Bank of Baroda

Bebz

Member
Dec 12, 2011
80
12
Habari wandugu..

Jamani naomba msaada wenu wanajamvi.
Nimeitwa kwenye interview Bank of Baroda post ya "Credit and Operations" na sina hata idea ya kitu cha banking na nimeunganishiwa tu hiyo kazi bila kujua. Naombeni msaada wenu kujua possible questions related to the post and a bank apart from the general questions.
 
1.umeunganishwa bla kujua?
2.ww ni me/ke?
3.uko tayari kufanya hyo kazi?
 
Habari wandugu..

Jamani naomba msaada wenu wanajamvi.
Nimeitwa kwenye interview Bank of Baroda post ya "Credit and Operations" na nina degree ya Statistics na sina hata idea ya kitu cha banking na nimeunganishiwa tu hiyo kazi bila kujua. Naombeni msaada wenu kujua possible questions related to the post and a bank apart from the general questions.

Mkuu wameita lini?
 
We google tu mbona majibu yatakuja fasta tu ...hadi skills ambazo unatakiwa ue nazo..changamka wengine tunatafuta hizo nafasi hatuzipati aisee
 
Habari wandugu..

Jamani naomba msaada wenu wanajamvi.
Nimeitwa kwenye interview Bank of Baroda post ya "Credit and Operations" na nina degree ya Statistics na sina hata idea ya kitu cha banking na nimeunganishiwa tu hiyo kazi bila kujua. Naombeni msaada wenu kujua possible questions related to the post and a bank apart from the general questions.

mboona mim cjaitwa?
 
1.umeunganishwa bla kujua?
2.ww ni me/ke?
3.uko tayari kufanya hyo kazi?
1. Yeah bila kujua because limtumia cv kwa ajili ya position ya M&E
2. Mi ni Ke
3. Sidhani ka ntaweza hiyo kazi though wil go for the interview.
 
Its not about position but i have doubts.

Ina mana wewe hata commerce na bookeeping hukusoma olevel maana kwny commerce unafundushwa mambo ya bank mengi sana hadi account za benki zilivo kama umesoma bc utakua unaelewa mambo ya benk..hata mabank teller hua sio lazima wasomee ni kua na idea tu kuhusu mambo ya kibenki na transactions zinavokua..uchofu kapige interview hiyo mwambie aliekuunganishie akueleze inakuaje lakini as usual hesabu zitakuepo za jumlisha na toa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom