BARUWA YA MAPENZI HIYO Jamani.....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
11053390_496411783846387_2356276357697434873_n.jpg
 

Attachments

  • barua ya mapenzi.jpg
    barua ya mapenzi.jpg
    63.4 KB · Views: 952
Sasa hebu tuwekee uongo wa siku hizi. Kwamba ni bilionea? Una nyumba kila kona ya nchi? au unaazima gari ya rafiki ili uonekane una ndinga?






Uongo wa zamani,ukiutumia siku hizi hupati kitu...
 
Last edited by a moderator:
Asikudanganye mtu, vijana wote wa umri wangu na kuendelea, ambao enzi zetu hakukuwa na simu wala intaneti tuliziandika sana hizo barua. Hata kama si maneno hayohayo, bado tuliyaandika mengi yafananayo na hayo
 
ahahaaa!!yaani zamani mtu akikuambia au kukuandikia hivyo basi anamaanisha kweli anakupenda
 
Back
Top Bottom