Barua kutoka Wadau wa Maendeleo(Development Partners) juu ya Uchaguzi wa Zanzibar

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
1454084045013.jpg
 
hiyo barua mbona hatuiyoni umeattach vipi tuletee kwa mtindo mwengine
 
Kweli haina haja ya wao kuleta observers kwa uchaguzi huu.kuleta waangalizi wao itakuwa ni sawa na kubariki ubakaji wa demokrasia uliofanywa.
 
Kitendo cha kuingilia nchi za Africa na vibaraka wa kizungu ni kijume na Uhuru wa mataifa ya Africa matamko yanaotolewa pale mnapokuwa na maslai ni upuuzi,libya na ghadafi mlikuwa wapi?
 
Commonwealth tunawaomba kama kuna njia nyengine ya kuwaondoa hawa madhalim muje mutusuadie mazungumzo yameshasita kitambo saivi wanasubiri uchaguzi tu na ccm si wakweli walikuwa wanageresha tu, tokea Mwenyekiti wa mazungumzo ndie mlalamikiwa.
 
It is a right statement.they want peace for the peoples of zanzibar . and we as tanzanias we have to supports this peacefull statement

Atherwise at very near future the world should react to defend democracy
 
Mkuu halafu ni hao hao ndio unaokwenda kuwapigia magoti kuwaomba fedha za uchaguzi huo unaouvuruga! Halafu hao hao ndio wanaochangia bajeti yako kwa asilimia 60 kila mwaka kwa ajili ya maendeleo ya nchi yako!
 
Kitendo cha kuingilia nchi za Africa na vibaraka wa kizungu ni kijume na Uhuru wa mataifa ya Africa matamko yanaotolewa pale mnapokuwa na maslai ni upuuzi,libya na ghadafi mlikuwa wapi?
Tulia dawa ingie vizuri....demokrasia inatakiwa sio udikteta
 
Kitendo cha kuingilia nchi za Africa na vibaraka wa kizungu ni kijume na Uhuru wa mataifa ya Africa matamko yanaotolewa pale mnapokuwa na maslai ni upuuzi,libya na ghadafi mlikuwa wapi?

Shoga hivi Nyerere alifariki akiwa nchi gani vile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom