Barua kwenu Girlfriends

wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.

vipi mpango wako wa harusi ya maximum 300 people?? Au nyumba kubwa inabana?
 
umenikumbusha mbali mdau niliwahi kulala na demu mmoja akaacha chup#, khanga na baadhi ya nguo ili nisiingize demu mwingine mle, alivyorudi mara ya pili akaniuliza nguo zake ziko wapi nikaweka ngazi nikapanda kwenda kuzichukua kwenye uwazi wa dari nilizificha darini kabisa tena nimezitia kwenye rambo kisha ile rambo nikaiweka kwenye box halafu lile box nikalitia ndani ya kiroba alichoka mwenyewe kumbe hata wengine uwa yanawakuta duh
hahaha unatisha
 
Wasalaam,ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.Naamini sasa tumeelewana.Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.
Hahaha! Bonge la barua
 
umenikumbusha mbali mdau niliwahi kulala na demu mmoja akaacha chup#, khanga na baadhi ya nguo ili nisiingize demu mwingine mle, alivyorudi mara ya pili akaniuliza nguo zake ziko wapi nikaweka ngazi nikapanda kwenda kuzichukua kwenye uwazi wa dari nilizificha darini kabisa tena nimezitia kwenye rambo kisha ile rambo nikaiweka kwenye box halafu lile box nikalitia ndani ya kiroba alichoka mwenyewe

kumbe hata wengine uwa yanawakuta duh

Wiki nzima hii sijawahi cheka kicheko cha aina hii kha! yaani nimecheka mpaka watu wanajiuliza kunani, jf kuna visa na mikasa, umenivunja mbavu leo asee
 
umenikumbusha mbali mdau niliwahi kulala na demu mmoja akaacha chup#, khanga na baadhi ya nguo ili nisiingize demu mwingine mle, alivyorudi mara ya pili akaniuliza nguo zake ziko wapi nikaweka ngazi nikapanda kwenda kuzichukua kwenye uwazi wa dari nilizificha darini kabisa tena nimezitia kwenye rambo kisha ile rambo nikaiweka kwenye box halafu lile box nikalitia ndani ya kiroba alichoka mwenyewe

kumbe hata wengine uwa yanawakuta duh

khaaaaaa!!!! mkuu wewe kiboko!umenichana mbavu duuuuuh!
 
territory domination, effective occpuation akija mwiingine ajue not vacant. Mbali na hiyo wangu huacha viatu au sandles kwenye gari logwa uvitoe weeeeeee!
 
Funzadume dah....
Cjacheka wiki hii kama leo... we ni kiboko asee... huyo gashi lazima alitokomea. LOL!!
 
Back
Top Bottom