Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

Achana na marehemu hawezi kuisemea nchi. Kama kuna tatizo liseme tatizo kwa details za kutosha watu wasikie.
 
Jiwe alitakiwa aongoze enzi za TANU sio sasa hivi. Kwa nyakati zile angefaa sana. Sera zake hazikuwa tofauti na za Mugabe ambazo sasa hivi zinawaumiza waZimbabwe kuliko inavyodhaniwa. Hadi Malaya wa Zimbabwe unaweza kuwalipa kwa kilo ya mahindi sio lazima hela kuashiria hali ni mbaya sana. Alishasema JK ukitaka kula lazima na wewe uliwe.
 
Asante sana kwa kunitaja...
Historia inatakiwa itufunze..sio ituhuzunishe.
Nchi haiwezi kubaki kama ilivyokuwa 1961..
Sijauzunisha mtu mimi ni mtoa taarifa na nimeuzunika mimi kama mimi na kama umeuzukika sahuri yako
 
Mapungufu ya Jiwe yalikuwa ni hatari na yalikuwa yakilipeleka taifa la Tz kwenye hasara kubwa kuliko hata hasara ya bandari zote kupatiwa mjomba wake Samia wa kule Oman
Wakati awamu ya 4 watanzania wameichoka nazani ulikuwa bado unanyonya, na tunarudi kulekule subirini mtaona viongozi watakavyorudi kutukanwa na kuitwa mizigo kisa mambo ya kujuana na Dili za hovyo za kuiuza nchi
 
Jiwe alitakiwa aongoze enzi za TANU sio sasa hivi. Kwa nyakati zile angefaa sana. Sera zake hazikuwa tofauti na za Mugabe ambazo sasa hivi zinawaumiza waZimbabwe kuliko inavyodhaniwa. Hadi Malaya wa Zimbabwe unaweza kuwalipa kwa kilo ya mahindi sio lazima hela kuashiria hali ni mbaya sana. Alishasema JK ukitaka kula lazima na wewe uliwe.
We una fikili Jk na magu ni vichaa kuacha selikali indeshe bandari
 
You know nothing, huyo jiwe ndo alikuwa mpigaji balaa, ile bandari mapato yake inayoingiza kwa mwezi ni zaidi ya 10T, chakushangaza sasa eti bandari kama ile inaingiza 900B akizidi sana kwa mwezi ni 2T, akambiwa basi uwe unapeleka serikalini gawio la 1T napo anashindwa iyo 1T si upuuzi uwo Yani bandari inaingiza pesa nyingi mno sema akuna mbinu nzuri ukusanyaji wa hayo mapato, Mwarabu kasema atapeleka ataigawia serikali 6T kila mwezi sasa c bora mwarabu apewe tuu mm kwa upande wangu naona ni safi kupewa mwarabu tunazingua sisi wenyewe kitu chetu hatuna uzarendo nacho na mjiandae nyny watumishi wa bandari msio na professional ya kazi za bandari kwenda kufanya kazi uko halmashauri kazi mnayo ..
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢 kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Wewe umejaa mausaha kichwani sio bure.
 
You know nothing, huyo jiwe ndo alikuwa mpigaji balaa, ile bandari mapato yake inayoingiza kwa mwezi ni zaidi ya 10T, chakushangaza sasa eti bandari kama ile inaingiza 900B akizidi sana kwa mwezi ni 2T, akambiwa basi uwe unapeleka serikalini gawio la 1T napo anashindwa iyo 1T so upuuzi uwo Yani bandar inaingiza pesa nyingi mno sema akuna mbinu nzuri ukusanyaji was hayo mapato, Mwarabu kasema atapeleka ataigawia serikali 6T kila mwezi sasa c bora mwarabu apewe tuu mm kwa upande wangu naona ni safi kupewa mwarabu tunazingua sisi wenyewe kitu chetu hatuna uzarendo nacho na mjiandae nyny watumishi was bandari msio na professional ya kazi za marine kwenda kufanya kazi uko halmashauri kazi mnayo ..
Una matatizo ya akili? Mapato ya bandari kwa mwezi 10T??? Wewe ni zaidi ya mpumbavu
Unaijua 10T??
 
You know nothing, huyo jiwe ndo alikuwa mpigaji balaa, ile bandari mapato yake inayoingiza kwa mwezi ni zaidi ya 10T, chakushangaza sasa eti bandari kama ile inaingiza 900B akizidi sana kwa mwezi ni 2T, akambiwa basi uwe unapeleka serikalini gawio la 1T napo anashindwa iyo 1T so upuuzi uwo Yani bandar inaingiza pesa nyingi mno sema akuna mbinu nzuri ukusanyaji was hayo mapato, Mwarabu kasema atapeleka ataigawia serikali 6T kila mwezi sasa c bora mwarabu apewe tuu mm kwa upande wangu naona ni safi kupewa mwarabu tunazingua sisi wenyewe kitu chetu hatuna uzarendo nacho na mjiandae nyny watumishi was bandari msio na professional ya kazi za marine kwenda kufanya kazi uko halmashauri kazi mnayo ..
Wewe ni mwongo. Bandari haiingizi Trilioni kwa mwezi. Mapato yote ya TRA kwa mwezi huwa yanacheza kwenye 2T. Shule ulipita pita?
 
You know nothing, huyo jiwe ndo alikuwa mpigaji balaa, ile bandari mapato yake inayoingiza kwa mwezi ni zaidi ya 10T, chakushangaza sasa eti bandari kama ile inaingiza 900B akizidi sana kwa mwezi ni 2T, akambiwa basi uwe unapeleka serikalini gawio la 1T napo anashindwa iyo 1T so upuuzi uwo Yani bandar inaingiza pesa nyingi mno sema akuna mbinu nzuri ukusanyaji was hayo mapato, Mwarabu kasema atapeleka ataigawia serikali 6T kila mwezi sasa c bora mwarabu apewe tuu mm kwa upande wangu naona ni safi kupewa mwarabu tunazingua sisi wenyewe kitu chetu hatuna uzarendo nacho na mjiandae nyny watumishi was bandari msio na professional ya kazi za marine kwenda kufanya kazi uko halmashauri kazi mnayo ..
Mimi kwanza sijamuelewa,hoja ni ipi? Maana hakuna alichoandika..

Ila kama ni muwekezaji Mwarabu kuna shida gani?
 
Back
Top Bottom