Barua ya wazi kwa wema sepetu

Kimbweka ntake radhi...
Siwezi kuwa na mwenzangu zezeta kama huyo.

Nyuli ndo kazimika hapo......
Ila mbona ngozi ya huyo WEMA huwa nyekundu na mamichirizi ya ajabu, mie rungu langu likiona hivyo linasinyaa ila wengine wanazimika loh!!!
 
Mpendwa,
Wema Sepetu,
Ukweli utokao moyoni ni kwamba nakupenda saaaaana, wewe mwenyewe,kazi zako n.k.
Lakini lengo hasa la kuandika barua hii na vile navyohisi juu yako yani ni kama vile umeniloga!Kwasababu kila ukiandikwa vibaya kwenye magazeti mm moyo wangu ndio unalipuka zaidi kwa upendo juu yako.Mfano nikisikia Wema kafumaniwa yani siku hiyo sitalala kwa malavdav juu yako.Namuomba Mola japo siku moja tu nile chakula cha mchana au jioni na wewe,kwakuwa uwezowangu wa kifedha hauwezi kukumiliki basi ntaishia tu kukumiliki kwa-bluetooth!AM CRAZY OVER U!
Wako akupendaye
Nyuli!

Mzee, wacha nikupe wasia; Usife moyo, siku moja utampata Wema!!!!!!!!!.......(Be careful for what you wish....You might get it!!!!)
 
Mimi binafsi Wema Sepetu nampenda sana,ila nashindwa jinsi ya kumpata japo uwezo wa kumtoa out naweza lakini kimyakimya bila watu kujua,maana sitaki kuandikwa na magazeti.Mwenye kujua jinsi ya kumpata au kuniunganisha na Wema Sepetu angalau one night naomba ani PM
 
Hakyanani Domo ataua mtu.
 
Heheheyaaa....hii ndo raha ya jf ht ukiwa na stress zko zinayeyuka.acha ncheke mie nnenepe!nkonde nnune nna......HEHEHEYAAAA....UTAISHIA KULA KWA MACHO TU!
 
Kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ..my ribs jameni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mpendwa,
Wema Sepetu,
Ukweli utokao moyoni ni kwamba nakupenda saaaaana, wewe mwenyewe,kazi zako n.k.
Lakini lengo hasa la kuandika barua hii na vile navyohisi juu yako yani ni kama vile umeniloga!Kwasababu kila ukiandikwa vibaya kwenye magazeti mm moyo wangu ndio unalipuka zaidi kwa upendo juu yako.Mfano nikisikia Wema kafumaniwa yani siku hiyo sitalala kwa malavdav juu yako.Namuomba Mola japo siku moja tu nile chakula cha mchana au jioni na wewe,kwakuwa uwezowangu wa kifedha hauwezi kukumiliki basi ntaishia tu kukumiliki kwa-bluetooth!AM CRAZY OVER U!
Wako akupendaye
Nyuli!
Hata ukipima na majibu yawe NEGATIVE humpati.......... Tatizo ni hivyo vijisenti vyako
 
Back
Top Bottom