Balozi wa Libya Tanzania akaidi kushusha bendera ya NTC!

Kwa maneno haya haya naweza kuweka nchi na bendera ya Palestine kisha nambie kwa nini Marekani na nchi za magharibi hawaitambui? na wala sintoshangaa hata wewe huiitambui hali Membe na serikali yako wanaitambua.

palestine_1806347c.jpg

The Palestinian flag flies from the building housing the General Delegation of the Palestine Liberation Organization (PLO) in Washington Photo: AFP

The US State Department said the flag ceremony was approved several months ago and does not change the status of the Palestinian mission in Washington.

Maen Rashid Areikat, the envoy to the headquarters of the General Delegation of the Palestine Liberation Organization to the United States (PLO), raised the flag at a ceremony watched by journalists and others, the mission said.

The statement said delegates from the State Department and Arab League Ambassador Hussein Hasouneh attended the ceremony.​

"This flag symbolises the struggle of the Palestinian people for independence," Mr Areikat was quoted by his mission as saying.

Mkandara tatizo ni kwamba Paletinian State haipo lakini Libyan State ipo.

palestine_1806347c.jpg

The Palestinian flag flies from the building housing the General Delegation of the Palestine Liberation Organization (PLO) in Washington Photo: AFP

The US State Department said the flag ceremony was approved several months ago and does not change the status of the Palestinian mission in Washington.

Maen Rashid Areikat, the envoy to the headquarters of the General Delegation of the Palestine Liberation Organization to the United States (PLO), raised the flag at a ceremony watched by journalists and others, the mission said.

The statement said delegates from the State Department and Arab League Ambassador Hussein Hasouneh attended the ceremony.

"This flag symbolises the struggle of the Palestinian people for independence," Mr Areikat was quoted by his mission as saying.

Mkandara tatizo ni kwamba Paletinian State haipo lakini Libyan State ipo.

Mkuu hii ni delegation ya PLO wakirusha Bendera ya Taifa. Sijui kama unafahamu kwamba Marekani wanaitambua PLO chini ya Mahmood Abbas ingawa walishindwa uchaguzi mkuu?..Marekani wameruhusu DELEGATE ya PLO kupeperusha bendera ya lakini haina maana Marekani wanaitambua Palestine.... besides, kabla ya mwaka 1949 hiyo hiyo nchi unayoiita Israel ilikuwa ikiitwa Palestine ni jina waloipa Waingereza kama tulivyoitwa sisi Tanganyika. Sasa, leo tunaitwa Tanzania na kisiasa tumeiua tanganyika lakini haina maana hakuna kitu Tanganyika. wananchi tukidai kurudi kwa Tanganyika hakuna nchi yeyote duniani yenye haki ya kusema Tanganyika sio nchi na haiwezi kuwa nchi isipokuwa sisi wenyewe..Halafu kikubwa zaidi palestine ilikuwepo toka historia ya Biblia na Taurati leo unasema vipi hakuna nchi inayoitwa Palestine..

Halafu unaposema Palestine sio nchi una maana gani?... Ebu nenda hata ka Google tuone kama hakuna nchi inayoitwa Palestine.. halafu ubishi hapa ni bendera sio kuwepo kwa nchi inayoitwa Libya. Ilikuwepo toka zamani na hata bendera hii wanayoitumia sasa hivi ilikuwa bendera ya King Idrisa ambaye alikuwa sultan wa makabila ya Bengazi, kama unavyojua wazungu tabia yao ni kutenganisha ili wapate ku rule na walifanikiwa kuigawa Libya hata baada ya Uhuru. Huyu King na utawala wake hawakuweza kudumu baada ya kugunduliwa mafuta aliifanya utajiri wote kuwa mali yake, Utajiri mkubwa lakini aliulimbikiza yeye na kuijenga Bengazi yake hivyo mapinduzi ya mwaka 1969 ya kina Ghadafi hayakuwa ya bahati mbaya. sasa wanaporudisha bendera ya King Idrisa wa Benghazi sijui kama kuna dalili nzuri hapa..

Baada ya Mapinduzi, Ghadafi aliweka mali yote mikononi mwa wananchi, even hizi account walizo freeze zipo chini ya JUMUIYA ya kiarabu ya Walibya na sii ktk jina lake yaani Ujamaa wa Nyerere at the best.. Na hakika hakukosa maadui walionyemelea mali hizo ama walioona wamedhulumiwa mali ilokuwa ktk viwanja vyao kwa kuifanya ardhi yote ya Libya kuwa mali ya Taifa. Yes, ni kweli Ghadafi used iron fist kuwaongoza Walibya ambao kutokana na mafuta walikuwa na upinzani mkubwa wa jinsi kugawana utajiri huo mkubwa..

Wazungu wanasema it's easly say than done.. na nakuhakiishia wee subiri mafuta yapatikane Zanzibar au Tanga kisha ndio utaona yatakayo fuatia.. tutatoana roho na Mungu apitishie mbali yasipatikane hata Nyerere mwenyewe aliwahi kusema akiwa ziarani Ottawa, Canada..
Ghadafi is gone, binafsi sioni sababu kabisa ya kupiga makelele na hii transitional council ambayo sii ajabu wasikubalike na naweza kuwa na mashaka kuwa hii mbinu ya Marekani na western kurudisha Utawala unaoviweka visima vya mafuta mikononi mwa watu binafsi utaweza kufanikiwa bila nguvu kubwa zaidi ya hizo za Ghadafi.. Ebu fikiria tu kama tungekuwa na mafuta wakati wa Nyerere kisha serikali inakuja binafsisha mafuta hayo hayo hali asilimia kubwa ya maisha ya wananchi wanategemea mishahara minono na zaka ( social welfare) kutoka serikali kuu...
 
Mkandara, Sheba na wote walioninukuu wakikwa wanatetea kitendo cha Membe. Kuna post nyingi zimeshawekwa hapa katikati na sitaweza kuzisoma zote ila nakumbusha kuwa.

(1) Membe ndiye msemaji mkuu wa Tanzania kimataifa, na ana uhuru wa kumfukuza balozi wa nchi yoyote atoke nchini iwapo balozi huyo ama atakuwa amekiuka masharti ya mwenendo wa kibalozi , amevunja sheria za nchi na ama iwapo nchi yetu itakuwa imevunja uhusiano na nchi husika; hilo halina ubishi. Sasa basi iwapo Tanzania bado ina uhusinao wa kibalozi na Libya, na balozi wa Libya aliyeko nchini aliwakilisha hati zake za kibalozi akatambuliwa rasmi kuwa ni balozi halali wa Libya na wala hajaondolewa kwenye madaraka hayo na utawala wa Libya, halafu bado hajavunja sheria za nchi yetu au kukikuka masharti ya kibalozi, Tanzania haiwezi kumwamrisha atumie bendera ya aina gani kwenye ofisi zake. Hilo siyo jukumu la serikali ya Tanzania wala la Membe; kimsingi Membe na serikali ya Tanzania wanatakiwa wapokee taarifa za mabadiliko ya utawala huko Libya kutoka kwa huyo Balozi wa Libya huyo huyo aliyeko nchini.

(2) Mnaodai kuwa Umoja wa mataifa siyo institution ya diplomacy mnakosea sana kwa vile Umoja wa mataifa unaendeshwa na diplomats tu. Ndiyo maana hata discussion hii imekuwa inaongelea Vienna Convention ambayo ilitolewa kupitia umoja wa mataifa. Nchi zinazopingana na umoja wa mataifa huwa zinakiuka sana diplomacy ya ulimwengu wa leo; ndiyo maana Marekani ya Bush ilipokwenda kupigana Iraq ililaumiwa sana kwa kukiuka taratibu za kidiplomasia kwa vile umoja wa mataifa haukuwa umeidhinisha matumizi ya nguvu!!
 
kwani maembe anaijua libya vizuri kuliko huyo balozi? Aache kauli zake za ki joka la mdimu
 
Walibya hawamtaki Gaddafi, iweje Membe ang'ang'anie kumtambua, asubiri na sisi tukilianzisha ndo atalijua jiji?
 
Mkuu sijasoma pahala popote kwamba Membe anamtambua Gaddafi.Naomba uniwekee hiyo sehemu aliyosema hivyo.
 
Mkuu hii ni delegation ya PLO wakirusha Bendera ya Taifa. Sijui kama unafahamu kwamba Marekani wanaitambua PLO chini ya Mahmood Abbas ingawa walishindwa uchaguzi mkuu?..Marekani wameruhusu DELEGATE ya PLO kupeperusha bendera ya lakini haina maana Marekani wanaitambua Palestine.... besides, kabla ya mwaka 1949 hiyo hiyo nchi unayoiita Israel ilikuwa ikiitwa Palestine ni jina waloipa Waingereza kama tulivyoitwa sisi Tanganyika. Sasa, leo tunaitwa Tanzania na kisiasa tumeiua tanganyika lakini haina maana hakuna kitu Tanganyika. wananchi tukidai kurudi kwa Tanganyika hakuna nchi yeyote duniani yenye haki ya kusema Tanganyika sio nchi na haiwezi kuwa nchi isipokuwa sisi wenyewe..Halafu kikubwa zaidi palestine ilikuwepo toka historia ya Biblia na Taurati leo unasema vipi hakuna nchi inayoitwa Palestine..

Halafu unaposema Palestine sio nchi una maana gani?... Ebu nenda hata ka Google tuone kama hakuna nchi inayoitwa Palestine.. halafu ubishi hapa ni bendera sio kuwepo kwa nchi inayoitwa Libya. Ilikuwepo toka zamani na hata bendera hii wanayoitumia sasa hivi ilikuwa bendera ya King Idrisa ambaye alikuwa sultan wa makabila ya Bengazi, kama unavyojua wazungu tabia yao ni kutenganisha ili wapate ku rule na walifanikiwa kuigawa Libya hata baada ya Uhuru. Huyu King na utawala wake hawakuweza kudumu baada ya kugunduliwa mafuta aliifanya utajiri wote kuwa mali yake, Utajiri mkubwa lakini aliulimbikiza yeye na kuijenga Bengazi yake hivyo mapinduzi ya mwaka 1969 ya kina Ghadafi hayakuwa ya bahati mbaya. sasa wanaporudisha bendera ya King Idrisa wa Benghazi sijui kama kuna dalili nzuri hapa..

Baada ya Mapinduzi, Ghadafi aliweka mali yote mikononi mwa wananchi, even hizi account walizo freeze zipo chini ya JUMUIYA ya kiarabu ya Walibya na sii ktk jina lake yaani Ujamaa wa Nyerere at the best.. Na hakika hakukosa maadui walionyemelea mali hizo ama walioona wamedhulumiwa mali ilokuwa ktk viwanja vyao kwa kuifanya ardhi yote ya Libya kuwa mali ya Taifa. Yes, ni kweli Ghadafi used iron fist kuwaongoza Walibya ambao kutokana na mafuta walikuwa na upinzani mkubwa wa jinsi kugawana utajiri huo mkubwa..

Wazungu wanasema it's easly say than done.. na nakuhakiishia wee subiri mafuta yapatikane Zanzibar au Tanga kisha ndio utaona yatakayo fuatia.. tutatoana roho na Mungu apitishie mbali yasipatikane hata Nyerere mwenyewe aliwahi kusema akiwa ziarani Ottawa, Canada..
Ghadafi is gone, binafsi sioni sababu kabisa ya kupiga makelele na hii transitional council ambayo sii ajabu wasikubalike na naweza kuwa na mashaka kuwa hii mbinu ya Marekani na western kurudisha Utawala unaoviweka visima vya mafuta mikononi mwa watu binafsi utaweza kufanikiwa bila nguvu kubwa zaidi ya hizo za Ghadafi.. Ebu fikiria tu kama tungekuwa na mafuta wakati wa Nyerere kisha serikali inakuja binafsisha mafuta hayo hayo hali asilimia kubwa ya maisha ya wananchi wanategemea mishahara minono na zaka ( social welfare) kutoka serikali kuu...

Hapa naona kuna tatizo moja kuu, wengine tumeamua kuwa realists lakini wenzetu mmeamua kuwa rationalists. Naona mapenzi yenu kwa Gadafi yamewavika wingu zito machoni, hamtaki kuona hali halisi. Wahenga walisema ukipenda chongo utaita kengeza lakini the fact remains kuwa Gadafi ni history na wako Walibya wengi tu wanashangilia kuanguka kwake. Watanzania tunayo hii hulka ya kusifu na hata pale ambapo sifa haipo itatafutwa hadi uvunguni mradi tu tuziridhishe nafsi zetu !

Wengine tumetoa ombi kwa Membe kuwa kama kweli haitambui na hataki kuiona bendera ya NTC ya Libya, amchukulie hatua huyo balozi aliyekaidi amri yake kwa kumfungisha virago. Lakini hana haki wala mamlaka ya kumkataza huyo balozi kutundika bendera ya nchi yake ya Libya kwani eneo ulipo ubalozi huo kwa sasa kisheria ni Walibya ndiyo wanaamua bendera gani ipepee. Ni hiyo bendera ya NTC ndio inapepea mjini Tripoli yaliko makao makuu ya serikali ya Libya, sasa huyu Membe ni nani kwa Walibya ?

Libyans in Tripoli's seaside Martyrs Square have marked the first post-Muammar Gaddafi celebration of Eid al-Fitr, coming out in huge numbers to revel in newly gained independence. At dawn, thousands of men and about 200 women gathered on huge green carpets to make the special dawn prayer, intoning praise for God before the old stone walls where Gaddafi had made some of his defiant speeches just months before.

Cranes loomed over some of the supplicants. Journalists have been told that they were brought in to support an enormous poster of Gaddafi. The portrait, reportedly what would have been the largest image of a head of state ever produced, was meant for the 42nd anniversary of Gaddafi's time in power, which is Thursday.

After the prayer, the square emptied, but families continued to circle its expanse in their cars, honking and waving their hands in victory signs. Rebels maintained positions at intersections around the square, receiving praise from civilians and firing their guns in the air.

Women, rarely seen during the Libyan conflict, joined the celebrations. One waved the rebel flag and flashed the victory sign to a photographer, while her friend hid her face. In the shade of a colonnade on the square's eastern edge, where a crowd had gathered, Mohammed Hamadi held his 18-month-old daughter Rawya.

Hamadi, a 30-year-old Tripolitanian, wore a fresh white jalabiya and traditional embroidered vest. His wife had stayed home, but Hamadi had brought Rawya to see the celebration.
"It's good, very good," he said.

Al jazeera

Tuliambiwa kuwa Tripoli ndiyo ngome kuu ya Gadafi, sasa wako wapi ? Ngoja mbaki mkimlilia Gadafi mimi ni realist, sidanganyiki.
 
Hapa naona kuna tatizo moja kuu, wengine tumeamua kuwa realists lakini wenzetu mmeamua kuwa rationalists. Naona mapenzi yenu kwa Gadafi yamewavika wingu zito machoni, hamtaki kuona hali halisi. Wahenga walisema ukipenda chongo utaita kengeza lakini the fact remains kuwa Gadafi ni history na wako Walibya wengi tu wanashangilia kuanguka kwake. Watanzania tunayo hii hulka ya kusifu na hata pale ambapo sifa haipo itatafutwa hadi uvunguni mradi tu tukwepe kwa kufunika kombe mwanaharamu apite !

Wengine tumetoa ombi kwa Membe kuwa kama kweli haitambui na hataki kuiona bendera ya NTC ya Libya, amchukulie hatua huyo balozi aliyekaidi amri yake kwa kumfungisha virago. Lakini hana haki wala mamlaka ya kumkataza huyo balozi kutundika bendera ya nchi yake ya Libya kwani eneo ulipo ubalozi huo kwa sasa kisheria ni Walibya ndiyo wanaamua bendera gani ipepee. Ni hiyo bendera ya NTC ndio inapepea mjini Tripoli yaliko makao makuu ya serikali ya Libya, sasa huyu Membe ni nani kwa Walibya ?

Tuliambiwa kuwa Tripoli ndiyo ngome kuu ya Gadafi, sasa wako wapi ? Ngoja mbaki mkimlilia Gadafi mimi ni realist, sidanganyiki.
Mkuu heshma mbele,najuwa Mkandara atakujibu hili.However kwa kugusia tu ni kwamba kuanza kusema haya unaurudisha mjadala nyuma kabisa.Kama ana mapenzi na Gaddafi ama la,hiyo si issue tena kwasababu hata yeye keshasema si chini ya mara moja kuwa ana amini Gaddafi ni history.Tusirudi tena kudai kuwa tunampigania Gaddafi humu ndani.Hapo chini ni sehemu Mkandara alipoliweka hilo wazi...
Mkandara said:
Ghadafi is gone, binafsi sioni sababu kabisa ya kupiga makelele na hii transitional council ambayo sii ajabu wasikubalike na naweza kuwa na mashaka kuwa hii mbinu ya Marekani na western kurudisha Utawala unaoviweka visima vya mafuta mikononi mwa watu binafsi utaweza kufanikiwa bila nguvu kubwa zaidi ya hizo za Ghadafi.. Ebu fikiria tu kama tungekuwa na mafuta wakati wa Nyerere kisha serikali inakuja binafsisha mafuta hayo hayo hali asilimia kubwa ya maisha ya wananchi wanategemea mishahara minono na zaka ( social welfare) kutoka serikali kuu...
 
Mkandara, Sheba na wote walioninukuu wakikwa wanatetea kitendo cha Membe. Kuna post nyingi zimeshawekwa hapa katikati na sitaweza kuzisoma zote ila nakumbusha kuwa.

(1) Membe ndiye msemaji mkuu wa Tanzania kimataifa, na ana uhuru wa kumfukuza balozi wa nchi yoyote atoke nchini iwapo balozi huyo ama atakuwa amekiuka masharti ya mwenendo wa kibalozi , amevunja sheria za nchi na ama iwapo nchi yetu itakuwa imevunja uhusiano na nchi husika; hilo halina ubishi. Sasa basi iwapo Tanzania bado ina uhusinao wa kibalozi na Libya, na balozi wa Libya aliyeko nchini aliwakilisha hati zake za kibalozi akatambuliwa rasmi kuwa ni balozi halali wa Libya na wala hajaondolewa kwenye madaraka hayo na utawala wa Libya, halafu bado hajavunja sheria za nchi yetu au kukikuka masharti ya kibalozi, Tanzania haiwezi kumwamrisha atumie bendera ya aina gani kwenye ofisi zake. Hilo siyo jukumu la serikali ya Tanzania wala la Membe; kimsingi Membe na serikali ya Tanzania wanatakiwa wapokee taarifa za mabadiliko ya utawala huko Libya kutoka kwa huyo Balozi wa Libya huyo huyo aliyeko nchini.

(2) Mnaodai kuwa Umoja wa mataifa siyo institution ya diplomacy mnakosea sana kwa vile Umoja wa mataifa unaendeshwa na diplomats tu. Ndiyo maana hata discussion hii imekuwa inaongelea Vienna Convention ambayo ilitolewa kupitia umoja wa mataifa. Nchi zinazopingana na umoja wa mataifa huwa zinakiuka sana diplomacy ya ulimwengu wa leo; ndiyo maana Marekani ya Bush ilipokwenda kupigana Iraq ililaumiwa sana kwa kukiuka taratibu za kidiplomasia kwa vile umoja wa mataifa haukuwa umeidhinisha matumizi ya nguvu!!
Mbona unaendesha siasa za vita baridi mkuu wangu. Huyo Balozi wa Libya alitambulishwa na nani, lini na ktk utawala wa bendera ipi?..Mkuu wangu bado hatujaitambua Libya mpya chini ya utawala ambao unajengwa sasa hivi. Huyo kingozi wa NTC anaweza kutokuwa rais, ni kiongozi wa transition kama walivyokuwa kina Arafat na Palestine Transition Council ambayo nchi nyigni za magharibi hawakuitambua na wameendelea kutoitambua hadi kesho acha mbali bendera yao.. Marekani na nchi za magharibi wana kila haki ya kufanya hivyo na wanaweza pia kumkaribisha balozi wa Palestine toka chama cha PLO na sii Hamas pamoja na kwamba PLO hawana ridhaa ya wananchi wake kama wawakilishi wa jamii hiyo.

Tanzania pia tuna uwezo wa kufanya vivyo hivyo hasa ktk serikali ya Libya ambayo bado kabisa haijafikia kuunda serikali isipokuwa baadhi ya watu wamechaguliwa kuunda uongozi wa mpito hadi pale UN itakapoweza kuandaa constitution mpya.. Yaani kusema kweli hatutakiwi wote kuitambua Libya kama nchi mpya bila Constitution wala uongozi acha mbali bendera mpya. Ni mapenzi ya kuondoka kwa Ghadafi ndiyo yamesukuma nguvu zote hizi za kuitambua NTC chombo ambacho kimeundwa haraka haraka mwezi march kupelekea mpango mzima wa kumwondoa Ghadafi..Hii inaonyesha kwamba In Libya everything was well planned ahead of the revolution tofauti na Tunisia au Misri ambapo nguvu ya Umma ili fanya Mapinduzi pasipo kubadilisha kitu chochote ila kumwondoa Mtawala na kweli wamekwama kuanzisha serikali mpya kwa sababu hapakuwepo na msukumo wa chombo kama hiki.. How did they come about it?...hamtaki kusikia isipokuwa ati nguvu ya Umma..

