Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KITU KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.

NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.
Kundi la virusi katika harakati za kijitanabaisha. Mtajisema wenyewe.
 
Tatizo la chadema wako cheap sana,ccm wala hawapati tabu kuwagawa...kuanzia baadhi ya viongozi wa makao makuu ni wachumia tumbo
 

4. Baada ya kufanya uchunguzi mdogo nimegundua kuwa ID iliyoweka video ya Lwakatare mtandaoni na ID iliyoweka barua hii mtandaoni ni IDs za mtu mmoja. ‘Coincidence’ ya namna hii inashangaza na kushtusha, lakini inatuambia jambo moja kubwa ‘kwamba kuna kirusi ndani ya chama kilicho karibu sana na viongozi wa chama chenye kazi moja tu, yani kuonyesha kuwa CHADEMA hapako shwari, kuna migogoro na hatimaye kusambaratisha chama’. Kirusi hiki lazima kina nafasi andamizi au kipo karibu sana na viongozi waandamizi. Inawezekana kabisa kirusi hiki kinahusika na suala zima la Lwakatare katika kupanga, kuendesha na kutekeleza mpango mzima. Maswali kama ‘kwanini Dennis Msacky na Zitto ndani ya Video ya ‘Lwakatare’ lazima sasa yaanze kutafutiwa majawabu.

kaeni mbali na vurugu na hakuna wa kuwasumbua. Sote tunapenda mfumo wa siasa za ushindani lakini siyo za kuuwana.
 
Wakuu.

Nimekutana na huu Mchango wa wakili Nyaronyo Kicheere ambaye pia ni mwanasheria wa Wilfred Lwekatare nikaona si vibaya nikawashirikisha kuusoma. Umeanza hivi...

Bandugu,

kwanza nikiri kwamba
namheshimu sana bwana zito zuberi kabwe, lakini kwa bahati mbaya sana siyaamini maneno aliyoyaandika humu jamvini
kuwa ndio ufafanuzi wake
kuhusiana na barua yake
inayoitaka chadema
kumsimamisha uongozi na
kumchunguza mkurugenzi wao wa ulinzi na usalama, mhaya mkuu wa ibwera, kagera- Bukoba - wilfred lwakatare.

Bandugu,
katika maelezo yake, zzk
anadai eti kuna kirusi katika
ngazi za juu za uongozi wa
chadema kinacho kihujumu
chama hicho kikuu cha
upinzani nchini! eti, kwa
mujibu wa zzk, kirusi hicho
ndicho id yake ilitumika
kuapulodi video inayomwonyesha lwakatare
akipanga ugaidi na kwamba Id hiyo hiyo kwa mujibu wa
uchunguzi wa zito zuberi
kabwe ndiyo iliyotumika
kuapulodi barua yake zito
kwenye mtandao!!!!!!!!!!

Bandugu,
hapa sizungumzii umuhimu au kutokuwa muhimu kwa
msimamo na barua hiyo ya
Zito bali nasema kama maneno ya zito ni ya kweli basi kirusi hicho ni zito zuberi kabwe mwenyewe.

kwa nini nasema
hivi????

nasema hivi kwa sababu nimeambiwa na
wanoko waliopo chadema
kuwa barua ya zito ni hard
copy maana
ya maneno haya ni kwamba barua hiyo
imeandikwa kwenye karatasi
na kutiwa sahihi na zito
mwenyewe lakini barua iliyo
kwenye mtandao ni soft copy yaani ilitumwa kwa mtandao na walioiona wanadai kuwa haina sahihi ya zzk.

Bandugu,
ajabu ilioje ya mwenyezi
mungu subhana wa taala
mwenye kutoa neema kubwa kubwa na neema ndogondogo kwamba kwenye barua ya sasa
iliyoapolodiwa na kirusi
kilichopo ndani ya chadema
haina sahihi ya zito kuonesha kuwa imeskaniwa na kirusi ndani ya chadema???? barua ya
mtandaoni ingekuwa na sahihi hiyo ikaonekana tungekubali na kuamini kuwa kweli kuna
kirusi katika ngazi za juu za
chadema kinachovujisha siri za chama na kuswekwa
mtandaoni.

Swali: hii barua
isiyo na sahihi imetoka wapi na nani mwenye kujua siri ya barua ya zito aliyeivujisha bila kwanza kuhakikisha ina sahihi na kufanana na ile iliyopelekwa chadema???????? na mwenye tabia ya kusweka mtandaoni na kuvujisha vijambozi vingi tu
vya chama ni nani zaidi ya
zito????????

Bandugu,
mimi nyaronyo mwita
kicheere nikizingatia kwa
makini taarifa hizi za kinoko
kutoka ndani kabisa chamani
nadhani ninayo haki ya kudhani kwamba barua hii imeapolodiwa na zito na kwamba id hiyo ya siri iliyotumika kuweka video ya kigaidi na barua ya siri mtandaoni ni id ya zito
mwenyewe.

Someni vizuri maelezo yangu haya halafu
mniambie kama ninalo kosa
lolote kwa kudhani na kuamini kuwa zito ndiye kirusi mwenyewe kwa barua na video ya kigaidi.

Kicheere, tungi, kigamboni,
tanganyika territory.

» Nimeuchota mchango huu kwenye jukwaa la Mabadiliko.

...huyu Mwanasheria sijui wa wapi huyu, yaan anakiri kuwa kuwa watu wa ndani kabisa ya Chadema wanaompa "yeye" habari za "kinoko" za ndani kabisa ya chama, alafu tena anashangaa how come barua ya Zitto ingeweza kuvuja kutoka ndani ya Chadema?...

...Ambacho hakukielewa Kicheere, kwa mujibu wa Zitto barua iliyorushwa mtandaoni siyo barua iliyoandikwa na Zitto, bali ni barua iliyoandikwa na mtu mwingine ila yenye maudhui kama ya barua aliyoiwasilisha Zitto Chadema, angelielewa hili angekuwa kwenye position nzuri zaidi ya kujadili, lakini kwa kudhibitisha tena kuwa kuna "wanoko" wanaotoa habari za ndani kabisa ya Chadema, bila kujua amemuunga mkono Zitto kuwa virusi hawa ambao Kicheere amewaita "wanoko" wamulikwe na kuchukuliwa hatua....
 
amekili barua ni yake kasoro saini tu ndio imekosekani.!

Kweli ndio maana kunakuwaga na wa kwanza na wa mwisho darasani ingawa wote wanafundishwa kitu kimoja

Mkuu Idawa,
Zitto hajasema barua ni yake, Zitto kasema hiyo Barua inaMaudhui yanayolingana na Barua aliyomwandikia Katibu Mkuu, inamaa kuna tofauti kidogo na ile original ikiwemo kukosekana kwa sahihi.

inawezekana mwandishi wa hii barua iliyopo kwenye mitandao, alisomewa ile original naye akawa anaiandika au alipata access ya kuiona na kupata uwezo wa kuiandika na kuja kuiweka kwenye mitandao
 
Fully mchanganyiko, still watching the saga. Kila kitu sasa ni mshtuku najaribu kuelewa.Tuliowaamini wamenunuliwa tuliowakabidhi hawaeleweki tunatafakari. Chadema itasimama imara ila lazima tuache baadhi ya wenzetu tusonge mbele. Anyedhani ana nguvu kuliko chama anajidanganya sana Chadema ni wanachama na ina nguvu kuliko virusi wachache tutapoteza viti vya ubunge tutaongeza viti vya ubunge vingi. tutapoteza watu maarufu na tutapata watu maarufu maradufu. Ewe kijana kila umuonapo msaliti wa maisha yako jipe moyo simama imara utashinda.
 
WANACHONIKERA CHADEMA, iwe kwa viongozi wao wakuu, wa kati na hata wafuasi wa kawaida, ni hivi vilio vya kuhujumiwa ama kugawanywa na CCM!! Kwanini mkubali kugawanywa au kuhujumiwa?

Leo akija mtu kwangu, kisha akanifitinisha na ndugu yangu; nami nikazichukua fitina hizo....je, mpumbavu hapo ni nani? Yule mfitini au mimi niliyekubali kufitinishwa?! Kwani CHADEMA ni chama cha watoto wadogo wenye uwezo mdogo wa utambuzi?! Hivi tatizo ni CCM au ni nyinyi wenyewe ambao miongoni mwenu kuna waganga njaa?!

Mathalani, kama kweli Ludovick alipewa TZS 50,000/- ili atengeneze ile video, sasa wa kulaumiwa hapo ni Nchemba au nyinyi wenyewe!! Ikiwa "wanaorubuniwa na CCM" ni watu wazima tena wenye nyadhifa basi tatizo kuu ni chama chenu wenyewe na sio CCM....yaani, you're so cheap hadi mnakera!!

Wanaume wazima kila siku mnalia lia kwamba CCM wanawagawanya, mara CCM wanawahujumu; STUPID! Kwani nyinyi hamjui hao CCM wanapatikana wapi? Nanyi si muwagawanye tu, ala! Mtabaki kulia lia hivi hivi kila cku....

I'll always insist, No Any Political Ground Has Clean Players, NONE....wherever you go!! We call it politics of survival. The more cheap players u've in your team, the more the chance to be defeated!

Ukweli huu ni mchungu, ni wakati wa cdm kutwanga kotekote, cdm m4c ndo iwe mjadala na kuachana na vijimambo vya kupoteza muda na malengo...ccm wanawork day&night kufanya m4c isiwe habari kwa uzushi...watu wa mkakati ndani ya cdm wasilale walione hili..mh. Zito na wewe barua za nini? Unashindwa kuwasiliana na Katibu au M/kiti mpaka uandike barua? Hebu uwe makini.
 
. Zitto huwa ni mnafiki sana siyo wa kumuamini, how comes naibu katibu mkuu wa chama unamuandikia katibu mkuu barua? kama Dr. angekuwa na udhuru nani angeijibu hiyo barua kama siyo wewe? huo ndio unafiki!

kama kuna kirus kwa nini hakuja ile barua yako original? unataka kutuambia kuwa Ben Saanane ndio kirusi? umechemka, we ndio KIRUSI. we endelea kupanga mambo yako na kina Mwigulu Nchemba ila tambueni CHADEMA haitokufa wala kusambaratika kamwe!
 
Huyu ni nyoka hawezi kuaminika hata kidogo. Yeye ndo alieanzisha kikundi cha Pm7 iweje aje kuwa hero? Kwanini yeye huwa anamshambulia zitto? Hawezi kuwa mwema hata kidogo na hata anaemtumia anamjua kuwa huyu ni kinyonga.

Duh, ni wazi kuna walakini katika ushiriki wake PM7 na mahusiano yake na Zitto;Nahisi viongozi wa CDM inabidi walifanyie kazi hili swala mapema iwezekanavyo maana si salama sana kwa image ya Chama, pia chama kunapoteza muda mwingi kujadili masuala yasiyo na tija badala ya kujiimarisha. Zipi grounds za kumtuhumu na katika hili la barua pia?! Kwani yeye ana kazi gani hapo makao makuu?! Unajua kama upo na mtu na hana jukumu maalumu matokeo yake ni kufanya lolote.....
 
kwa upande mwingine ngoma ni drow kwani chedema imepandikiza mamluki ccm na usalama wa taifa,na ccm pia wamepandikiza kwa chadema[/QUO

Muosha naye anapooshwa....tehe...tehe....tehe.......
 
Najua mnanitafuta sana.Ukiweza kuthibitisha haya sitachukua hata sekunde moja,nitajiondoa CHADEMA kuliko kushiriki dhambi hii kubwa.

Ni kawaida kwa wachawi kuongoza kwa kulia kwa kwi kwi misibani ili kupotosha uhusika wao

wewe ndio mchawi nambari one unaehamahama kambi kutafuta malisho,njaa kweli unaiweza kijana,sitaacha kukuandama mpaka utakaueleza umma ni kipi kilichokugombanisha na zitto ambae ulikua ukimlamba miguu,unakijua lakini hukisemi umebaki kulialia tu na shukuru mungu zitto sio basha anagekua basha kwa jinsi ulivyokua ukimuabudu angekufanya chochote,sipendi vijana wanafiki kama wewe halafu unajifanya unamuunga mkono julius malema!malema sio mnafiki kama nyie vijana wa hapa kwetu
 
A big up ZZK, daima mbele; kurudi nyuma mwiko.
It takes sacrifices to achieve a revolution (change)
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni . Hilo ni swali najiuliza kila mara iweje Zitto aandike barua kwenye secretariat ambayo yeye ni kiongozi wa juu kwenye hiyo secretariat ! Huyu anaafanya hivi kutafuta support/umaarufu nje ya vikao halali vya chama bila kujua adhari zake kwa yy binafsi na chama kwa ujumla.

Maana ya mamluki yaani mercenary, ni mtu anayepata uijra wake kwa kutimiza matakwa ya watu wengine na hivyo ili apate malipo yake yaani INVOICE yake haiwezi kulipwa bila uthibitisho kuwa kile alichotumwa kukifanya kweli amekitimiza!! Sasa kundi la watu kama wakina Zitto na Manyerere, ili walipwe ujira wao nilazima waoneshe ushahidi kuwa wamefanya kazi waliyotumwa na kwa upande wa Zitto ushahidi huo kwa wafadhili wake ni hizo barua anazoandika kwa katibu mkuu wake badala ya kuzungumza kwenye vikao ambako ushahidi wake hautaonekana; wakina Manyeye nao ni lazima waonekane wameandika kwenye JF kumsafisha mfadhili wao ili invoice zao zilipwe!! Sioni sababu nyingine yeyote inayomfanya Zitto asitumie vikao na badala yake aandike barua ila kutaka kupata ushahidi kuwa katimiza yale aliyotumwa!!
 
wewe ndio mchawi nambari one unaehamahama kambi kutafuta malisho,njaa kweli unaiweza kijana,sitaacha kukuandama mpaka utakaueleza umma ni kipi kilichokugombanisha na zitto ambae ulikua ukimlamba miguu,unakijua lakini hukisemi umebaki kulialia tu na shukuru mungu zitto sio basha anagekua basha kwa jinsi ulivyokua ukimuabudu angekufanya chochote,sipendi vijana wanafiki kama wewe halafu unajifanya unamuunga mkono julius malema!malema sio mnafiki kama nyie vijana wa hapa kwetu
Umekosana nini na Ben weye acha ushamba unaleta vitu tusivyoelewa hapa si mkamalizane kwenye room?
 
wewe ndio mchawi nambari one unaehamahama kambi kutafuta malisho,njaa kweli unaiweza kijana,sitaacha kukuandama mpaka utakaueleza umma ni kipi kilichokugombanisha na zitto ambae ulikua ukimlamba miguu,unakijua lakini hukisemi umebaki kulialia tu na shukuru mungu zitto sio basha anagekua basha kwa jinsi ulivyokua ukimuabudu angekufanya chochote,sipendi vijana wanafiki kama wewe halafu unajifanya unamuunga mkono julius malema!malema sio mnafiki kama nyie vijana wa hapa kwetu

Kaka huyu naye ni binadamu tunapaswa kumshauri ili akatae kutumiwa na wazee wasio na malengo mazuri na taifa letu.
Usimchambe kiasi hicho kwani ipo siku ataacha umbea wake.
Ben saa8 zingatia ushauri unaopewa na uache njama zako za mauaji, kuuwa si kitu kidogo kwani ukifanikiwa kuitoa roho wa zitto bado mzimu utakuandamano maisha yako yote na hautokuja ishi kwa raha.
 
wewe ndio mchawi nambari one unaehamahama kambi kutafuta malisho,njaa kweli unaiweza kijana,sitaacha kukuandama mpaka utakaueleza umma ni kipi kilichokugombanisha na zitto ambae ulikua ukimlamba miguu,unakijua lakini hukisemi umebaki kulialia tu na shukuru mungu zitto sio basha anagekua basha kwa jinsi ulivyokua ukimuabudu angekufanya chochote,sipendi vijana wanafiki kama wewe halafu unajifanya unamuunga mkono julius malema!malema sio mnafiki kama nyie vijana wa hapa kwetu

Mmh siasa za vijana! Kumbe Zitto anamfahamu Ben! du Ukistaajabu ya Zitto utayaona ya Ben.
 
Mimi nikushukuru kujitokeza hadharani kukiri content ya barua yako uliyompelekea Katibu mkuu wa chadema.

Lakini mimi napata wasiwasi juu ya nia yako thabiti ama ya wazi au iliyojificha juu ya jambo ambalo wewe unalijua liko moyoni mwako isipokuwa hutaki kulianika mtandaoni. Pengine kwa hekima hiyo nakupongeza. Lakini nashindwa kuelewa hasa ni kwa nini haukuweza kuongea na katibu mkuu wako au mwenyekiti wako wa chama ama kwa simu au ana kwa ana na kuelezea nia yako ya kutaka uchunguzi ufanyike? Do you see eye to eye with your top leaders (je unayomahusiano mazuri kweli na viongozi wako wa juu awe katibu mkuu au mwenyekiti?). Unawaogopa nini hata usikabiliane nao uso kwa uso kuzungumzia kuundwa kwa timu ya uchunguzi? Unadhani uli think through critically and reflectively kabla ya kuandika barua?





Pole ndugu yangu haumfahamu huyu kijana, kijana ni mnafiki na ni kigeugeu wa kutupwa. Leo atasema ili kesho atasema lile, ooh mara Mbowe ananionea wivu kwa vile mie nitakuwa rais (sijui nani alimwambia kuwa yeye atakuwa rais) ooh mara Slaa anacheza muziki wa Mbowe, ooh mara Chadema kuna ukabila oh.. mara Viongozi wanataka kuniua, oh.. kijana ni mnafiki. Na si ajabu hii barua akawa ameiweka mwenyewe au mtu wake wa karibu. cheze na Zitto we....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom