KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Kwa wenye dstv fuatilieni makala iliyoandaliwa ndani ya hifadhi ya serengeti madhara yatakayojitokeza endapo barabara inayotarajiwa kujengwa kukatiza ndani ya hifadhi hiyo itajengwa.Itarushwa channel namba 101 na 170 leo jpili saa moja usiku