Barabara hii, mbele maji nyuma maji.

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Wana mahaba wa JF nifumbulieni hilo fumbo. Nilikuwa nasikiliza mziki sasa hivi kuna nyimbo ina mahadhi ya pwani pwani, halafu kuna kipande hiki "barabara hii jamani, mbele maji nyuma maji". Ana maanisha huyu mswahili?
 
mwanamke mjamzito halali kifudifudi..
 
Mhhh, inawezekana anamaanisha yupo njia panda kufanya maamuzi magumu! :eyebrows:
 
Back
Top Bottom