Balozi Ami R. Mpungwe, is this our own version of Cyril Ramaphosa?

Huyu si ndiye balozi aliyeenda South Africa badala ya kuwawakilisha nchi he ended up representing himself kwa maslahi yake binausi?

Mkuu watu wengi hilo wanalijua sana, nilipo ona CV mwanzo sikuelewa mleta taarifa hii alikuwa na maana GANI; hivi anafikili watanzania hilo hatulijuhi?
 
"He was instrumental in attracting a large volume of foreign direct investment from South Africa into Tanzania in the mining, telecoms, retail and financial services sectors and continues to be highly sought after as an advisor to government and the private sector on investment policy" - Non-Executive Directors | Serengeti Advisers
Hawa Serengeti Advisers ni matapeli wengine waliowaleta Wamarekani kuchukua eka 800,000 za kilimo Mpanda kwa senti 200 kwa eka, wazalishe mazao yao ya GMO na kuyauza kwenye soko la dunia.
 
Ni kweli kwa akili za haraka utamsifia sana,ila ukifikiria yeye ndo ameleta makaburu nchini kuchukua rasilimali zetu, ebu fikiria watu wa mererani hawapati tena tanzanite, yote inachimba na Tanzanite One,unahisi ni kwa kiasi gani watu arusha wameadhirika kiuchumi??. Angalia ukiritimba wa DSTV, wanatunyonya wakati hizi huduma tungetakiwa kupata kwa bei nafuu au wawepo watu wengine kama DSTV. Angalia pia ni kwa jinsi gani wafanyakazi wa mtibwa sugar wanavyonyanyasika (mtibwa sugar inamilikiwa na Ilovo sugar). Ebu watanzania tufikirie tuache kushabikia tuu

Hapo kwenye Red sio kweli. Mtibwa na Kagera sugar zinamilikiwa na Super Doll. Ilovo inamiliki Kilombero Sugar
 
Mkuu watu wengi hilo wanalijua sana, nilipo ona CV mwanzo sikuelewa mleta taarifa hii alikuwa na maana GANI; hivi anafikili watanzania hilo hatulijuhi?

haha.
Tunajua kuwa wajua, nimewakumbusha tu.
Ila wewe ni mnafki hivi unafikiri watu wote wanajua haya?
Wacha michongo hiyo.
 
haha.
Tunajua kuwa wajua, nimewakumbusha tu.
Ila wewe ni mnafki hivi unafikiri watu wote wanajua haya?
Wacha michongo hiyo....

Mkuu revisit post yako kwanza: Hiko open ended, hujasema kama una-approve modus operandi ya Barozi huyu au huko concern (kama wengi wetu tulivyo) na mambo anayo fanya ambayo yanaonekana wazi wazi yako selfcentered zaidi kuliko kwa manufaa ya TAIFA letu.

All 'am saying ni kwamba ni vizuri kuwa bold enough kutoa maoni yako kuliko kuacha wana JF wana-hang in midair! Mimi nilifikili forum hii imejaa watu weledi na wastaarabu, usije ukajidanganya kwamba tunashindwa kutumia lugha za vijiweni; kuhusu unafiki hilo nawachia wana JF watuhukumu.
 
TATIZO NI KURUKIA MADA BILA KUJUA IMEANZIA WAPI, NILIANZA KWA KUMZUNGUMZIA
[h=2]Cyril Ramaphosa siku hiyo na watu waka mgusia BALOZI, nikaamua kuanzisha thread ya balozi na kuandika CV yake ili kila mtu aseme lake ila wewe badala ya kuchangia unakuja kubishana na mimi.[/h]sasa kama sio UNGESE huo ni nini? kama unajau unakuja kufanya nini humu?
 
Back
Top Bottom