Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

Wakati anatangaza baraza lake pale alipofika wizara ya fedha akasema bado sijapata waziri naendelea kutafuta. Na wizara ya elimu tena hivyo hivyo , ujenzi tena hivyo hivyo na maliasili tena . Sasa mimi najiuliza hivi nchi hii ina wanaccm milioni 8 wenye kadi na karibu wana ccm milioni 5 wasio na kadi hao wote hujaona mtu. Haya ccm ina wabunge zaidi ya 250 kati ya hao umeshindwa kabisa kupata wa kujaza hizo nafasi ina maana wabunge wote walio salia ni mizigo na viazi. Wanaccm tuliosalia ina maana sis ni vilaza.

Umetuaibisha sana kwa kweli mi nakushauri nenda kaombe wakenya wazibe hizo nafasi kama unaona wabunge wote walio salia ni jamii ya akina kibajaji
 
Mzee wa watu kakurupuka akidhani anayaendea majipu! La! kumbe cancer tupu. Magufuli hafiki popote ni mjinga tu anayeweza shabikia haya mambo. Wenye na akili zao wameshahamia kando wanaangalia tu cenema za bure Tanzania.
 
Mmbona inakuwa ngumu kuelewa kiswahili,???kasema anaendelea kutafuta hajasema amekosa humo ndani ya wabunge Wa CCM.Kuna mambo mengi anayalinganisha ili aweze pata mtu anaefaa.
 
uteuzi wa JK wote tuliusifu ulitufikisha wapi? Nadhani tukumbuke utendaji bora wa mawaziri hutegemea sana reflection ya aliewateua kiutendaji!

Hata kama hawana kasi automatically itakuja tu ili kuendana na kasi ya boss wao.

Poleni sana, mnatia huruma sana kama kweli mlitegemea Tanzania mpya. magufuli alichowaahidi ni Tanzania ya magufuli! Siyo Tanzania mpya.

Ninaamini wakati mchakato wa uchaguzi mkuu uliopata umaarufu kama 'T2015' unaanza hakuna aliyetegemea Mh. Majaliwa kuingia katika baraza jipya la mawaziri.

Ninadiriki kusema kwa ujasiri kuwa hakuna aliyebashiri hapa jukwaani kwamba huyu bwana atakuja kuukwaa Uwaziri Mkuu.

Na ninasema kwa mbwembwe, hakuna aliyedhani kuwa huyu bwana Majaliwa angekuja kuitwa Jembe na kujinyakulia umaarufu mkubwa kitaifa na kimataifa.

Kiongozi mkuu ndo anaweka mfano na kiwango cha utendaji na uwajibikaji.
JPM keshaweka kiwango chake, yaani viongozi wote wamefufuka ghafla toka makatibu wakuu wadi kule mawilayani. Unasikia kazi na matukio toka kwa watu ambao hukuwahi wasikia kabla kuwa nao ni viongozi katika nchi hii.

Wateuliwa wanampa JPM nafasi moja, ya kuonyesha anaweza kuwatumbua majipu na wao pia. Ni siku nyingi tangu tuone waziri akitumbuliwa jipu na Rais moja kwa moja, bila haya wa kuchekewachekewa. Mama wa Mboga ilibidi aitiwe wazee wa Dar.
Ni zamu ya JPM kuonyesha anaubavu wa kuwanyoosha hawa 'miungu watu'.
 
CCM wengi wapo kifisadi zaidi na wanaojali maslahi yao binafsi na sio ya watanzania. Ni vigumu sana kumpata at least mwenye uzalendo.
 
Una haraka gani wewe!? Si amesema atatangaza. Au ni kiherehere tu cha kutaka kuanzisha uzi hapa JF? Haya basi tumeona uzi wako...nenda kachukue kiroba chako Ufipa.
 
Mmbona inakuwa ngumu kuelewa kiswahili,???kasema anaendelea kutafuta hajasema amekosa humo ndani ya wabunge Wa CCM.Kuna mambo mengi anayalinganisha ili aweze pata mtu anaefaa.

wewe dini gani biblia inakataza kumtafuta aliyehai katika wafu
 
magufuli yuko sahihi ccm kuna wabunge wengi hawana sifa ya kuwa wazir ccm chagueni wagombeq wazur wenye elimu na wasafi mnachagua kwa uwezo wao wa kifedha ndoo maana hata bungen hawana hoja za kuchangia zaid ya kupiga makofi mapungufu ya wabunge kuwa mawazir inaonekana ni.bora mawazr wasiwe wabunge ili kumpa rais wide choice
 
Wakati anatangaza baraza lake pale alipofika wizara ya fedha akasema bado sijapata waziri naendelea kutafuta. Na wizara ya elimu tena hivyo hivyo , ujenzi tena hivyo hivyo na maliasili tena . Sasa mimi najiuliza hivi nchi hii ina wanaccm milioni 8 wenye kadi na karibu wana ccm milioni 5 wasio na kadi hao wote hujaona mtu. Haya ccm ina wabunge zaidi ya 250 kati ya hao umeshindwa kabisa kupata wa kujaza hizo nafasi ina maana wabunge wote walio salia ni mizigo na viazi. Wanaccm tuliosalia ina maana sis ni vilaza.

Umetuaibisha sana kwa kweli mi nakushauri nenda kaombe wakenya wazibe hizo nafasi kama unaona wabunge wote walio salia ni jamii ya akina kibajaji

Wakati unaomba tuchukue watu kutoka Kenya, wenzako wakenya wanasema...".. Dear Tanzania,
Please let us have an exchange program for our presidents, we can give you Uhuru for 3 months we take Maghufuli for 3 months,infact we can even give you Ruto for free.
Kind regards,
Kenya."
 
Punguzeni ulofa japo kidogo.
Nyie mlitaka sura mpya zote ndo mridhike?
Baraza la Mkapa nna Kikwete lilikuwa tofauti kabisa lakini hela zilipigwa.
Mwakyembe ni mchapa kazi, na alijitahidi sana kuweka sawa uchukuzi, akajikuta anagusa maslahi ya Baba mwenye nyumba akawekwa mtu kati, hadi analishwa sumu, ungekuwa wewe ungefanyaje?
Acheni, hizo , kwa katiba yetu hii Tunahitaji Rais kama Magufuli the rest watanyooka tu.
Muhongo hana kosa pale Nishati, ni mfumo ulitengeneza mazingira, lakini hata wewe unakiri Sospeter Muhongo yuko njema kiutendaji. Infact ndo alifaa kuwa PM
 
Kila mtu humu ana baraza lake kichwani na kukosoa kwa binaadamu ni jambo jema na wakati mwingine baya duh!ni ngumu kuwaleta malaika kisha anawateua ubunge kisha wanakuwa mawaziri.
Kuishi kwa mazoea si jambo jema aaah hapa sina imani na magu kabla hata hawajaanza kazi?tuwape muda jamani ili ithibitike kuwa hawawezi maana hata magu nae katuonyesha yale ambayo watu hawakuwa wakidhani atayafanya.
 
Mzee wa watu kakurupuka akidhani anayaendea majipu! La! kumbe cancer tupu. Magufuli hafiki popote ni mjinga tu anayeweza shabikia haya mambo. Wenye na akili zao wameshahamia kando wanaangalia tu cenema za bure Tanzania.

Mkuu Chunga kauli zako, Kumbuka kuna kale kasheria ka mtandao.
 
Ili afike mbal hakustahil kuanza kwa mbwe mbwe na amsha amsha hv ataishiwa pumzi mapema sana au au ilikuwa operation delate masalia ya Mwenye mvi nyeupe?
Akifanya kazi kwa visasi hatafika popote na Tanzania ttutakuwa tuna bahati mbaya Ya kuwa na viongozi wabovu Muda wote
 
Utoto huu sasa umezidi. Hivi UKAWA ndio wajuaji sana wa kila kitu kuliko CCM!? Halafu...hao watu wanne sijui ulio wataja...kwa kuwa kwao tu na hizo sifa hapo ndio kutaathiri serikali kutekeleza majukumu yake?

Mods...sioni hoja ya maana kwenye huu uzi. Tafadhalini uunganisheni na ule uzi mkuu wa kutangazwa kwa baraza la mawaziri.

Mhariri
 
Last edited by a moderator:
Mama angu kaingiaje tena hapo?? Hahahaa bahat mbaya sjui kutukana ila skia kijana, labda kabla ya kuongea sana unatakiw ujue maan ya ilani,katiba na sheria za nchi... Kama kuna katiba mbaya na sheria mbaya. Hata hiyo ilani utaishia kuisoma kwnye magazeti tu but nothing will be done... Wajanja wamekaa wamesoma akili za watz na mihemko yenu na wakajua tamaa yenu ni nn na hapo me mmeanza kuchezewa cinema... siongelei mambo ya jf.... naongelea uhalisia... nkuulize tena swali jngne... ushawah kujiuliza magufuli akifukuzwa uanachama na ccm je ataendelea kuwa raisi au Mr kwishneh na uchaguzi utaitishw upya??? Hahaahaa hapo ndo utapata jibu kuwa chama na magufuli nani ananguvu zaidi... magu kashika makali but ccm imeshka mpini... so atakatwa tu na maumivu yake yatachukua karne nzma kuisha.... kwa nn hujiulizi why kikwete kaendelea kuwa mwenyekit wa chma even if katb ya ccm inaruhusu but why him and not mkapa?? Mi nampnda magu isipokuwa uahauri wangu kwake achange sheria na katiba ipite ya walioba ili awe na protection dhidi ya chama... hapo tamuona kweli is true he wants his people to get away from poor livngna kuwapa maisha bora but for now hizo zote ni mbwembwe za chura kutaka kucmama na kuvaa mkanda....

Unaongelea mihemko yako ww, ukimya pia huficha upumbavu... hujui kama kikwete anakoma uenyekiti wa chama mwaka 2017? Hujui hilo? Hujui kuwa magu ana miaka miwil ndo aje apewe uenyekiti wa chama? Hujui kama magu anatekeleza ilan ya chama,? Hujui kama magu anaitetea CCm chama kilichompa nafas wa yy kugombea na hatimae kushinda? Weng mnadhan CCm kama CDM, ile n taasis iliyojipanga na inappata viongoz wazalendo na waadirifu mapoyoyo wote wanaishia mikian kama anko ako Lowasa na sumaye.... Fanyen mambo ya msingi mkisubir maggu aharbu mseme mtakufa kihoro
 
Najua pasipo shaka kuwa Riz Kikwete lazima awe kwenye baraza la mawaziri. Ndani ya miaka 5 ya Magufuli huwezi kumkosa Riz serikali. Endeleeni kufuatilia game!

OK, Jana mkuu ametuletea Nape, Kingwa, Nchemba na wengine. Tunashukuru maana tunajua utendaji wao.

Sasa bado Assumpta Mshana, Livingstone 'kibajaji' na Riz ili baraza likamikike! Naomba utuwaletee!

Asante, naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom