Barua za maombi ya kazi

neha mimi

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
344
151
habari zenu jaman, naombeni kuuliza hivo ule utaratibu wa kuandika barua ya maombi ya kazi kwa mkono yan hand writing bado upo au n muhimu zote zichapishwe coz nataka niapply serikalini ila sijajua bado lakini mara nyingine naona huwa wanahimiza watu waandike kwa mkono
ni hayo tu
 
Public sectors they most prefer hand written letter! Unless otherwise u have been instructed, bt if no any instruction, then hand written letter is the only option
 
Public sectors they most prefer hand written letter! Unless otherwise u have been instructed, bt if no any instruction, then hand written letter is the only option

Nadhani maelezo yanatakiwa yasomeke kinyume.

Kulingana na maendeleo ya Tehama, hakuna atakayepoteza muda kusoma mwandiko wako.

Kama hakuna maelekezo yoyote, barua ichapwe!
 
Back
Top Bottom