Barua yangu ya Posa..!!

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Nitoe shuktani za dhati kabisa kwa upendo wenu ambao mlionesha siku ya J4 baada ya mimi kuwaomba ushauri wa mimi kutaka kuoa. Hakika leo hii imekuwa siku mzuri sana kwangu baada ya kwenda upande wa mwanamke kutoa POSA ( Barua ya uchumba ) hii nafikiri ni hatua ya mwanzo kabisa pindi mtu anapohitaji kuanza safari ya kuwa na mke.

Nitambue shukrani za dhati kabisa kwa wadau wangu wa JF kwa ushauri wao ambao niliwaomba baada ya kuwaonesha Ghetto langu ambalo nilikuwa naishi na ninaishi hadi sasa, huku wengine wakiwa hawaamini kuwa langu kabisa.

Ila niwape pongezi wote ambao walinitia moyo na kunishauri vzr juu ya cha nini niboreshe pale maghetoni kwangu. Hakika ushauri wenu wote niliopekea bila kumkejeli mtu yeyote yule.

Ahsante sana kwa ushirikiano wenu.

Tulianza hapa JF na tutamaliza hapa hapa JF pia.
FB_IMG_1562322649553.jpeg
 
Back
Top Bottom