Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,170
- 4,996
Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas.
Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene.
Pia soma:
1. Whozu, Mbosso na Bill Nass wafutiwa adhabu ya kufungiwa, watalipa faini tu
2. Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza
Kusoma nyuzi zingine za wasanii waliowahi kufungiwa kufanya kazi kwa sababu mbalimbali soma:
Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara