Ayaaaah!! Tanesco......
mzee wenger kaja na formation ya berlin leo, lakini wataachia tuMTM, any good news? Hawajafungwa?
mzee wenger kaja na formation ya berlin leo, lakini wataachia tu
the good news is... Its nil-nilmtm, any good news? Hawajafungwa?
yaani hata huyo mkuu ha-support Arsenal?? kazi kweli kweli!!!
we unafikiri kwa kua nyie mliachia na sisi tutaachia? lets see!!!
hehehe mkuu yuko barca, washabiki wa barca wote tuko safe kwenye hii sredi. kule kwenu tutahuzuria kutoa pole baada ya ushindi.hapa si kwangu,ngoja niende kule kwetu...nimeshtuka sana kumuona........bye Kloro bye!!!
mkuu kweli aisee, mpaka sasa barca hawajaimpress kabisa yaani. aaaargh tunahitaji the like of etoo hapa mbele bana , hawa wazembe wengine tunaibiana tuAsenali wakiendelea hivi wataweza kuhimili mikiki
Nimewahi pub...chapa lapa hadi pub!!
Nani??MTM, any good news? Hawajafungwa?