Barua yangu kwako Godilavu

Hilo la jambo la kuwekwa kwenye kamati lilikuwa ninanikera sana.....

Kuna dada tulisoma pamoja Primary na alipoenda secondary tukawa tunawasiliana.....Ila siku moja alikuja na kituko eti marafiki zake wamekataa asiwe anaandikiana na mimi barua kwa sababu siyo wapenzi!!

Na mimi nikamuuliza kuwa, hao marafiki zako walitaka tuwe wapenzi??


Babu DC!!

Ha ha ha wewe kweli umepitia milima na mabonde he he he Babu Babu Babu huyooooooooo
 
Enzi hizo mabikira wakiume walikuwa wanapatikana mnatoana bikira wote cku ya graduation :loco:
 
ahaaa haaaa naona Dena Amsi ameibuka na barua yake ya zamani...siku hizi mapenzi yamekuwa uongo mtupuuu eti skype...upuuzi mtupu
 
Last edited by a moderator:
ahaaa haaaa naona Dena Amsi ameibuka na barua yake ya zamani...siku hizi mapenzi yamekuwa uongo mtupuuu eti skype...upuuzi mtupu

Ha ha ha ha Smile nimemkumbuka Godilavu wangu wajameni acha tu enzi hizo alinipa saa ile ya kumulika mulika nikaivaa ha ha ha zamani raha sana
 
Enzi hizo mabikira wakiume walikuwa wanapatikana mnatoana bikira wote cku ya graduation :loco:


Halafu wote hamuelewi nini kinaendelea mnasikia tu hakuna hata .......ya kufanya tena kumbe ndo mlima kilimanjaro ushaufikia mwisho wake kha wajameni acheni tu
 
484516_482983065062639_270284233_n.jpg




Enzi hizo ilikuwa raha kweli..........................

Jamani Godi Ravu ndo uriitunza balua yangu hadi reo? Rooh, kweri urinipenda :love:
 
Hivi Dena Amsi,

Kumbe jina lako jingine ni IRAVI yu???!!!!!


Halafu mbona umewahi sana JF kana kwamba umelala njaa???......lol!!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom