Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Hata Lowasa alisema wakati wa kampeni 2015 atavunja ujenzi wa bandari ya bagamoyo na mara moja angeanza kujenga na kupanua bandari ya Dar ,Mtwara na Tanga ndicho kitu alichokuja kufanya JPM baada ya kushinda uchaguzi.
Tayari bandari ya Dar imepanuliwa kwa gaharama ya trilioni 1.34 na uwezo wake umeongezeka mara 3 zaidi. Bandari ya Mtwara upanuzi umekamilika kwa gharama ya billion 307 na kuanzia mwaka huu korosho zote za kusini hazitaletwa bandari ya Dar tena ,zote zitasafirishwa kupitia bandari ya mtwara. Mafuta yote ya kusini sasa hivi yanashushwa Mtwara direct.
Bandari ya Tanga kandarasi yupo site.
Je hao wachina wanaotaka kuwekeza bandari ya trillion 23 bagamoyo mizigo wataitoa wapi?
Watapitishia nini hapo?
Urithi siyo majumba na magari tu hata maneno ni urithi pia, yanaweza kuishi miaka 200 ijayo. Hapa JPM ametuachia urithi ,hiyo timu inayofanya mazungumzo lazima wazingatie maneno haya ya JPM kama guidline, wakipuuza makaburi yao yatakuja kufungwa pingu miaka 20 ijayo.
Ndugai wachina walimlipia kila kitu kwenda China kumuonyesha presentation ya jinsi gani mradi wa bagamoyo ulivyo na manufaa kwa Tanzania.!!
Bila shaka kwenye mazungumzo mkataba wa bandari ya bagamoyo utapitiwa upya na kufumua mashariti yote yasiyo na tija kwa nchi yetu.
Ila case study ya miradi kama hii tayari ipo Zambia, Kenya, Siri lanka tunaweza kwenda kujifunza na kurekebisha makosa.
Ngoja tusubiri na kuona.
View attachment 1832046