Barabara ya Njia nne ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro kujengwa kwa zaidi ya Dola Milioni 800

Badala ya kuwekeza na kujenga Train ya kasi Dar Moro ili watu wengi waweze kusafiri / kufika kwenye shughuli zao at affordable prices watu wanawaza miradi ya kupiga na miradi ya kumkamua mwananchi badala ya kumuhudumia.....

Hizi ndio zinaitwa Cutting your Nose to Spite your Face.....
Hio barabara ni private na ya kulipia, ina maana itagawanya traffic, wanaojiweza watatumia hii itaondoa magari binafsi barabara za serikali na foleni pia itapungua barabara za masikini. Ni project nzuri ila sababu mtanzania anazaliwa na Phd ya kulalamika una haki ya kutoa povu.
 
Ndiyo kusema serikali haina uwezo wa kuijenga hiyo barabara, au!!

I wish hela wanazotumoa kujengea SGR ndiyo zingetumika kujengea hiyo barabara! Na SGR ingejengwa na kusimamiwa na sekta binafsi.
JPM alikuwa hawapend Pvt sector, sema nin, kwenye tren serikali inaweza opt kufanya kama kwenye barabara, kuruhusu pvt ppl wawe na tren zao then wao wapige maokoto yao tu, itakuwa good sana
 
Hio barabara ni private na ya kulipia, ina maana itagawanya traffic, wanaojiweza watatumia hii itaondoa magari binafsi barabara za serikali na foleni pia itapungua barabara za masikini. Ni project nzuri ila sababu mtanzania anazaliwa na Phd ya kulalamika una haki ya kutoa povu.
Hata project ya kwenda mwezini ni nzuri ila inategemea mshafanya mangapi / mangapi yanatakiwa kufanyika n.k. Nimekupa mfano mdogo ukiweka train ya kasi Dar moro itapunguza sio tu Msongamano wa watu Barabarani hata msongamano wa watu kuishi Dar as wanaweza kuishi Moro na kufanya kazi Dar...

Nimekwambia pia hio pesa kama private isipopatikana kama wanavyodhani lazima mikataba kama hii ina clause ya kwamba public italipia atleast ku-offset hasara yao..., Vilevile nimekwambia kwa tabia ya walamba asali usishangae huko kwa Public kukawa kunapata Tabu hakupitiki hadi wanakosa jinsi ya kuchepua huku kwa kulipia kwa ajili ya mifuko ya watu....

Mlipa Kodi ana haki ya kulalamika kama kinachofanyika kinahusu pia pesa zake..., unadhani kama Azam au Mfilipino aje hapa kwa pesa zake 100 percent aseme anataka kujenga barabara ya kapeti za sufi kuna atakayembishia au kusema kwanini kwanza asijenge ya mawe ?!!!
 
Ni wazo zuri japo Treni yetu ya mwendo kasi ikiwa tayari na kufanya kazi kama ilivyokusudiwa na maanisha ikaanza kusafirisha Makoitena kukawekwa bandari kavu Chalinze kwa ajili ya kaskazini, Morogoro kwa ajili ya mikoa ya kusini na Dodoma kwa kanda ya kati na mwanza; hii jarm inaweza kupungua kwa 70%
Hiyo project sijajua km itakuja kukamilika coz propaganda zimekua nyingi
 
Hata project ya kwenda mwezini ni nzuri ila inategemea mshafanya mangapi / mangapi yanatakiwa kufanyika n.k. Nimekupa mfano mdogo ukiweka train ya kasi Dar moro itapunguza sio tu Msongamano wa watu Barabarani hata msongamano wa watu kuishi Dar as wanaweza kuishi Moro na kufanya kazi Dar...

Nimekwambia pia hio pesa kama private isipopatikana kama wanavyodhani lazima mikataba kama hii ina clause ya kwamba public italipia atleast ku-offset hasara yao..., Vilevile nimekwambia kwa tabia ya walamba asali usishangae huko kwa Public kukawa kunapata Tabu hakupitiki hadi wanakosa jinsi ya kuchepua huku kwa kulipia kwa ajili ya mifuko ya watu....

Mlipa Kodi ana haki ya kulalamika kama kinachofanyika kinahusu pia pesa zake..., unadhani kama Azam au Mfilipino aje hapa kwa pesa zake 100 percent aseme anataka kujenga barabara ya kapeti za sufi kuna atakayembishia au kusema kwanini kwanza asijenge ya mawe ?!!!
Sasa unampangia Muwekezaji cha kufanya? Hela ushaambiwa sio za Serikali, maoni yako hayana maana yoyote, kama unaona Kakosea na wewe Tafuta Trilioni 2 yako kamtoe badala ya barabara weka reli.

Mtu atafute hela yake, atoe jasho lake halafu umpangie cha kufanya?
 
Aisee hata kusoma hujui ? Nimekwambia mikataba kama hii kuna kitu serikali anatoa vilevile kuna clause ya minimum ambayo mwekezaji atapata kutokana na matumizi.., na hio minimum isipopatikana ni kodi zako ndio zitalipia huo mradi...

Au unadhani wakifeli kumalizia na watu third party wakashindwa kulipa nini kinatokea ? Si ndio pale mradi kupigwa mnada na hao hao kwa kivuli cha wengine kununua kwa bei chee huo mradi ambao utajumuisha na ardhi ? (Hakunaga pesa ya mwekezaji ni pesa inakopwa Benki kwa collateral na back-up ya serikali) ikienda pearshaped usishangae mlipa kodi ndio aka-cover the cost....
 
Wachina wanabeba hiyo tenda ya Trilioni 2.1

Wale jamaa ndani ya miaka 3 wanakabidhi kazi
Kwanini tusiongelee watu kama strabag
We unaongelea wachina hawahawa wanaojenga barabara zinazoharibika kabla ya kutumika
Hivi hatuwezi kuwashtaki hawa wakandarasi wa hizi barabara ili waache hii tabia ya
Kugawana hela za miradi
 
Aisee hata kusoma hujui ? Nimekwambia mikataba kama hii kuna kitu serikali anatoa vilevile kuna clause ya minimum ambayo mwekezaji atapata kutokana na matumizi.., na hio minimum isipopatikana ni kodi zako ndio zitalipia huo mradi...

Au unadhani wakifeli kumalizia na watu third party wakashindwa kulipa nini kinatokea ? Si ndio pale mradi kupigwa mnada na hao hao kwa kivuli cha wengine kununua kwa bei chee huo mradi ambao utajumuisha na ardhi ? (Hakunaga pesa ya mwekezaji ni pesa inakopwa Benki kwa collateral na back-up ya serikali) ikienda pearshaped usishangae mlipa kodi ndio aka-cover the cost....
Unaropoka tu mkuu, Hebu Thibitisha ulichoandika Kutokana na hii project.
 
Kwanini tusiongelee watu kama strabag
We unaongelea wachina hawahawa wanaojenga barabara zinazoharibika kabla ya kutumika
Hivi hatuwezi kuwashtaki hawa wakandarasi wa hizi barabara ili waache hii tabia ya
Kugawana hela za miradi
Issue is ikiharibika sio jukumu la serikali, barabara private inaingiza pesa Kutokana na watu kutumia, barabara yenye mashimo hakuna mtu atakelipa kutumia, ili wapate return inabidi watengeneze kitu Quality.

Na hii ndio faida ya Ubinafsishaji.
 
Unaropoka tu mkuu, Hebu Thibitisha ulichoandika Kutokana na hii project.
Tathibitisha jambo ambalo halijatokea ? Sababu mwaka huu mafuriko hayajatokea na mvua hazijanyesha haimaanishi tusiposafisha mitaro na kukaa mabondeni mafuriko hayatatukumba..., Sababu haya mambo sio mageni na tabia ni predictable unaangalia nini kilifanyika kabla na unacheki opportunity cost na pros and cons...
 
Back
Top Bottom