Baraza la Wawakilishi Zanzibar Lashirikiana na Pombe Serengeti

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Katika kutizama Sherehe za Uhuru nikakerwa nazo Kujimuvuzisha Star Tv Naona Mechi ya Wabunge ta Muungano na Wale wa Baraza la Wawakilishi Ambayo Imedhaminiwa Kwa Ushirikiano wa Super Doll na Serengeti Lager Sikiamini Imekuwaje hilo Baraza la Wawakilishi lililopinga Udhaini wa Pombe Visiwani na wao Wamekubali udhaminiwa nao na Nishani Wamepokea. Bora Wawape nafasi timu zao zidhaminiwe na Hayo makampuni. Wazenji wanavyopinga utadhania hawatumii kumbe kuna walevi wengi na watumia madawa ya kulevya kibao visiwani Hukumu yao siku ya Kiama sijui ni Nini
 
bwana pesa! Pesa bwana. Kila mtu ni msaliti, shilingi balaa. Hata kitimoto wangechapa.
 
Katika dini ya kiislam watu kama hao wawakilishi waliovaa jezi zinazotangaza pombe nawanakataa kilasiku udhamini wa kampuni zapombe ktk ligiyao hao wanaitwa wanafiki ktk uislam,wametenda dhambi kubwasana kwa mujibu wa kanuni za dini yao ya kiislam.
 
Siku ZFA wakiingia mkataba na Serebgeti Breweries ama TBL kudhamini ligi kuu itabidi viongozi hao wa ZFA watafute pa kwenda kulala na sio zenj. Ila wawakilishi kudhaminiwa na pombe RUKSA>Mkuki kwa nguruwe
 
attachment.php
 
jamani hawakujua kuwa serengeti larger ni pombe
sidhani kuwa ni wapumbavu kiasi hicho cha kukana
masharti ya imani yao.....na misimamo yao
vinginevyo watuambie wataunga mkono pia ukameruni.
mi naona walidhani ni serengeti national park.....,
 
Katika kutizama Sherehe za Uhuru nikakerwa nazo Kujimuvuzisha Star Tv Naona Mechi ya Wabunge ta Muungano na Wale wa Baraza la Wawakilishi Ambayo Imedhaminiwa Kwa Ushirikiano wa Super Doll na Serengeti Lager Sikiamini Imekuwaje hilo Baraza la Wawakilishi lililopinga Udhaini wa Pombe Visiwani na wao Wamekubali udhaminiwa nao na Nishani Wamepokea. Bora Wawape nafasi timu zao zidhaminiwe na Hayo makampuni. Wazenji wanavyopinga utadhania hawatumii kumbe kuna walevi wengi na watumia madawa ya kulevya kibao visiwani Hukumu yao siku ya Kiama sijui ni Nini
Wazenji wepi wanaopinga pombe? Hem niwekee sawa hili mkuu
 
Back
Top Bottom