Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

Bango hili lipo kwenye Kituo cha Polisi Magogoni Ferry na limeandikwa na Polisi wenyewe.

Bango hili linawadhalilisheni na kuuweka bayana uwezo wenu mdogo wa kuandika.

View attachment 2890445
MALUFUKUKUTUPATAKATA HAPA |-> KA. KITUO CHA POLISI.

Àfande Chiku hebu liondoeni bango hili haraka sana.
Asa mbona we mwenyewe umeandika "linawashalilisheni"🤷🤷

Au ndo wale wale form 4 failures😂😂
 
hii nchi ya hovyo ona hii shule gani sjui tanga huko yaani NIDHAMU jitu linaandika NIZAMU afu unategemea kuna kitu hapa
5C30EC22-A364-4E9A-B9F0-BBBEA06CD431.jpeg
 
Back
Top Bottom