Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed
.
Asanteni Sana Wakuu

View attachment 2254455
Yaan Hawa wanasiasa ni wanafik na wapuzi kweli. Mwanajeshi na diplomasia wapi na wapi. Hivi hanma watu waliosomea udiplomasia wakawa wanapewa hivi vyeo Hadi wanajeshi. Mwanajeshi lini akajua kutangaza furusa zilizopo nchin kweli

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Bususwa , kwanza enzi za Mr. Clean, au Mkwere, uliwahi kusikia tuhuma zozote za nepotism?. Lakini alipoingia tuu Bulaza, tuhuma hizi zikaanza kuvurumishiwa, kwanza akina sisi tulimtetea Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi! lakini zilipozidi hadi watu wakaanza kuleta ushahidi wa facts, akina sisi Tulitoa wito Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
Tuhuza za nepotism kwa Kikwete zilikuwepo sana tu,sema Kikwete kilichokua kinambeba ni udogo wa kabila lake, hakuwa na watu wengi waliomzunguka! Hakuwa na watu wengi sana! Mfano Mnikulu Bwana Ngulumo,na Dada mmoja alikua CEO wa TACAIDS kama sijakosea! Tena alikua anaitwa kabisa somebody Dr Mrisho! Kwa Mkapa siwezi kujua sana kipindi hicho nilikua mdogo sana,hadi Mkapa anamaliza muda wake nilikua secondary,form six!

Kipindi cha Magufuli,kabila la wasukuma ni kubwa sana,kila alikua akigusa,anakutana na mtu kutoka kabila lake,na kibaya zaidi aliamini kwamba,akichagua mtu kutoka lake zone,ndiyo atakua Very Royal kwake,kila atakachosema ni ndiyo Mzee! Na washauri wake,walimpoteza sana,maana alikua hashauriki,hivi alishindwa nini kuweka watu wengine zaidi yakujaza kina Ngosha?? Pale Ikulu wasukuma walijaa kibao! Kina Ngusa Samike,na wengine kibao! Kama unabisha angalia siku anazikwa,waliposema familia ya Magufuli wengi walitoka waliokua pale Ikulu,hadi yule jamaa alikua anamletea maji ya kunywa akiwa sehemu anatema hotuba,pia Magufuli alikua anaendesha Nchi kibabe,ukienda nae tofauti,kesi hii hapa,wangapi kawaumiza?? Ni wengi!

Pili Magufuli,hakupenda ushauri, hivi kuna haja gani ya mtu kama Bashiru kumfanya awe KM wa CCM wakati wenzake wana CCM walikua hawamjui?? Polepole pia kuwa Mwenezi wa Chama,wakati wenzake hata hawamjui?? Kuna siku nilikua sehemu,jamaa mmoja akasema Magufuli anawasikiliza watu wawili tu hapa Tanzania Ben na Pengo,wale wakisema John acha,kweli anaacha!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu JokaKuu, duh...!. Baada ya Mwamunyange kufikia retirement age, Blaza akamgomea kwa hoja ya hakuna replacement muafaka, hivyo akaongezwa muda ili grooming ifanywe, the usual grooming ni kwa young juniors into seniors, kama umri uliishasonga vile?!, that means, inawezekana zile tuhuma za nepotism ni kweli na labda kuna kaji nepotism kadogo hapo kali play a role!. That being the case, hakuna ubaya na tukapata CDF kutoka upande wa pili, Mama has the right to have someone she can be very comfortable with. Enzi za Mwalimu, hawa jamaa walitoka Mara, CinC alipotoka Usukumani, CDF akawa Msukuma!, hivyo sasa maadam CinC ni kutoka Zanzibar, hakuna ubaya wowote tukawa na CDF kutoka Zanzibar as long as ana sifa stahiki na anakidhi vigezo vyote!.
P
Yacoub Mohammed anatoka Zanzibar?
 
Kama Yacoub bado hajafikia umri wa kustaafu basi anafaa sana kwa sababu yeye alikuwa luteni generali kabla ya Mathew.
 
Back
Top Bottom