Banned rev masanilo ( ip ban)

PC huwezi login unapata ujumbe server not found nikijaribu JF ila page zingine zinafunguka.

Nimeweza login kwa simu

Ninaamini Malaria Sugu wanamlea sana apewe permanent server ban

Rev una roho kama ya Mujahedeen, yaani umejitolea mhanga! How hell is it Rev Masanilo?

Tungekuwa na watu mia wa kujitolea kama wewe, chanjo ya ukimwi ingepatikana zamani. Pole Mkuu, nadhani discipline itarejea kwa Thatha, MS na Mwita25.
 
Hahahahahahah,

Hii dunia jamani....Mie nilidhani michezo kama hii wanaicheza watoto tu....!!!

Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi........!!

Babu DC (1947)!!
 
Kachukua per diem za hadi Desemba na keshazila.........akipigwa ban bonge la kimeo


nimecheka mpaka ofisi nzima wameshituka haaa haaaa....
halafu NAPE alivyo Mhuni amempa na hela achangie JF ili awe Premium Member kabisa..
yaani jamaa anatoa jicho kwenye PC 24/7
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Ukisema IP ban sisi tunasema lugha changanya ...kama IP sio static si unamkosa.... labda kama una tag na MAC Address ndugu mtoa ban!!
 
nimecheka mpaka ofisi nzima wameshituka haaa haaaa....
halafu NAPE alivyo Mhuni amempa na hela achangie JF ili awe Premium Member kabisa..
yaani jamaa anatoa jicho kwenye PC 24/7
Acha bwana yaani jamaa anamfuatilia kweli!!!!!!!!Kazi zingine kweli noma!!!!!!!!!
 
PC huwezi login unapata ujumbe server not found nikijaribu JF ila page zingine zinafunguka.

Nimeweza login kwa simu

Ninaamini Malaria Sugu wanamlea sana apewe permanent server ban

pdf.gif
Hawawezi kumpata kirahisi maana inawezekana hatumii IP moja, nijuavyo mimi kila msikiti kama una huduma hii una IP yake
 
Nyie acheni utani.....yaani Invisible kajipiga BAN mwenyewe? mbona nasikia Inv = Rev?

Me siamini na ili niamini hebu Invisible nitwange IP ban ya 2 hours nina appointment fulani kwa masaa mawili yajayo........

Hahahaaaa, nakutania mwaya maana wewe jamaa Robot automated huna mzaha............lol!!!!
 
Mimi naunganishwa ktk internet kwa kupitia Dynamic IP (DHCP Server), sina IP moja , kwa hiyo hakuna mtu wa kunipa ban labda awanyime uhondo wa JF na watu wote tunao~share server, jambo ambalo hakuna tofauti na kuacha kutoa service.
 
Back
Top Bottom