Barua ya wazi kwa sir god

Jun 6, 2012
40
9
BARUA YA WAZI KWA SIR GOD

eeeeeh mungu nihurumie mwanafunzi wako wa kidato cha 6,
mwanzo walianza kuturefushia mdaa wakasema tumalize mwezi wa 5 tukakubali,

PILI wakaja tena eee mungu wakasema tukimaliza twende jeshi tukakubali

TATU mwenyezi mungu wakaja na kutupandishia alama za ufaulu tukasema tutafanyaje ee baba

NNE wakaja na jipya kabisa kama cyo muujiza wakutuwekea dvsn 5 munguwangu turehemu sisis maana tunavurugwa na elimu yetu,
hebu angalia wadogo zetu walishaambiwa kuna dvsn 5
wanatoka tyna wanaambiwa imefutwa wanafurugwa jaman wadogo zetu,

EEEEEEEEEEE BABA MUNGU WA MAJESHI

waziri huyu Murugo ndiyo yule aliya sema tanzania imepakana na visiwa vya pemba na zimbabwe mungu tupe mkono wako bababa ww ni mungu wa majeshi!!
 
ee baba msaidie mulugo kujitambua
 
pigeni buku Mungu hawezi kuwasikia kwa hili labda awe Mungu wa mabox.
Nalog off
 
Wanatangaza mpaka bbc dvn 5 alafu juzi tu wanasema sio dvn 5 ni daraja E na ziro ipo mule mule wakusoma kazi kwenu but uyo waziri naye kila mwaka anatoa kali duhhh nashanga tuna waziri tena wa elimu alafu ni mbururaa maanake nini thatha?
 
Heheheeeee.....Sir God,huku udom kuchafu eee baba,toka jana sijaoga mabafu ni kinyaaaaa!BIG REZATS NOW
 
Back
Top Bottom