Bandari ya Mombasa kushindana na ya Dar kwa bidhaa za Burundi na Rwanda?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu
Kama watanzania na watanganyika mnaona je. Nini kinatakiwa kufanyika? au tunashindwa nini kuwa a infunce kubwazaidi ya usafirisha bidhaa za Rwanda na Burudi kupitia tanzania na badala yake zinapitia kenya.

Kutoka kenya kabla ya kufika burundi au Rwanda lazima safari ipitie nchi nyingine(Uganda). Hii kwa tanzania ilitakiwa kuwa faida lakini haionekani hivyo

Kutoka Tanzania kukufika burundi au Rwanda hakutakiwi kuwa na tatizo sababu tuna mipaka na nchi hizo .

Lakini kwa nini bado hizi nchi baadhi ya bidhaa zao zinapitia Mombasa.
Kwa zamabia huko nadhani nako bidhaa zao zinazpitia dar zinapungua mwaka hai mwaka.?

nawasilisha kwa mjadala
 
Unajisikiaje unapoenda TRA long room ku clear mzigo wa transit kwenda rwanda ukakuta system au umeme vipo down kutwa nzima?na huku mzigo upo ICD kila siku storage charge?
 
Pia kero za MZANI TANROADS kibaha gari haijazidi uzito Mikese unaambiwa imezidi na trafiki kila hatua wanataka rushwa
 
mbona umeenda mbali kaka, sisi wenyewe mizigo (mostly magari) tunapitishia Mombasa. Sasa kama mzawa hawezi kutumia huduma ya nyumbani, mgeni je??
Nchi imeshawoza...chukua chako usepe..
 
wale wafanyakazi wa bandari ya Tanzania siyo wazalendo, hawana utu, wala hawajui umuhimu wa bandari kwa wafanyabiashara wa ndani na nje??

Tatizo la nchi hii liko kwa wasomi waliopewa madaraka, (experts) ..natamani pale bandarini wafukuzwe wote wawekwe wanajeshi wa JWTZ wenye uchungu na nchi yetu just ku-test kwa mwaka tuone???

Wanaudhi sana wale..
 
Serikali ya Tanzania haikuona umuhimu kwa kuipanua ili bandari ya tanga ili itumike kuchukilia mizigo ya hizo nchi. hii ingesaidia kupunguza mizigo kufika kwa wakati coz of geographical position pia distance ingepungua kufuatia kama Ile reli ya tanga ingeboreshwa Zaid..
 
Back
Top Bottom