Baraza jipya la mawaziri nalipa 40%

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Baada ya kelele nyingi kutoka kwa wabunge na kamati za bunge kuhusu mawaziri waliovuruga na kuhujumu wizara zao. Kiasi cha kusababisha shinikizo la kumuondoa waziri mkuu. Hatimaye mkuu wa kaya aliunda baraza jipya...japo naweza kusema ni jipya kwa 40% tu asilimia nyingine ni madudu! Kiraka kipya katika nguo ya zamani...kuna mawaziri hawakustahili kurudi ama kubadilishiwa wizara lakini wamerudi. Mfano wa-hasira!!!,mchi-mbua, ghasia, dereva wa meli,n.k. Tusubiri tuone utendaji wao!
 
Back
Top Bottom