Bado nitaendelea kumtetea Membe kwa ujasiri aloufanya na hakuna sababu ya kumfukuza Balozi isipokuwa tutasubiri hadi Libya imepata utawala wake, imekubaliwa na kupokelewa bendera mpya kwa sababu hatuna sababu ya kuharakisha. Kuitambua NTC leo ama kusubiri haiwezi kuibadilisha lolote zaidi ya kuonyesha subra ya kutazama hatma ya mambo yote haya..Nitakukumbusha tena ile bendera ya Iraq ilipepea hadi UN siku tu Saadam alipoangushwa lakini Wa Iraq wenyewe wakaiondoa na hatukusikia UN wakisema kitu isipokuwa kuishusha kimya kimya..
 
Unfortunately what we are dealing with here are rebels.

couple of things , BERNARD MEMBE and those wonks at the foreign ministry probably looked couple of issues beforeand . First, these rebels to claim a sovereign state must able to show actual political supremacy in the Libyan territory & they should and must convincingly maintain their supremacy over all other potential authorities within that territory and population....well, we all know they've failed that.

Second, rebels must demonstrate actual independence of outside authority such as NATO, EU, etc, not the supremacy of one town over others but the independence of one state from its peers and that's why some of us argue a sovereign state is said to be in fact politically and juridically independent of any superior.

Therefore from this perspective these rebels if they claim to be a sovereign state must do more than merely claim to be autonomous and independent. In otherword a truly sovereign state is able to assert its de factoi nternal supremacy and external independence in practice and not symbolisms of flags such as those demonstrated by the rogue ambassador of Libya who to me is acting more like a yob than an international diplomat

Purely double standard.Kwa nini Tanzania inaitambua Serikali ya Somalia.Wakati vigezo vyote vilivyotajwa hapo juu haifikii.Waziri Membe Kachemka.Membe atofautishe Freedom fighters na rebels.Wale ni wapigania uhuru kuwaita rebels ndio kunamfanya membe achanganyikiwe.Nilimsikiliza naona kwenye background mind anawaza wale ni rebels kwa sababu anasikiliza sana vyombo vya magharibi vinavyowablend..
 
Sasa wakuu kama Ghadafi amepinduliwa na waasi ndio wanaongoza nchi na ndio watakao finance huu ubalozi sasa apandishe bendera ipi?
<br />
<br />
kweli tupu kaka.! Yeye anawakilisha utawala ulio madarakani na sio uliodondoka,
 
Hapa naona kuna tatizo moja kuu, wengine tumeamua kuwa realists lakini wenzetu mmeamua kuwa rationalists. Naona mapenzi yenu kwa Gadafi yamewavika wingu zito machoni, hamtaki kuona hali halisi. Wahenga walisema ukipenda chongo utaita kengeza lakini the fact remains kuwa Gadafi ni history na wako Walibya wengi tu wanashangilia kuanguka kwake. Watanzania tunayo hii hulka ya kusifu na hata pale ambapo sifa haipo itatafutwa hadi uvunguni mradi tu tuziridhishe nafsi zetu !

Wengine tumetoa ombi kwa Membe kuwa kama kweli haitambui na hataki kuiona bendera ya NTC ya Libya, amchukulie hatua huyo balozi aliyekaidi amri yake kwa kumfungisha virago. Lakini hana haki wala mamlaka ya kumkataza huyo balozi kutundika bendera ya nchi yake ya Libya kwani eneo ulipo ubalozi huo kwa sasa kisheria ni Walibya ndiyo wanaamua bendera gani ipepee. Ni hiyo bendera ya NTC ndio inapepea mjini Tripoli yaliko makao makuu ya serikali ya Libya, sasa huyu Membe ni nani kwa Walibya ?

Tuliambiwa kuwa Tripoli ndiyo ngome kuu ya Gadafi, sasa wako wapi ? Ngoja mbaki mkimlilia Gadafi mimi ni realist, sidanganyiki.

Mkuu heshma mbele,najuwa Mkandara atakujibu hili.However kwa kugusia tu ni kwamba kuanza kusema haya unaurudisha mjadala nyuma kabisa.Kama ana mapenzi na Gaddafi ama la,hiyo si issue tena kwasababu hata yeye keshasema si chini ya mara moja kuwa ana amini Gaddafi ni history.Tusirudi tena kudai kuwa tunampigania Gaddafi humu ndani.Hapo chini ni sehemu Mkandara alipoliweka hilo wazi...

Purely double standard.Kwa nini Tanzania inaitambua Serikali ya Somalia.Wakati vigezo vyote vilivyotajwa hapo juu haifikii.Waziri Membe Kachemka.Membe atofautishe Freedom fighters na rebels.Wale ni wapigania uhuru kuwaita rebels ndio kunamfanya membe achanganyikiwe.Nilimsikiliza naona kwenye background mind anawaza wale ni rebels kwa sababu anasikiliza sana vyombo vya magharibi vinavyowablend..

<br />
<br />
kweli tupu kaka.! Yeye anawakilisha utawala ulio madarakani na sio uliodondoka,

So we all know what Vienna convention on diplomatic mission say but...

Three contentious issues that we need to tackle are:

1> What does our national laws say when a foreign missions changes its flag without notifying MOFA

2> Can Libyan rebels claim sovereignty ?

3> What international law say about these rebels
 
Mbona unaendesha siasa za vita baridi mkuu wangu. Huyo Balozi wa Libya alitambulishwa na nani, lini na ktk utawala wa bendera ipi?..Mkuu wangu bado hatujaitambua Libya mpya chini ya utawala ambao unajengwa sasa hivi. Huyo kingozi wa NTC anaweza kutokuwa rais, ni kiongozi wa transition kama walivyokuwa kina Arafat na Palestine Transition Council ambayo nchi nyigni za magharibi hawakuitambua na wameendelea kutoitambua hadi kesho acha mbali bendera yao.. Marekani na nchi za magharibi wana kila haki ya kufanya hivyo na wanaweza pia kumkaribisha balozi wa Palestine toka chama cha PLO na sii Hamas pamoja na kwamba PLO hawana ridhaa ya wananchi wake kama wawakilishi wa jamii hiyo.

Tanzania pia tuna uwezo wa kufanya vivyo hivyo hasa ktk serikali ya Libya ambayo bado kabisa haijafikia kuunda serikali isipokuwa baadhi ya watu wamechaguliwa kuunda uongozi wa mpito hadi pale UN itakapoweza kuandaa constitution mpya.. Yaani kusema kweli hatutakiwi wote kuitambua Libya kama nchi mpya bila Constitution wala uongozi acha mbali bendera mpya. Ni mapenzi ya kuondoka kwa Ghadafi ndiyo yamesukuma nguvu zote hizi za kuitambua NTC chombo ambacho kimeundwa haraka haraka mwezi march kupelekea mpango mzima wa kumwondoa Ghadafi..Hii inaonyesha kwamba In Libya everything was well planned ahead of the revolution tofauti na Tunisia au Misri ambapo nguvu ya Umma ili fanya Mapinduzi pasipo kubadilisha kitu chochote ila kumwondoa Mtawala na kweli wamekwama kuanzisha serikali mpya kwa sababu hapakuwepo na msukumo wa chombo kama hiki.. How did they come about it?...hamtaki kusikia isipokuwa ati nguvu ya Umma..

Bado nitaendelea kumtetea Membe kwa ujasiri aloufanya na hakuna sababu ya kumfukuza Balozi isipokuwa tutasubiri hadi Libya imepata utawala wake, imekubaliwa na kupokelewa bendera mpya kwa sababu hatuna sababu ya kuharakisha. Kuitambua NTC leo ama kusubiri haiwezi kuibadilisha lolote zaidi ya kuonyesha subra ya kutazama hatma ya mambo yote haya..Nitakukumbusha tena ile bendera ya Iraq ilipepea hadi UN siku tu Saadam alipoangushwa lakini Wa Iraq wenyewe wakaiondoa na hatukusikia UN wakisema kitu isipokuwa kuishusha kimya kimya..

(1) Je unajua kuwa kuna nchi hapa duniani hazina constitution na bado zinatambulika kuwa ni nchi?

(2) Viongozi waliompindua Ghaddafi ndiyo viongozi wa Libya sasa; Ghadaffi mwenyewe alimpindua mfalme Idrissa na kuwa kiongozi
miaka yote hiyo.

(3) Membe kafanya mambo yaliyo nje ya madaraka yake. Bendera za nchi hubadilishwa, na hilo ni jambo la kawaida kabisa; hata kama Balozi yule alipokuja nchini alitumwa na Ghadaffi na akaja na bendera ya Ghadaffi, bado yeye ndiye balozi halali wa Libya, na ndiye huyo tunayemtegemea atuahabarishe yanayojiri huko Libya. Yeye katuambia kuwa Libwa imebadilisha bendera yake, halafu eti sisi tunakaa kuwa hatutambui bendera mpya ya Libya, je ni nani atakayetuambia kuhusu bendera mypa ya Libya kama siyo balozi wa Libya? Kama kaikosea nchi yake kwa kurusha bendera isyokuwa halali, basi nchi yake itamchukulia hatua siyo sisi. Mbona tulimtambua Mzee kabila kule Congo alipoingia Lubumbashi, wakati Mobutu akiwa mgonjwa huko Morocco, akatangaza kuvunja katiba ya Zaire, akajipa madaraka ya uraisi, na kubadilisha jina la nchi pamoja na bendera yake. Iwapo balozi aliyepo nchini kihalalai akituambia kuwa nchi yake imebadilisha uongozi, inabidi tukubali; endapo balozi huyo angesema kuwa waasi wale siyo viongozi halali wa Libya bali Gaddaffi bado yuko madarakani, tungetakiwa tukubali hivyo.
 
Labda mimi sijaelewa wachangiaji wanaosupport ubalozi wa Libya walichokifanya. Hawa walikuwa na uhusiano Chini ya Libya ya Ghaddafi na walitambulishwa kwa bendera ya kipindi cha Ghaddafi. Hamuoni kuwa kwa kuwa wako ktk ardhi yetu walitakiwa kuwasiliana na serikali kabla ya kufanya hivyo? Kama hilo halina tatizo, wakibadili balozi bila kututaarifu kutakuwa na tatizo. Wakilifanya Libya tutawaachia wa Libya lakini Tz lazima wafuate utaratibu.
 
Umeanza vizuri kuwa huelewi na heri ungeishia hapo. Serikali ya Tanzania ambayo haijui hata namna ya kushughulikia matatizo ya wananchi wake leo wanataka kuiambia Walibya namna ya kuendesha nchi yao. Kiutaratibu Tanzania ilipaswa kuwasiliana na balozi wa Libya nchini ili iweze kupata ufafanuzi wa hali halisi nchini Libya. Lakini badala yake eti Membe ndiye anaamua kumfafanulia balozi hali ilivyo Libya na ipi bendera ipeperushwe na balozi huyo, sasa huu kama si uenda wazimu ni nini ? Kama balozi wa Libya yuko nchini kihalali na naamini ndivyo ilivyo Membe anapata ujasiri wapi wa kumpa maagizo kuhusu bendera na kama hayupo kihalali, kwa nini serikali yetu isimtimue ?

Sisi kama Watanzania inakuwaje tuhangaike na bendera inayopepea kwenye ubalozi wa Libya, moja inatuhusu nini na pili inatuuma vipi ? Kama wapo viongozi wetu serikalini ambao kuondoka kwa Gadafi kumewapa pigo, lazima tujiulize waliwekeza kitu gani kwa Gadafi tusichokijua hadi wamlilie kiasi hicho. Tunakumbuka jinsi Kiwete alivyowapeleka wanajeshi wetu Comorro, ni kitu gani kimemzuia kufanya hivyo Libya amsaidie Gadafi ? Kama hata ujasiri wa kufanya hivyo hatuna nao, kwa nini tunaanza kukurupuka kwa matamshi mabayo nina hakika yanazidi kutuanika tulivyo lege lege na tusivyokuwa makini katika maamuzi yetu. Balozi wa Libya twatakiwa haraka tumwombe radhi.
 
Mkuu licha ya kwamba tuna tofautiana in some aspects kwenye issue hii,i still believe kuwa wewe ni mmojawapo wa greatest thinkers ndani ya JF.Tunatofautiana lakini tuko pamoja kwenye mapenzi ya Taifa.
 
Back
Top Bottom