Bambo na tangazo la uchaguzi wa serikali za mitaa.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,832
Jana nililiona tangazo la msanii wa maigizo na vichekesho wa siku za nyuma kidogo ambaye amefulia kwa kukosa kabisa ubunifu Bambo.
bambo amechoka, tangazo halieleweki, anaongea lugha ya majuha, anacheza hata sehemu ambayo hakustahili kucheza.
kweli Bambo amefulia mbayaaaaaaa
 
Hii tabia ya kuweka wachekeshaji kwenye matangazo serious yanayohusu haki za kikaiba na kiraia sijui imetoka wapi, utaona wafadhili wanatoa mamilioni kwa ajili ya kuhamasisha uandikishaji wa watanzania wote halafu hela hizo zinaenda watu wanatunga tangazo ambalo characters wanaongea kwa lafudhi ya lugha fulani wakati tangazo hilo linahusu makabila yote 120 ya Tanzania.

Pili, personality ya mtu anayesema inafanya watu wavutiwe kuangalia, kwa mfano mtu akiona mchekeshaji fulani tu anajua ladba ni advert ya sinema anahamisha channel mara moja wakati sio hivyo.

Tuwe serious hawa watu waende sabasaba ndio saizi yao lakini sio kwenye serious issues kama hizi, tupige kelele kukemea hili.
 
"Inakuhusu nini? hiyo kufulia kwa bambo?"
 
mkuu upo correct, jana nililiona hilo tangazo lakini sikupenda kuendelea kuangalia, nilihisi tu labda ni tangazo la OMMO ambalo mara nyingi nimeliona, watu tuwe serious na vitu makini kama hivi
 
Jana nililiona tangazo la msanii wa maigizo na vichekesho wa siku za nyuma kidogo ambaye amefulia kwa kukosa kabisa ubunifu Bambo.
bambo amechoka, tangazo halieleweki, anaongea lugha ya majuha, anacheza hata sehemu ambayo hakustahili kucheza.
kweli Bambo amefulia mbayaaaaaaa
Wa kulaumiwa hapo si Bambo au actor yeyote aliye kuwemo kwenye ilo tangazo (binafsi sijaliona ilo tangazo), yeye anafuata maelekezo ya Muongozaji wa upigaji picha za filmu wa ilo tangazo...!

Wakulaumiwa hapo ni waandaaji au kampuni wa ilo tangazo kwa kutokuwa wabunifu wa kutosha na kwa kushindwa kukata kiu ya hadhira husika.
 
in that case wa kulaumiwa hapo ni Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa maarufu kama TAMISEMI lazima itakuwa idara ya habari na maelezo ndo waandaaji
 
Wa kulaumiwa hapo si Bambo au actor yeyote aliye kuwemo kwenye ilo tangazo (binafsi sijaliona ilo tangazo), yeye anafuata maelekezo ya Muongozaji wa upigaji picha za filmu wa ilo tangazo...!

Wakulaumiwa hapo ni waandaaji au kampuni wa ilo tangazo kwa kutokuwa wabunifu wa kutosha na kwa kushindwa kukata kiu ya hadhira husika.

ok basi mwandaaji wa hilo tangazo inabidi alifanyie masahihisho
 
We are not serious as usual in this country, after all everything is comedy right!
 
Nadhani ndio maana watuwengi hawakujitokeza kkujiandikisha kwani, uchaguzi nikitu muhimu lakini unaweka vichekesho katika matangazo na watu wanaona kama niutani
 
hahaaaa kiongozi nyaku PM unikute mahali weekend hii upate serengeti..tangazo kiwango sana lile

we acha tu kiongozi . ukisikia viwango ndio hivi. Wengine ubabaishaji tu .No creativity at all.
 
ok basi mwandaaji wa hilo tangazo inabidi alifanyie masahihisho
Kuandaa tangazo au Movie kuna mambo mengi ya kuzingatia, kwanza lazima mundaaji au mtunzi au mwandishi husika... anatakiwa kuielewa jamii anayoitarajia kuliona tangazo lake/mchezo anaotarajia kuuandaa, vile vile mtu anaye husika na kufanya casting, lazima ajue nature ya tangazo lenyewe na anaitaji mtu au watu wa namna gani, na wakati wa kuwafanyia hiyo inayoitwa casting kunakuwa na panel ya wahusika au waandaaji wa ilo tangazo wakiwemo Director wa upigaji picha, Casting Director, na wenginewe, ili kuweza kuchaguwa mtu au watu watakao endana na hilo tangazo au video inayo tarajiwa kuonyeshwa.

Na upigaji picha ukimalizika, tangazo/video kabla ya kukabidhiwa mteja lazima lifanyie review na wataalam, ili kusikia maoni yao, na kama kuna marekebisho yaafanyike kabla tangazo/video kuingia sokoni au kukabidhiwa mteja...!

Tatizo la wazawa wengi mambo hayo tunayavamia tu bila kuyaelewa, matokeo yake ndiyo kama hayo...!

Bongo vipaji vipo vingi sana, tatizo wanakosa watu wa kuwapa maelekezo au mafuzo ya kuweza kuendeleza vipaji vyao. Chuo cha sanaa Bagamoyo kipo kwanini waigizaji na wasanii wengine hawataki kukitumia...!?

Safari bado ni ndefu sana, wanatakiwa kukaza buti...!
 
Back
Top Bottom