabarabara gani hayo!
Mkuu usimchezee mfalme yeye anajua idadi ya barabara zote na km zake had idadi ya sato na sangara ziwa Victoria.
 
ANAANDIKA HUSEIN BASHE MBUNGE WA NZEGA MJINI (CCM)

Nimepitia upya leo Art of war kidogo nimeona nishare na na nyinyi yafuatayo:

NEGOTIATE WHILE ADVANCING: THE DIPLOMATIC-WAR STRATEGY
_Before and during negotiations, you must keep advancing, creating relentless pressure and compelling the other side to settle on your terms. The more you take, the more you can give back in meaningless concessions. Create a reputation for being tough and uncompromising, so that people are back on their heels before they even meet you._

Hiyo iko *page 16*

Kulikuwa na jaribio la mazungumzo. Lakini hawa UKUTA hawakusitisha mipango yao.

THE PERFECT-ECONOMY STRATEGY

We all have limitations--our energies and skills will take us only so far. Danger comes from trying to surpass our limits. Seduced by some glittering prize into overextending ourselves, we end up exhausted and vulnerable. You must know your limits and pick your battles carefully. Consider the hidden costs of a war: time lost, political goodwill squandered, an embittered enemy bent on revenge. Sometimes it is better to wait, to undermine your enemies covertly rather than hitting them straight on. If battle cannot be avoided, get them to fight on your terms. Aim at their weaknesses; make the war expensive for them and cheap for you. Fighting with perfect economy, you can outlast even the most powerful foe.

Hiyo iko Page 261

Wanachokifanya hawa UKUTA ni kuitia Serikali hasara. Zaidi ya hilo Chadema wamekuwa PRO ACTIVE na kuwalazimisha "JAMHURI" kuwa REACTIVE. Sasa Jamhuri inacheza ngoma ya Chadema badala ya Chadema kucheza ngoma ya Jamhuri.

SHIFT THE BATTLEFIELD STRATEGY

An enemy naturally wants to fight you on familiar terrain. Terrain in this sense means all of the details of the battle--the time and place, exactly what is being fought over, who is involved in the struggle, and so on. By subtly shifting your enemies into places and situations that are not familiar to them, you control the dynamic. Without realizing what is happening, your opponents find themselves fighting on your terms.

Page 462-463

Kwa hapa Chadema wameshinda. Wameifanya Jamhuri kuingiza askari mitaani kama wonyesho. Sijui idadi ya askari wote wa Tanzania, lakini hawawezi kuwa kila mahali kwa wakati mmoja. Chadema wamefanya harakati hizi ziwe kila mahali. Kama kweli wataandamana na kufanya mikutano kama wanavyodai, askari hawatatosha.

ULTIMATE CONTROL STRATEGY


By acting boldly, before others are ready, by moving to seize the initiative, you create your own circumstances rather than simply waiting for what life brings you. Your initial push alters the situation, on your terms. People are made to react to you, making you seem larger and more powerful than may be the case. The respect and fear you inspire will translate into offensive power, a reputation that precedes you. Like Rommel, you must also have a touch of madness: ready to disorient and confuse for its own sake, to keep advancing no matter the circumstance. It is up to you--be constantly defensive or make others feel it instead.

Hiyo iko Page 468

Robert Greene anaandika: _*"... initial push alters the situation,... and people react to you..."*_ Haina ubishi kwamba sasa JAMHURI inawachukulia 'seriously' hawa UKUTA. Vinginevyo wonyesho la askari mitaani lisingalikuwapo pamoja na yale matamko yote tuliyosikia. Kama UKUTA ni wapuuzi, Jamhuri ingewapuuza. HAIKUWAPUUZA, and for that matter, si wapuuzi. Wametumia _

ULTIMATE CONTROL STRATEGY

My take

Huyu Bashe anakali ambazo sio za kiccmcmm ni mtu makini sana na mwenye maono ya mbali sana.
View attachment 385743View attachment 385744

Mhe. Bashe is a very clever man, he must be. He has taken for a ride the entire UKAWA network with this posting. It's quite brilliant, quite profound. Kama CCM wako hivi, kweli ni moto wa kuotea mbali.

"VITA" hivi vimeanzia TV Live Bungeni - kwa sasa hamna vita. UKAWA walizoea kugoma na kupiga kelele Bunge linaahirishwa: safari hii CCM ikasema no way, ikawafukuza. 1-0

Wakaja vilaza wa UDOM: Nassari akataka kupigana n amapolisi Bungeni na wenzie wakamfuta; he was tossed out. Kina Zitto wakaenda Mbagala kuomba live TV na kutetea vilaza wa UDOM. Walitegemea Wazazi watawasikiliza - nothing happened. CCM stayed pat on the rules, Prof Ndalichako akaonyesha wananchi kuwa UDOM ni vilaza; ni wahuni; ni majizi: yaani kati ya 5,897 waliokuwa halali ni 382 tu,. THEREFORE, na Wabunge wanaowashabikia ni wahuni, ni wezi. Magoli mawili kwa nunge, 2-0.

Ikaja kumgomea Dr Tulia. Wakamgomea. Wakafunga midomo. They were ignored. Wakakatwa posho. Three-zero, 3-0.

Hii ya UKUTA ni mfa maji sasa anatapatapa, hana tena cha kufanya milango yote na vitisho vyote vimekwisha. Lakini hata hapa kuna mabadiliko. Tulizoea maandamani na fuji Usukumani ikafiuka hadi wakaenda kupigania maiti.Watu wakajiuliza: mbona Moshi hakuna fujo? Sasa tunaona Mbowe anaenda Moshi. Message ameipata.

Vita ya UKUTA ni kati ya UKUTA na polisi. CCM haimo kabisa. Waache wapate vilema. Mapolisi wako barabarani kuwapoza moyo wananchi, si kuwatisha UKUTA. Vita huwa havitishwi.

Na humu JF jamaa wakadhani Bashe yuko kwao kumbe kawapiga chenga ya mwili. 4-0.

THIS IS THE CORRECT INTERRETATION OF THE ART OF WAR BY EMPEROR CHU-TZE, MONGOLIA 5000BC.
 
I can imagine Kijana Machachari Kama Bashe Angekuwa Amepewa Position fulani kwenye Baraza la Mawaziri la Magufuli,kwa Hakika angeleta Positive Impacts,Tatizo ni kwamba Huyu Msukuma Hamtaki Bashe simply because jamaa alikuwa kambi ya Lowassa.....CCM Inahitaji vijana wasio na Unafiki kama Kina Bashe,VIVA HUSSEIN,VIVA BASHE
Na Bashe ana akili sana kuliko vijana wote wa ccm sio mnafiki huyu angekuwa waziri angemsaidia Rais.
 
Huyu ni mwana CCM mwenzangu, of my type... sio wa NDIOOOOO...OOOOO...!!

He is very objective... not subjective..!! Proactive as well not Reactive..!!

Bashe, ni kiongozi na sio manager..!!

CCM still vijana with big brain tuko hapa.. and we are here CCM to stay and correcting ourselves.... tuko, na tutaendelea kuwepo CCM..!!
Tatizo huko ccm vijana wenye akili hawatumiwi ila wapuuzi, wapika fitina na kujipendekeza ndo wana nafasi kubwa za kufanya maamuzi, ndo maana Mpaka Leo hatujui source ya umaskini. Vijana wote wenye akili wangetumika ipasavyo tungefika mbali.
 
Back
Top Bottom