Hayo ndio maswali ya kuulizwa sio huyo Bashite anasema "nazitaka hizo zilikuwa za stars"Heche anasema walijitegemea kisafari, sasa zimetumika kwa lipi?
Huu ufisadi umehusisha mpaka Wabunge wa Chadema, Msigwa alikuwepo Egypt kutafuna 200M za bodi ya Utalii
Heche anasema walijitegemea, hawakuchangiwa na mtu, sasa zilizochangwa zilienda wapi?
Acha uzembe. Hiyo 25m/= imeombwa kwa taasisi moja tu, meaning kuna wengine pia walioombwa kuchangia.Nilivyoelewa ni kuwa wabunge 65 walihitaji 200,000,000 ila wakapungukiwa 25,000,000 over
Wale washazoea mteremkoOf all the people,mbunge wa JMT nae ni wa kuomba msaada kwenda cairo kweli? Let us be serious guys,tuache kupiga hela kirahisirahisi
Hata hivyo bunge haikuwa sawa kuomba pesa kwa Bodi ya utalii wakati bunge Lima kasma yake na bodi y utalii ina kasma yake Kwani hiyo bodi ya utalii ingetoa katika bajeti gani hizo pesa. Hivi kwa utaratibu huo huyo Mkurugenzi akiwa na makandokando kwenye kukagua hesabu zake hilo bunge litapendekeza achuliwe hatua wakati wanamuomba pesa.
View attachment 1147579View attachment 1147581
Kutokana na kauli ya Makonda inaonekana wazi ilililenga Bunge, kuwa limechangisha fedha kwa jina la Timu ya Taifa ila hazijafika.
Binafsi nilijiuliza sana, haya mahaba ya wabunge kwa Taifa Stars yametoka wapi, yameanza lini? Kumbe kulikuwa na posho.
______________
HARUFU YA UFISADI
Kama pesa hazikufika ina maana walizitumia wabunge. Spika anasema KWA WABUNGE 65 WALIPUNGUKIWA 200M, tukigawanya ina maana kila mbunge alipungukiwa Tsh. 3,100,000. Nauli ya kwenda Cairo na kurudi haizidi Tsh. 1,700,000 kwa kichwa, swali ni kuwa walihitaji zaidi ya Tsh. 3,100,000 kwa kichwa za kazi gani?
Labda Makonda arekebishe kauli kuwa hiyo taasisi ilipeleka fedha nusu hapo tutaelewa kidogo
View attachment 1147731
Heche kaongeza utata zaidi
Kama Spika alichangisha pesa ambazo wabunge hawajapewa kwa mujibu wa heche wala Timu haijapewa kwa mujibu wa Makonda, je fedha hizi zimetumika kufanya nini, ziko wapi?
MH. SPIKA MAJIBU TAFADHALI
Hata hivyo bunge haikuwa sawa kuomba pesa kwa Bodi ya utalii wakati bunge Lima kasma yake na bodi y utalii ina kasma yake Kwani hiyo bodi ya utalii ingetoa katika bajeti gani hizo pesa. Hivi kwa utaratibu huo huyo Mkurugenzi akiwa na makandokando kwenye kukagua hesabu zake hilo bunge litapendekeza achuliwe hatua wakati wanamuomba pesa.
Hiyo bei yako si kweli ni Us$ 759 X 2 X 2280 = TZS 3,461,040View attachment 1147579View attachment 1147581
Kutokana na kauli ya Makonda inaonekana wazi ilililenga Bunge, kuwa limechangisha fedha kwa jina la Timu ya Taifa ila hazijafika.
Binafsi nilijiuliza sana, haya mahaba ya wabunge kwa Taifa Stars yametoka wapi, yameanza lini? Kumbe kulikuwa na posho.
______________
HARUFU YA UFISADI
Kama pesa hazikufika ina maana walizitumia wabunge. Spika anasema KWA WABUNGE 65 WALIPUNGUKIWA 200M, tukigawanya ina maana kila mbunge alipungukiwa Tsh. 3,100,000. Nauli ya kwenda Cairo na kurudi haizidi Tsh. 1,700,000 kwa kichwa, swali ni kuwa walihitaji zaidi ya Tsh. 3,100,000 kwa kichwa za kazi gani?
Labda Makonda arekebishe kauli kuwa hiyo taasisi ilipeleka fedha nusu hapo tutaelewa kidogo
View attachment 1147731
Heche kaongeza utata zaidi
Kama Spika alichangisha pesa ambazo wabunge hawajapewa kwa mujibu wa heche wala Timu haijapewa kwa mujibu wa Makonda, je fedha hizi zimetumika kufanya nini, ziko wapi?
MH. SPIKA MAJIBU TAFADHALI
Ukiona kuna figisu figisu jua kuna mshiko umepigwa hapo hawa jamaa mapenzi yao yaliibuka ghafra kwa Stars kumbe kuna upigaji walijiandaa aisee sawa subwoofer.
Akikujibu uni tag mkuu.
Nimemsikia John Heche aki hojiwa juu ya hilo yeye anasema wabunge walienda kwa ghalama zao wenyewe. kwa maana walilipia wao wenyewe na sio mfuko wa bunge