Barua ya maombi ya kazi

Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
34
wadau nilikuwa nauliza eti barua ya maombi ya kazi inayopendekezwa ni ya kuchapa au kuandika kwa mkono. Naomba msaada wenu jamani
 
wewe unaonaje? Duu Joined 2nd July 2009 one post????
sina jibu kamili coz kuna time nliomba udom kny department nikaambiwa nichape. Lakini kitaa watu wengi wananiambia kwamba niandike kwa mkono, so im on the middle of nowhere so nisaidie if you know
 
sina jibu kamili coz kuna time nliomba udom kny department nikaambiwa nichape. Lakini kitaa watu wengi wananiambia kwamba niandike kwa mkono, so im on the middle of nowhere so nisaidie if you know

inategemea organization unayoomba nyingine wanataka typed wengine kwa mkono
fuata maelekezo wanayotaka, wengine ukiandika kwa mkono wanatupa kwenye DUSTBIN
 
dunia ghani hiyo ya kuandika barua ya kuomba kazi kwa mkono sasa hivi?...dah
 
Ya kutype inasaund zaidi, kwanza inasomeka vizuri, pili wana-asume umetype peke yako so unajua kutumia kompyuta. Hapa kwetu ukileta barua ya mkono hata hawaisomi wanadamp fasta
 
Whether typed or handwritten, the letter should be signed by the applicant
 
Whether typed or handwritten, the letter should be signed by the applicant

Ya kuchapwa ina nguvu zaidi hasa siku hizi waajiri wanakwambia utumie email address. La kusign nalo linategemea shirika uchunguzi nilioufanya idara inayohusika na kuajiri wanaangalia sana CV au Resume na wakiridhika wanachukua hiyo barua yako.
 
Back
Top Bottom